Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea have seen an offer for Moises Caicedo rejected by Brighton & Hove Albion. £55m bid made in writing this week - far below what #BHAFC would even consider + they’ve no interest in letting 21yo midfielder go anywhere this window

Source-David Ornstein-TheAthleticFC #
 
1674170501334.png
 
Kuna baadhi ya watu wanalalamika kuwa boss anatumia pesa nyingi Sana, unajua kwanini anafanya hivi? Chelsea Sana project ya kutengeneza kikosi kizuri Cha miaka Mingi ndio maana wengi waliosajiliwa ni wa umri mdogo.

Another reason ni kwamba Tajiri miluzi aliingia makubaliano na Chelsea wakati wanasaini mkataba wa kununua club kuhusu upanuzi wa kiwanja Cha Stanford Bridge ambao unakadiliwa itawagharibu more than 1B of dollars kutokana na hivyo ndio maana wanasajili Sana mapema kabla wajaanza project ya utanuzi wa Uwanja so viongozi wetu wanna akili Sana mfano spurs waaingia kwenye ujenzi kiliwakuta wanajikuta hawasajili wachezaji cos hela imetumika kwenye ujenzi ukiangalia kwenye kikosi chao bado kilikuwa finyu hii ni tofauti anachofanya Tajiri wetu Miluzi
Bobbyray
juan david
lembu
Cash Money Forever
 
Huko mbele tutajua uhalisia wake, ni mapema sana kuhitimisha kwa namna hiyo.
Wakat Roman Abramovich anatangaza kuuza team, watu wengi walisema ndio mwisho wa kutumia pesa Chelsea. Yani watu wakawa wanasema hatuna uwezo wa kwenda toe to toe na hawa wakubwa kwenye issue ya pesa.

Wengine wakawa wanasema mmeisha kwa kupata wamarekani

Boehly-Clearlake wanachokifanya sasa kila mtu anauliza ffp iko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna pointi ya maana hapo, pia wachezaji wanapewa kandarasi ya muda mrefu zaidi. Mi napenda tusajili weeeee alafu tupigwe ban la kusajili ata katika msimu ujao alafu hao madogo wapewe nafasi na project ya uwanja ianze.
Kuna baadhi ya watu wanalalamika kuwa boss anatumia pesa nyingi Sana, unajua kwanini anafanya hivi? Chelsea Sana project ya kutengeneza kikosi kizuri Cha miaka Mingi ndio maana wengi waliosajiliwa ni wa umri mdogo.

Another reason ni kwamba Tajiri miluzi aliingia makubaliano na Chelsea wakati wanasaini mkataba wa kununua club kuhusu upanuzi wa kiwanja Cha Stanford Bridge ambao unakadiliwa itawagharibu more than 1B of dollars kutokana na hivyo ndio maana wanasajili Sana mapema kabla wajaanza project ya utanuzi wa Uwanja so viongozi wetu wanna akili Sana mfano spurs waaingia kwenye ujenzi kiliwakuta wanajikuta hawasajili wachezaji cos hela imetumika kwenye ujenzi ukiangalia kwenye kikosi chao bado kilikuwa finyu hii ni tofauti anachofanya Tajiri wetu Miluzi
Bobbyray
juan david
lembu
Cash Money Forever
 
Nasikia tetesi huyu Potter akiendelea kuzingua Zidane anakuja... Ila huu usajili wa huyu dogo wa PSV sioni ata cha maana kwake Odoi na uyu ni sawa tu
 
Sawa mkuu, naona maombi yako yamefika kwa matajiri kwa sababu kiangazi kuna sangari zinang'olewa hapo darajani.

Ila hawa hawatakwepa
  1. Jorginho
  2. Ziyech
  3. Auba
  4. Pulisic
  5. Azpilicueta
  6. Reuben Loftas Cheek
Bahati mbaya sana Pulisic na Cheek wana umri mdogo ila watafyekwa tu
Cheek Leicester city wamehsamwekea radar zao
Pulisic Juve wanamtaka swapa deal na Denis Zakaria
Ziyech naomba usiku na mchana asiachwe

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Wakat Roman Abramovich anatangaza kuuza team, watu wengi walisema ndio mwisho wa kutumia pesa Chelsea. Yani watu wakawa wanasema hatuna uwezo wa kwenda toe to toe na hawa wakubwa kwenye issue ya pesa.

Wengine wakawa wanasema mmeisha kwa kupata wamarekani

Boehly-Clearlake wanachokifanya sasa kila mtu anauliza ffp iko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora Roman tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom