Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Taratibu tutaelewana tu ni mwendo wa Black Niggers kuunda akina DIDIE DROGBER wapya [emoji2][emoji4]
Screenshot_2023-01-21-04-50-47-19_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-01-21-04-51-09-43_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya watu wanalalamika kuwa boss anatumia pesa nyingi Sana, unajua kwanini anafanya hivi? Chelsea Sana project ya kutengeneza kikosi kizuri Cha miaka Mingi ndio maana wengi waliosajiliwa ni wa umri mdogo.

Another reason ni kwamba Tajiri miluzi aliingia makubaliano na Chelsea wakati wanasaini mkataba wa kununua club kuhusu upanuzi wa kiwanja Cha Stanford Bridge ambao unakadiliwa itawagharibu more than 1B of dollars kutokana na hivyo ndio maana wanasajili Sana mapema kabla wajaanza project ya utanuzi wa Uwanja so viongozi wetu wanna akili Sana mfano spurs waaingia kwenye ujenzi kiliwakuta wanajikuta hawasajili wachezaji cos hela imetumika kwenye ujenzi ukiangalia kwenye kikosi chao bado kilikuwa finyu hii ni tofauti anachofanya Tajiri wetu Miluzi
Bobbyray
juan david
lembu
Cash Money Forever
Akili kubwa sana hii, Arsepimbi karibuni huku mje muharishe ujinga wenu.

Kwanini hamjifunzi kwa Aaron Arsenal na Castr wanavyochambua mpira bila mihemuko wala chuki kama akina Computerarsenal na Will Jr?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nasikia tetesi huyu Potter akiendelea kuzingua Zidane anakuja... Ila huu usajili wa huyu dogo wa PSV sioni ata cha maana kwake Odoi na uyu ni sawa tu
Zidane siyo Kocha, alitembelea tu upepo wa mafanikio ya Wachezaji wakubwa na tayari wenye vipaji vyao tofauti na hawa wanaotakiwa wasukwe na Kocha anayejua kutengeneza na kuinua vipaji vya Wachezaji wenye umri mdogo kama ilivyokuwa kwa Arsene Wenger na Erick Ten Hag.

Tumpatie muda HP maana hakuna mafanikio makubwa yanayopatikana kwa muda mfupi, na muelewe mafanikio ya zimamoto ya Chelsea ya akina Drogber, Lampard sasa hivi hayatakuwepo kulingana na mitazamo ya Tajiri Mpya TB.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Line up mechi na Liverpool leo saa 9 na nusu mchana

Formation 4-2-3-1

------------------- Havertz --------------------

Galagher ------------- Mount ---------------Ziyech

------- Kovacic -----------------Jorginho--------

Hall ----- Badiashile ----- Silva ----Chalobah

------------------- Kepa --------------------
 
Tunatumia pesa sana lakini mbona Newcastle wao wamefanya usajili mdogo kwenye timu iliyokuwa inapigania kutoshuka daraja na sasa wako top 4 kwenye ligi?

Pamoja na usajili mzuri uliofanyika ila bado nawasiwasi tungelenga zile nafasi zilizovuja halafu tukamuweka kocha mwenye ku-demand more from players, Chelsea ingekuwa bora sana bila hizi Mil 500 zilzioteketezwa

Newcastle Usajili wa 2022/23 kwenye Euro - viwango ni pesa iliyotolewa bila addons
  • Isaak 70m
  • Botman 37m
  • Targett 17.5m
  • Pope 11.5m
  • Garang Kuol 350k
Jumla ya wachezaji 5
Jumla ya gharama 109.3m
Dhamani ya kikosi sokoni kwa sasa 443m
Nafasi 4 (Ligi bado inaendelea

Sisi Chelsea Usajili wa 2022/23 kwenye Euro
  • W Fofana 80.3m
  • Mudryk 70m
  • Cucurella 65.3m
  • Sterling 56.2
  • Badiashile 38m
  • Koulibaly 38m
  • Madueke 35m
  • Chukwuemeka 18m
  • Santos 12.5m
  • Aubameyang 12m
  • Datro Fofana 12m
  • Felix 11m
  • Slonina 9m
  • Denis Zakaria 3m
Jumla ya wachezaji 14
Jumla ya gharama 460m
Dhamani ya kikosi sokoni kwa sasa 1.02b
Nafasi 10 (Ligi bado inaendelea
 
Simple tu ,akili ya kutumia pesa hamna
 
Kuna jamaa katoa Sababu pengine nahisi inaweza kuwa ndo lengo la kina Todd..kusajili wachezaji wengi dirisha hili na pengine wachache dirisha la summer...ili misimu ijao kupita mchakato WA upanuzi WA uwanja ambapo kuna tetesi Chelsea wanaweza kuutumia uwanja WA Wembley km uwanja wao WA nyumbani ili kuacha zoezi la upanuzi WA uwanja ambao linaweza kutumia zaidi ya miaka 3....lna Newcastle hawajapata injury crisis km ya kwetu
 
Zidane siyo Kocha, alitembelea tu upepo wa mafanikio ya Wachezaji wakubwa na tayari wenye vipaji vyao tofauti na hawa wanaotakiwa wasukwe na Kocha anayejua kutengeneza na kuinua vipaji vya Wachezaji wenye umri mdogo kama ilivyokuwa kwa Arsene Wenger na Erick Ten Hag.

Tumpatie muda HP maana hakuna mafanikio makubwa yanayopatikana kwa muda mfupi, na muelewe mafanikio ya zimamoto ya Chelsea ya akina Drogber, Lampard sasa hivi hayatakuwepo kulingana na mitazamo ya Tajiri Mpya TB.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nakuunga mkono Zidane sio kocha wa kukuza vipaji, ila huyu wa kwetu ndo hawezi kabisa hana mechanism ya kubadili wachezaji wadongo, ila tumshukuru Mungu mazingira ya kumtimua ya mesha fanywa, akiwa na wachezaji hao af ashindwa wenye mali hawata mvumilia kabisa.
 
Usajili wote huo bado mnalenga kukuza vipaji? Mmekua academy?
 
Hivi hii team bado ipo kwenye ligi kuu tuu!?
Unaumia kutoka wapi?
Taja jina lako?
Tatizo hilo la akili lilikuanza lini?
Ulishapata matibabu wapi?
Je ulishawahi kuwa mchezaji wa mpira?
Taja kabila lako
Taja na dini yako
Umeoa/umeolewa?
Umeza watoto?
Kama ndio wangapi
Vyanzo vyako vya mapato
Kwa mwaka unapata shilingi ngapi?
Maumivu yakizidi kamuone daktari bingwa wa Akili atakusaidia
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna jamaa katoa Sababu pengine nahisi inaweza kuwa ndo lengo la kina Todd..kusajili wachezaji wengi dirisha hili na pengine wachache dirisha la summer...ili misimu ijao kupita mchakato WA upanuzi WA uwanja ambapo kuna tetesi Chelsea wanaweza kuutumia uwanja WA Wembley km uwanja wao WA nyumbani ili kuacha zoezi la upanuzi WA uwanja ambao linaweza kutumia zaidi ya miaka 3....lna Newcastle hawajapata injury crisis km ya kwetu
Acheni kujificha kwenye kichaka cha injury

Hao waliopo walete matokeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom