Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cheltako mnalala mpka sshv mna raha gani nyie yatima fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji328] Kwa hisani ya watu wa Marekani.
tapatalk_386854997_470x680.jpg
 
Kwani hatukuchukua kombe la Uefa, epl tukamalizia no 3. Uefa ya pili tukaenda robo fainali, kwa huyu porter na wachezaji hao hao tutamaliza na fasi ya nane au 10,. Mkuu na kuambia hili mchezaji yoyote anaetakwa na barca jua ni mzuri Azipp barca inamhitaji Joghinio, Kante covicic nk, mimi kwangu kwa porter tumepigwa.
Tuna wachezaji daraja la kwanza ila tuna kocha wa daraja la chini mno, kuna vitu viko wazi hata asiyekuwa kocha anaviona.

Mfano huko nyuma hakuna timu iliyokuwa inatamani kucheza na Chelsea maana ilikuwa mchakamchaka kwenda mbele mwanzo mwisho lakini njoo sasa yaani kinachochezwa uwanjani utadhani genge la wahuni linafanya mazoezi.
Kwa wachezaji tulio nao kwa Epl ilitakiwa City ndo tutunishiane nao msuli tu ila wengine tupa kule.

Mchezaji kama hakupi unachotaka, kuendelea kumng'ang'ania wakati wapo wengine means wewe viatu ulivyovaa sio size yako.

Una vijana wenye hamu ya mafanikio lakini hata benchi wanakaa kwa mbinde kila siku akina Joji ndo kipaumbele, hapo kwa nini timu isikushinde?, act kama manager mchezaji akizingua weka pembeni uone kama hawatafanya kazi.

Siku hizi timu ikitanguliwa goli moja tu hesabu hiyo mechi tumepoteza, hakuna morali wala juhudi za kupambania timu yaani kila mmoja anacheza kivyake, kwa mazingira hayo tambua timu haina mwalimu ila ina msimamia mazoezi tu.
 
Hii shida tuko nayo tangu msim uliopita, Tangu wakat wa Tuchel tuko hivi, tukishatanguliwa tu ndio basi tena ni draw au tumefungwa.
 
Tungepata mwalimu bora tungekuwa tunafungwa lakini mechi chache, angalia msimu huu hatujui hata nafasi ya 10 kama tutaipata, kila timu ya Epl tunayokutana nayo kwetu ni ngumu wakati tumetumia zaidi ya $300m kusajili msimu huu pekee.

Ngoja tusubiri vipigo vya Uefa navyo maana hakuna namna.
Daima ninailumu Russia na Ukraine maana boss wetu kipenzi Abramovic asingevumilia ujinga huu wa ndani ya mechi 8 mfululizo tumeshinda mechi 1 tu na vipigo vya mbwamwitu 5
 
Watu tunajificha kwenye kivuli cha Potter ila wakat wa Tuchel mwezi August n September tulikuwa tunamlalamikia Tuchel. Wakat tunafungwa na Leeds,Southamptom,Zagreb, watu walilamika humj kuwa Tuchel kashindwa,Kapoteza dress room,sio kocha wakutupeleka nchi ya ahadi,kocha ambae hawez kukaa na wachezaj vizur or uongozi.

Ila now mzigo tunamshushia Potter, issue ya backpass,sideway pass, kutokucheza kwa intensity, kutanguliwa n kutojarib kusawazisha or kuwin game hakujaanza leo.

Wakat nilipokuwa namtetea Tuchel watu walisema na mahaba nae ila ukweli ni Kila kocha atakae kuja tutamuona mbaya til tutakapobadilisha wachezaj,

Mchezaj kama Azp hakufaa hata kuongezewa mkataba, Galagher,RLC hawa wote hawastahil kuvaa zile jezi,

Poor summer signing tulifanya panic signing,
 
3 loss, 3 draw, 1 win

Huwa nasema siku zote hapa, why uinvest 300M kwa mwalim ambae ulijua utamfukuza,? BOEHLY N CO walikurupuka last summer sawa tulikuwa tuna uhitaj wa kusajil ila Spending 300M kwa wachezaj ambao unajua kabisa huyo unayemnunulia utamfukuza ni kama kupoteza hizo hela
 
Hapo niliongezea na moja ya Carabao cup tuliyopigwa na City ndo zinafika game 8, ila huyu Boehly na Co wana hela ila kuna sehemu wamekwama kwenye kipengele cha nani anafaa kuwa kocha, hawakuwa na sababu ya kutumia hela ndefu na Tuchel wala huyu Potter tuliye naye sasa.

