Ingependeza kama na hiyo ya mansoor ungeiweka ya miez6Tajiri miluzi
Kashaweka rekodi ya dunia kwenye usajili
Sheikh mansoor miaka 7 mancity kipind cha Pep €1B
Tajiri miluzi miezi 6 €500m
Ingependeza kama na hiyo ya mansoor ungeiweka ya miez6Tajiri miluzi
Kashaweka rekodi ya dunia kwenye usajili
Sheikh mansoor miaka 7 mancity kipind cha Pep €1B
Tajiri miluzi miezi 6 €500m
Waende tu tuanze upyaNewcastle wanawataka Galagher,Loftus Cheek na Ziyech .
Source-Telegraph
Yan hao Pulisic na Ziyech hizo failed business hata hili dirishawatafutiwe timu wajiunge.Sawa mkuu, naona maombi yako yamefika kwa matajiri kwa sababu kiangazi kuna sangari zinang'olewa hapo darajani.
Ila hawa hawatakwepa
Bahati mbaya sana Pulisic na Cheek wana umri mdogo ila watafyekwa tu
- Jorginho
- Ziyech
- Auba
- Pulisic
- Azpilicueta
- Reuben Loftas Cheek
Cheek Leicester city wamehsamwekea radar zao
Pulisic Juve wanamtaka swapa deal na Denis Zakaria
Hata Debrune na Salah mliwauza kwa papara zenu mkifikiri uwezo wao mdogo sijui kwa nini hamjifunziYan hao Pulisic na Ziyech hizo failed business hata hili dirishawatafutiwe timu wajiunge.
Ziyech sio mchezaji wa kuuza yani yule hajapata nafasi na kuaminiwa ni fundi kuliko hata mount ,kai na uyo sterlingHaha mumchukue na Ziyech
Naona anapokea 125K/week baada ya tax.
Ngoja tuanze upya sasa.
Usema kweli Chelsea tulikuwa tumekosa winger , tangu aondoke Hazard tumetaabika sana
Waingereza wasen** utashangaa mount anaingia yani wa napenda sana kujipaisha sasa mtu kama yule rice mashabiki wengi wa Chelsea wa uko London wanampendea sjui nini
Hao uliowataja hawakupata nafasi ya kuonesha uwezo wao. Tofauti na Pulisic na Ziyech wana uwezo mkubwa ila mtu km Pulisic kazi kuongeza mitattoo mwilini hakuna anacho deliver uwanjaniHata Debrune na Salah mliwauza kwa papara zenu mkifikiri uwezo wao mdogo sijui kwa nini hamjifunzi
Huyu Gallagher asiuzwe kabisa. Namuona ana kuza game yake mdogo mdogiNewcastle are interested in signing Conor Gallagher, Ruben Loftus-Cheek and Hakim Ziyech.
View attachment 2484140
Wakat huo chelsea ilikuwa na watu, Hazard,Oscar,Willian,Mata + Schurlle wote hawa walikuwa wako kwenye formHata Debrune na Salah mliwauza kwa papara zenu mkifikiri uwezo wao mdogo sijui kwa nini hamjifunzi
Yaani umenena mkuuHao uliowataja hawakupata nafasi ya kuonesha uwezo wao. Tofauti na Pulisic na Ziyech wana uwezo mkubwa ila mtu km Pulisic kazi kuongeza mitattoo mwilini hakuna anacho deliver uwanjani
Kaka unaambiwa sasa hivi tunaojua kupiga danadana tusizurule hovyo,Tajiri miluzi
Kashaweka rekodi ya dunia kwenye usajili
Sheikh mansoor miaka 7 mancity kipind cha Pep €1B
Tajiri miluzi miezi 6 €500m
Aisee mnateseka,dah! hahahahaKaka unaambiwa sasa hivi tunaojua kupiga danadana tusizurule hovyo,
Tajiri miruzi anazoa woteeeeee.....muda huu anakomaa na Michel Antonio huko Hummers,
Wagonga nyundo wanasema kama Mudryk wametoa 100m basi kwa Antonio si chini ya 150m ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii misukule yote ni y kuuza mapema kabla hawajatudodea.Newcastle are interested in signing Conor Gallagher, Ruben Loftus-Cheek and Hakim Ziyech.
View attachment 2484140