Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1674301128390.png
 
Kumbe Lewis Hall anacheza winga au Google ndio wamechemsha nini. Ngoja tusubiri line up ya Suppersport
 
Unaumia kutoka wapi?
Taja jina lako?
Tatizo hilo la akili lilikuanza lini?
Ulishapata matibabu wapi?
Je ulishawahi kuwa mchezaji wa mpira?
Taja kabila lako
Taja na dini yako
Umeoa/umeolewa?
Umeza watoto?
Kama ndio wangapi
Vyanzo vyako vya mapato
Kwa mwaka unapata shilingi ngapi?
Maumivu yakizidi kamuone daktari bingwa wa Akili atakusaidia
Niko hapa Daktari Bingwa wake na dawa za methadone dozen [emoji28]
 
Hii mechi yenu ni mbovuuu, mpira haueleweki, mnawezaga vipi kutazama huu upuuzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom