Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The Times understands Chelsea are considering a move for winger Nordi Madueke. (@TomRoddy_)
 
Sio jambo jipya hili
Screenshot_20230109-231819_Twitter.jpg
 
Aubameyang; " when I arrived at Chelsea, I thought I would achieve everything I was eager to help my new team win another champions league trophy , in my mind I thought Chelsea was the perfect team for me but when I arrived I found everything is different, I even asked my agent if he can cancel my contract and find another team , the first day of training I arrived early only to find jorginho, kovacic, mount, pulisic and ziyech watching Bruno Fernández videos
 
Chelsea itazidi kuzama wasipojirekebisha kwenye management , Leo Toddy ka step down kuwa SPORTING DIRECTOR,

Sasa tajiri wewe, Sporting director wewe, chief negotiotor wewe, matokeo yake Katumia €400m Lakini kikos Kama Cha €50m....

Toddy kinachomtafuna Hana knowledge kubwa na soka la ulaya ,ndio maana dili nyingi anavamia kumbuka ni owner hapo hapo Ni Sporting director ,Leo rasmi kajivua,lakin Bado yeye Ndiye mwenye nguvu

Transfer news LIVE: Todd Boehly 'steps down' as Chelsea sporting director

Kwahiyo huyu jamaa msimshangae kwanini deals nyingi Sana toka summer anafanya hijacking,Ni sababu Hana uelewa na football ,wao USA wanajua American soccer tu,

Thus why Mpaka Sasa katumia €400m but katika hao wachezaji wote wanaonekana average players,

Kwanza Kama sporting director moja ya jukumu lake Ni kujua timu inacheza aina gani , tusajili wachezaji gani watakaofiti mfumo wetu.

Kama Edu pale Arsenal hawez kuleta mchezaji ambaye Arteta hamtaki ,sababu anatakiwa kuendana na aina na ya uchezaji wa Mwalimu na SPORTING DIRECTOR lazima anakuwa na uelewa na football ,au pale Liverpool kipind Cha Michael Edward au kwa Sasa yupo Ward ,hawawezi kuleta mchezaji Klopp hajamuidhinisha ,

Arsenal tulikuwa na Raul Sanheil ,huyu alikuwa baadhi ya wachezaji anawasajili kibabe bila Kocha kuwataka ,mfano Nicolaus Pepe, Unai emery alimtaka Zaha ,Raul akamwambia namleta Pepe , matokeo yake wachezaji wengi aliowaleta hawakuwa chaguo la Mwalimu, waliishia ku struggle .

Sasa niambie toddy lini alikuwa kwenye tasnia ya mpira huu wa ulaya sio ule wa kwao marekani

Toddy kamtimua Tuchel ,kamleta Potter halafu usajili Bado anafanya yeye ,kila mchezaji lazima aingilie ,je Kocha anamtaka ?

Mwisho atajikuta anafanya kazi bure
 
Joao Felix to Chelsea: Vitu vya kuchukulia tahadhari
Joao Felix ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza takriban nafasi zote za mbele ikiwa ni pamoja na kiungo mshambuliaji, wide winger na false no 9
Alipokuwa Benefica, Joao aliiwezesha Benefica kubeba ubingwa wa Portugal Primeira Liga kwa kufunga magoli 15 katika app 26. Uhamisho wake ulivunja rekodi ya uhamisho wa vijana under 20 kwa kununuliwa kwa paundi 113m
Aliitwa majina mengi mara the next Ronaldo mara the next Kaka
Ila baada tu ya kutua Metropolitano, Joao Felix hakuchukua muda kuanza kutofautiana kimaono na Diego na tangu hapo hakuweza kuonyesha vipawa alivyokuwa navyo na maisha yake chini ya Simeoni ikawa ni shaghalabaghala tu.

Sasa Uongozi wa Atletico pamoja na bado wana imani kuwa Joao Felix atakuja kuwa World Class player ila wameafiki kumtoa mkopo kwa sababu ya tofauti yake na kocha wake ambazo zimekosa ufumbuzi.

Chelsea sasa wako kwenye mazungumzo ya juu kabisa kumchukua mchezaji huyo kinda na mwingi wa vipawa kuja darajani kwa mkopo.

Joao ana miaka 23 tangu November 2022 na analipwa zaidi ya Paundi 250,000.00 na Chelsea watatakiwa kubeba gharama zote za mshahara wake

Felix hafai kabisa kwenye mfumo wa kupaki mabasi. Ugomvi wake mkubwa na Simeoni ni mfumo wa Simeoni wa kupaki mabasi hata kama wanamiliki mpira. Felix anafit kwenye timu yenye kumiliki mpira na kucheza open game

Felix ni mzuri sana kwenye kutengeneza nafasi, Akikutana na Mount, Sterling na Fofana itakuwa combionation nzuri sana kwenye kutenegenza nafasi na kufunga. Kumbuka huu usajili ni wa kutibu shida ya muda tu hadi juni 30. Sijui kama kwenye mkataba wameweka obiligation ya kumnunua na hata kama wameweka sidhani kama Chelsea watakuwa tayari kukaribia ada ya uhamisho wake kutoka Benefica.

