Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

DEAL DONE !!!!

Tunakutakia maisha mapya huko uendako chief - asante kwa kazi yako hapa darajani.

Arsenal agree Jorginho deal
Arsenal have agreed a deal with Chelsea for midfielder Jorginho. The fee is understood to be £12m.

The Italian will sign an 18-month contract with a year option.

skysports-jorginho-chelsea_5856864.jpg
 
Mbona Jorginho anampita Partey kwenye idara nyingi tu na sisi Chelsea tulimuona kama ndie hafai pale katikati? Takwimu saa nyingine bana, acha tu. Nadhani inayomuangusha Jorginho ni mistakes anazofanya na back passes nyingi
1675164729923.png
 
Takwimu mara nyingi haziongei uhalisia wa mchezaji akiwa uwanjani..
zinaongea we sema hizo takwimu inaweza kufutwa na silly individual mistakes
Jorginho sio kwamba hachezi vizuri, yeye ni master wa vitu vingi uwanjani
Tatizo lake ni kufanya silly mistakes kama za kutokaa na mpira vizuri hadi ananyang'anywa
Kufanya back passes nyingi hadi anakosea
 
Tatizo lipo kwa Viungo wenu wengine,mbona akicheza na kina Kante au kova anakuwa vzr

Takwimu zinaonesha ana uwiano mzuri Sana wa pass za mbele na nyuma

Kwa mifumo ya Arsenal ,pass za nyuma anaruhisiwa kupiga ili kulinda possession na kuanza mashambulizi kwa njia nyingine

Pep GUARDIOLA kwenye kitabu chake anasema "Sio kosa kwa mchezaji kupiga pass za nyuma ,Ni njia moja wapo ya kujipanga upya kushambulia "
 
Daima nasemaga strategic back pass, kila mchezaji anafanya hiyo, it is also a defensive mechanism. Jorginho atazipiga hizo hadi muanze kumchukia. Tena unajua Arteta na PEP wana style tofauti, style ya PEP inahitaji back passes nyingi wakati Arteta ni direct football, hapa lazima Jorginho awe na few strategic back passes, sehemu kubwa ni through passes to break lines au long balls
 
View attachment 2501414
Karibu jorginho kutoka nafasi ya 10 hadi nafasi ya 1
Yani naogopa ujue Arsenal ina Partey alafu ina Jorginho mhh katika pasi 100000 partey anapiga pasi 30000 arafu pasi 70000 anamalizia Jorginho
Kaja kuchukua EPL
Poor Cheltako
Naona kuanzia sasa mtamsafisha hadi kwa sabuni ya komesha
 
Huyu je
Marcel Sabitzer
CM ameunganishwa na Chelsea na Man U kwenye deadline day

Man U wanamtaka kwa udi na uvumba kumpreplace Christian Eriksen
Sisi nasi tunamtaka kwa udi na uvumba kumpreplace Jorginho, Haya sasa
Manure VS Chelsea
Moto VS Maji

1675172161214.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom