lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,715
- 25,956
Na ogopa sana reporter anayeripoti taarifa za timu moja tu. Huyu Christian Falk anaripoti sport news za Bayern Munich tu ni kama yule wa Barcelona anayeitwa Gerard Romero. Wengi wao ni waongo na utakuta hapo akiripoti timu zingine ni kwa kupotosha kwa faida ya timu yake. Kumbuka pia Bayern walikuwa wanamtaka sana Havertz na hadi sasa wanmvizia tu akikosa amani Chelsea wamchukueHuyu Christian Falk simuamin tena na hizi habar zake ni kama Nizaar Kinsela.
Nakumbuka wakat Havertz anakuka aliwah sema mount amechukia ujio wa havertz[emoji1787][emoji1787] kuanzia hapo naona kila habar yake ni chache sana zinakuwa reliable n zinakuwa reported na hawa tier 1