Makocha wa kiitaliano wakija pale darajani huwa wanaambatana na mafanikio ya mapema, hata mafegi Sari unakumbuka alibeba ndoo wakati hakuwahi beba chochote popote.

Angeletwa kocha mwenye hulka kama ya Pep akawa manager kisha akaendelea kusuka kikosi huku akiondoa virusi vyote na kuweka mbele maslahi mapana ya timu hakika kwa hela wanayowekeza hakuna timu duniani ingetusumbua.

Msimu huu si ajabu ukaisha tumetumia 700M kwenye usajili ila tukaishia nafasi ya 14
 
[emoji599] BREAKING: Chelsea broad will have a meeting with Graham Potter today and they might sack him following the bad results,

Jamani tuombe wana Chelsea tunao pata furaha timu yetu ekishinda huyu jama apewe onyo la mwisho au afukunzwe, ili timu yetu etufurahishe tena. Huyu potter ndo tstizo hana mbinu Chelsea nikumbwa kwake
Screenshot_20230102-140219_Facebook.jpg
 
Acha utani mkuu, League tumeamiliza wa 3 kwa sababu ya bahat If Arsenal n United wangekuwa makini unahisi tungekuwa watatu
Kama unafatilia game zetub tangu msim uliopita utaelewa. OUR SEASON msim uliopota uliisha pale kwenye game ya Juventus UEFA, baada ya hapo kila mtu aliona kilichotokea mpk mwisho mwa msim.

Kuingia fainal za FA,Carabao sio kigezo cha kuifanya team iwe nzuri, replicate performanc ya cup games to Leagu games,

Pep anatawala coz performance anayokupa FA,Carabao ndio hiyo hiyo anayokupa Kwenye League, na sikusubir 1 tie game bali fanya kile kitu kwa mechi nyingi ndio uonekane bora.

Liverpool City washaset standard kuwin premier league fikisha poing 90+,avoid kupoteza game mara kwa mara, shinda mechi nyingi mfululizo, last time tunachukua premier league walat wa Conte tulicheza game 14 mfululizo bila kupoteza wala kudraw hivyo ndio mabingwa siku zote wanacheza.

Je sisi hivi sasa tunaweza cheza hata mechi 6 tunashinda tu. NEVER

Mchezaj kutakiwa na barce hakumfany awe mzuri, Barce now wako bankrupt thus wanahitaj wachezaj wa huru, Unataka kusema Belerin,Alonso,Martin Braithwhite etc ni wazuri????
Wewe jamaa unajua Sana mpira ,

Halafu yule LCB wenu yupo Brighton anajua Sana ,Hivi Chelsea hamuonagi Vipaji?

Hivi mnajua huyu dogo yupo kwenye Rada zetu hata kabla hajaenda Brighton?

Halafu nyie mmechukulia poa Sana ,
 
Levi Colwil nahisi msim ujao huenda akarudi.

Chelsea huwa tunashida ya kutoamini vipaji.
 
Tuna wachezaji daraja la kwanza ila tuna kocha wa daraja la chini mno, kuna vitu viko wazi hata asiyekuwa kocha anaviona.

Mfano huko nyuma hakuna timu iliyokuwa inatamani kucheza na Chelsea maana ilikuwa mchakamchaka kwenda mbele mwanzo mwisho lakini njoo sasa yaani kinachochezwa uwanjani utadhani genge la wahuni linafanya mazoezi.
Kwa wachezaji tulio nao kwa Epl ilitakiwa City ndo tutunishiane nao msuli tu ila wengine tupa kule.

Mchezaji kama hakupi unachotaka, kuendelea kumng'ang'ania wakati wapo wengine means wewe viatu ulivyovaa sio size yako.