Mwisho kinachonisikitisha tu ni kwamba bado hatutatui tatizo kuu la Chelsea ambalo liko katikati pale kusajili kiungo mkabaji na kiungo mbunifu. Pia tunamhitaji backup wa James badala ya kuweka matumaini yetu kwa Azpilicueta

Wanadai usajili huu umesukumwa na majeruhi ya mechi ya mwisho

1673305598995.png
 
View attachment 2475763
Chelsea hakuna Timu pale,ni kikundi cha wahuni tu ndio maana inagongwa kila siku
 
Aubameyang; " when I arrived at Chelsea, I thought I would achieve everything I was eager to help my new team win another champions league trophy , in my mind I thought Chelsea was the perfect team for me but when I arrived I found everything is different, I even asked my agent if he can cancel my contract and find another team , the first day of training I arrived early only to find jorginho, kovacic, mount, pulisic and ziyech watching Bruno Fernández videos
Rabish
 
Yaani Chelsea inawaza kusajili magarasa tu kila kukicha ,huyo Joao Felix ni Kazi harvetz mwingine , style ya kucheza ,ugoigoi ni ileile ,nakwambia Epl anaflop huyo Felix
 
Chelsea itazidi kuzama wasipojirekebisha kwenye management , Leo Toddy ka step down kuwa SPORTING DIRECTOR,

Sasa tajiri wewe, Sporting director wewe, chief negotiotor wewe, matokeo yake Katumia €400m Lakini kikos Kama Cha €50m....

Toddy kinachomtafuna Hana knowledge kubwa na soka la ulaya ,ndio maana dili nyingi anavamia kumbuka ni owner hapo hapo Ni Sporting director ,Leo rasmi kajivua,lakin Bado yeye Ndiye mwenye nguvu

Transfer news LIVE: Todd Boehly 'steps down' as Chelsea sporting director

Kwahiyo huyu jamaa msimshangae kwanini deals nyingi Sana toka summer anafanya hijacking,Ni sababu Hana uelewa na football ,wao USA wanajua American soccer tu,

Thus why Mpaka Sasa katumia €400m but katika hao wachezaji wote wanaonekana average players,

Kwanza Kama sporting director moja ya jukumu lake Ni kujua timu inacheza aina gani , tusajili wachezaji gani watakaofiti mfumo wetu.

Kama Edu pale Arsenal hawez kuleta mchezaji ambaye Arteta hamtaki ,sababu anatakiwa kuendana na aina na ya uchezaji wa Mwalimu na SPORTING DIRECTOR lazima anakuwa na uelewa na football ,au pale Liverpool kipind Cha Michael Edward au kwa Sasa yupo Ward ,hawawezi kuleta mchezaji Klopp hajamuidhinisha ,

Arsenal tulikuwa na Raul Sanheil ,huyu alikuwa baadhi ya wachezaji anawasajili kibabe bila Kocha kuwataka ,mfano Nicolaus Pepe, Unai emery alimtaka Zaha ,Raul akamwambia namleta Pepe , matokeo yake wachezaji wengi aliowaleta hawakuwa chaguo la Mwalimu, waliishia ku struggle .

Sasa niambie toddy lini alikuwa kwenye tasnia ya mpira huu wa ulaya sio ule wa kwao marekani

Toddy kamtimua Tuchel ,kamleta Potter halafu usajili Bado anafanya yeye ,kila mchezaji lazima aingilie ,je Kocha anamtaka ?

Mwisho atajikuta anafanya kazi bure
Huwa nasema Zile 300M za summer nikama alitoa sadaka tu, Huwez tumia 300M kwa mwalim ambae huna mpango nae na mmeshakosana na unajua tu ikifika siku 100 mtamfukuza.

Owner siku zote inabidi uwe mbali na team na uwaachiewatu watu wanaojua mpira wafanye kazi yao.

Sema Boehly na mwenzake Eghbal wanapenda PR sana.
 
Alichokuwa anakataa TT ni hiki ambacho GP anakiendekeza ya mtu asiyejua football kujiweka kimbelembele kwa kila kitu
 
With all due respect Kwa Roman abrahamovic Bora boehly amerecruit watu wanaojua mpira kina Joe shields, Paul winstley, Christopher vivell sahv kuliko kipindi kile cha kina marina tulifanya sajili bila scouting ya kutosha ambazo zimeleta madhara yanayotuaffect sahv.....tuwe tunafuatilia habari wazee yeye Hana umbelembele Kwa kila kitu kipindi kile kina marina n cech wamestep down majukumu Yao na zoezi la kupata director of football Kwa wakati ule kuwa ngumu aliamua kukaimu Kwa muda mpk pale walipo patikana
 
Hivi TT alikuwa na shida gani au huyu boss miluzi anataka tukose hata champions league?
 
Pamoja na mkeka huu wote bado tunakalishwa chini kama watoto ... inauma saana.

skysports-chelsea-signings_5890383.jpg
 
With all due respect Kwa Roman abrahamovic Bora boehly amerecruit watu wanaojua mpira kina Joe shields, Paul winstley, Christopher vivell sahv kuliko kipindi kile cha kina marina tulifanya sajili bila scouting ya kutosha ambazo zimeleta madhara yanayotuaffect sahv.....tuwe tunafuatilia habari wazee yeye Hana umbelembele Kwa kila kitu kipindi kile kina marina n cech wamestep down majukumu Yao na zoezi la kupata director of football Kwa wakati ule kuwa ngumu aliamua kukaimu Kwa muda mpk pale walipo patikana
With due respect nimemzungumzia Boehly kabla ya hao uliowataja. Maoni yako kwa kweli yatakuwa na nyama njema hao wakianza kazi na wasipoingiliwa.

Kwa sababu kuna vitu viwili tofauti kabisa hapo
  1. Kuna kuwasajili hao jamaa wazuri kabisa NA
  2. Kuwapa uhuru wa kufanya kazi bila kuingiliwa
Hofu yangu kilichomfukuza TT isije ikawaondoa na hao mabwana uliowataja because of the kimbelembele cha Boehly. God forbid hicho kisitokee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom