lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,705
- 25,949
Mkuu nilikuwa nawalinganisha kwa dhamani sio position, kama tulivyomtaka Enzo kwa Mil 100 hata mchezaji standard ya Mount tunaweza pia kumtaka kwa hiyo hiyo kiasi kama tutahitaji kumsajiliEnzo na Mount ni 2 different player mkuu
Kiuchezaj mpk kwenye nafas wanazocheza ni wachezaj wawili tofauti.
Mount huwez sema unaunda team kumzunguka yeye hapana,
Ukitaka kuona angalia influence anayokuwa nay James katika games akiwepo na asipokuwepo halaf njo kwa mount influence yake akiwepo na asipokuewepo.
Kuhusu influence, Mount pale kwenye fowards ana Chemistry mbovu kutokea kwenye CMF kwa sababu yeye anatakiwa hasa kushambulia kutokea katikati, na hata hivyo mechi ambapo alipata chemistry nzuri Mount alikuwa na influence. Chemistry nzuri ninayoizungumzia ni ya Kova akiwa kwenye form hasa ile ya kupress na kupeleka mipira mbele na pia akiwemo Kante mwenye uwezo mkubwa wa kudisposses na kupeleka mipira mbele
Kwa sababu Mount actually yeye sio mchezaji wa kiungo bali ni foward zaidi kwa maana ya winga au Attacking mieldfilder. sasa sehemu kubwa ya uchezaji wa Mount umeharibiwa na uwepo wa takataka hasa zile za katikati ambazo hazijui kuanzisha mashambulizi yaani build-ups. Hii imesababisha Mount naye kuonekana kashuka kiwango. James yeye anafaidika na ukweli kwamba timu nyingi hazipress sana kutokea kwenye winks. Kwa hiyo kwa wachezaji wanaojua kushambulia kutokea kwenye winkis huwa wanapata faida hiyo. Timu nyingi huwa zinakuwa makini wakati wanashambuliwa kwenye eneo la katikati ya uwanja kwa kutumia diamond shape. Kuanzia mabeki hadi viungo hawajali kupeleka mashambulizi zaidi ya back passes na sideway passes
Kwa kusema hayo mimi bado nina imani kwa Mount na bado anaweza kuwa na influence na pia kwa upenda wa involvment kwenye magoli.
Kocha tu azoee kumtumia Zakaria na tupate kiungo mwingine atakaye influence uchezaji hapo katikati, utaona manufaa ya Mount