Una vijana wenye hamu ya mafanikio lakini hata benchi wanakaa kwa mbinde kila siku akina Joji ndo kipaumbele, hapo kwa nini timu isikushinde?, act kama manager mchezaji akizingua weka pembeni uone kama hawatafanya kazi.

Siku hizi timu ikitanguliwa goli moja tu hesabu hiyo mechi tumepoteza, hakuna morali wala juhudi za kupambania timu yaani kila mmoja anacheza kivyake, kwa mazingira hayo tambua timu haina mwalimu ila ina msimamia mazoezi tu.
Umeongea point kubwa Sana yeye juan david anamtetea kocha umemoa majibu sahihi
 
Watu tunajificha kwenye kivuli cha Potter ila wakat wa Tuchel mwezi August n September tulikuwa tunamlalamikia Tuchel. Wakat tunafungwa na Leeds,Southamptom,Zagreb, watu walilamika humj kuwa Tuchel kashindwa,Kapoteza dress room,sio kocha wakutupeleka nchi ya ahadi,kocha ambae hawez kukaa na wachezaj vizur or uongozi.

Ila now mzigo tunamshushia Potter, issue ya backpass,sideway pass, kutokucheza kwa intensity, kutanguliwa n kutojarib kusawazisha or kuwin game hakujaanza leo.

Wakat nilipokuwa namtetea Tuchel watu walisema na mahaba nae ila ukweli ni Kila kocha atakae kuja tutamuona mbaya til tutakapobadilisha wachezaj,

Mchezaj kama Azp hakufaa hata kuongezewa mkataba, Galagher,RLC hawa wote hawastahil kuvaa zile jezi,

Poor summer signing tulifanya panic signing,
Kama unajua RLC, Gallagher na alzipilicueta ni wabovu kwanini kocha wako anaendelea kuwakumbatia
 
Chelsea umefunga mechi mbili kati ya mechi 8. Bado kuna mashabiki wenzangu bado wana imani na huyu potter anae kingiwa kifua na media za uingereza eti process mara project nk. Uhai wa the blues ni kumtema huyu bwana, period.
Screenshot_20230102-152636_Facebook.jpg
 
[emoji599] BREAKING: Chelsea broad will have a meeting with Graham Potter today and they might sack him following the bad results,

Jamani tuombe wana Chelsea tunao pata furaha timu yetu ekishinda huyu jama apewe onyo la mwisho au afukunzwe, ili timu yetu etufurahishe tena. Huyu potter ndo tstizo hana mbinu Chelsea nikumbwa kwakeView attachment 2466634
Leta chanzo cha habar
 
Tungepata mwalimu bora tungekuwa tunafungwa lakini mechi chache, angalia msimu huu hatujui hata nafasi ya 10 kama tutaipata, kila timu ya Epl tunayokutana nayo kwetu ni ngumu wakati tumetumia zaidi ya $300m kusajili msimu huu pekee.

Ngoja tusubiri vipigo vya Uefa navyo maana hakuna namna.
Daima ninailumu Russia na Ukraine maana boss wetu kipenzi Abramovic asingevumilia ujinga huu wa ndani ya mechi 8 mfululizo tumeshinda mechi 1 tu na vipigo vya mbwamwitu 5
Mkuuu kwa hiyo putin unamkataaa kuanzisha ma vita yake wakati hajui kuna mtu anaitwa K11: anapata furha kupitia Chelsea haha [emoji1]
 
Mwaka ambao arse8 walikuwa vizuri sisi chelsea tulikuwa vibaya mnoo, angalia msimu ule tunamaliza nafasi ya kumi uko, arse8 alimaliza nazani nafasi ya pili au tatu hivi ..baada ya hapo akaja Conte akafanya kweli. Ivyo msimu ujao naamini tutakuwa na timu bora kabisa ya kusumbua misimu minne au mitano ivi epl.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Nyinyi Mburkenge ndio kwisha habari yenu, hamna uwezo tena wa kusumbua labda mseme mtakua na uwezo wa kusasambua.
tapatalk_-1770176491_360x433.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom