K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 4,165
- 13,431
Hahaaa, kweli kabisa kiongozi, anatunyima furaha wengineMkuuu kwa hiyo putin unamkataaa kuanzisha ma vita yake wakati hajui kuna mtu anaitwa K11: anapata furha kupitia Chelsea haha![]()
Hahaaa, kweli kabisa kiongozi, anatunyima furaha wengineMkuuu kwa hiyo putin unamkataaa kuanzisha ma vita yake wakati hajui kuna mtu anaitwa K11: anapata furha kupitia Chelsea haha![]()
Huwezi kumtenga kocha na yanayotokea Chelsea. Kuficha udhaifu kwa kocha kwa sasa tumpe muda tuSijamkosoa TT, ndio manna nasema shida yetu sio kocha bali wachezaji.
Inconsistence hazijaanza leo wala jana bali ni mda mrefu tu. Bila kutatua tatizo hata aje Enrique kwa hawa hawa tutamuona mbaya. UNLESS He demand squad overhaul otherwise tutaendelea kulalamika kwa kila kocha atakaekuja
Kwa sabau hawako wabunifuTeam inapiga back pass mpaka kero jamaa wamesharudisha ila team haiyoneshi inataka ushindi kiukweli kocha ni sehemu ya yeye kutufelisha hivi huyu Mount ni nani pale kiasi ambacho afanyiwi sub na kila game lazima aanze hata kama hayupo kwenye performance nzuri, kuna wale matakataka wawili wa kiingereza Gallagher na RLC yaani huyu kocha anawapenda Sana, angalia Ziyech dakika alizocheza alikuwa Bora kuliko sterling aliyecheza muda mwingi.Tunaweza kuwa tunashangaa kwanini Pulisic, Ziyech hawafanyi vizuri kulinganisha na uwezo wao hii yote ni kwasababu aina ya uchezaji wetu back pass kama 1000 na Ndio maana forward wetu wanaonekana ni butu
Ila wewe unachekesha sana, Azpi huyu huyu tunayejua uwezo wake sasa kachoka , Alonso Barca wamemchukua lakini unamfuatilia anafanya vitu gani huko? Yale yale makosa aliyokuwa nafanya Chelsea anaendelea kuyafanya Barca. Juzi aliwazamisha na kitimu kidogoKwani hatukuchukua kombe la Uefa, epl tukamalizia no 3. Uefa ya pili tukaenda robo fainali, kwa huyu porter na wachezaji hao hao tutamaliza na fasi ya nane au 10,. Mkuu na kuambia hili mchezaji yoyote anaetakwa na barca jua ni mzuri Azipp barca inamhitaji Joghinio, Kante covicic nk, mimi kwangu kwa porter tumepigwa.
GP ni kocha wa daraja la juu, anaweza asimfikie PEP na Conte lakini sio kocha mdhaifu kama mnavyofikiri. Wachezaji wanaoharibu Chelsea sio wengi, ninaapa ni wachezaji wachache sana tena katika wachezaji hao sio mabeki wala washambuliaji. Pale kwenye kiungo narudiaTuna wachezaji daraja la kwanza ila tuna kocha wa daraja la chini mno, kuna vitu viko wazi hata asiyekuwa kocha anaviona.
Mfano huko nyuma hakuna timu iliyokuwa inatamani kucheza na Chelsea maana ilikuwa mchakamchaka kwenda mbele mwanzo mwisho lakini njoo sasa yaani kinachochezwa uwanjani utadhani genge la wahuni linafanya mazoezi.
Kwa wachezaji tulio nao kwa Epl ilitakiwa City ndo tutunishiane nao msuli tu ila wengine tupa kule.
Mchezaji kama hakupi unachotaka, kuendelea kumng'ang'ania wakati wapo wengine means wewe viatu ulivyovaa sio size yako.
Una vijana wenye hamu ya mafanikio lakini hata benchi wanakaa kwa mbinde kila siku akina Joji ndo kipaumbele, hapo kwa nini timu isikushinde?, act kama manager mchezaji akizingua weka pembeni uone kama hawatafanya kazi.
Siku hizi timu ikitanguliwa goli moja tu hesabu hiyo mechi tumepoteza, hakuna morali wala juhudi za kupambania timu yaani kila mmoja anacheza kivyake, kwa mazingira hayo tambua timu haina mwalimu ila ina msimamia mazoezi tu.
Hasa tukifanyiwa pressing. Chelsea haiendani kabisa na timu inayofanya pressingHii shida tuko nayo tangu msim uliopita, Tangu wakat wa Tuchel tuko hivi, tukishatanguliwa tu ndio basi tena ni draw au tumefungwa.
Sifa hizi ni za shabiki walio wengiWatu tunajificha kwenye kivuli cha Potter ila wakat wa Tuchel mwezi August n September tulikuwa tunamlalamikia Tuchel. Wakat tunafungwa na Leeds,Southamptom,Zagreb, watu walilamika humj kuwa Tuchel kashindwa,Kapoteza dress room,sio kocha wakutupeleka nchi ya ahadi,kocha ambae hawez kukaa na wachezaj vizur or uongozi.
Ila now mzigo tunamshushia Potter, issue ya backpass,sideway pass, kutokucheza kwa intensity, kutanguliwa n kutojarib kusawazisha or kuwin game hakujaanza leo.
Wakat nilipokuwa namtetea Tuchel watu walisema na mahaba nae ila ukweli ni Kila kocha atakae kuja tutamuona mbaya til tutakapobadilisha wachezaj,
Mchezaj kama Azp hakufaa hata kuongezewa mkataba, Galagher,RLC hawa wote hawastahil kuvaa zile jezi,
Poor summer signing tulifanya panic signing,
Kwani wameanza kupangwa wakat wa Potter tu????Tuchel alikiwa hawapangi????Kama unajua RLC, Gallagher na alzipilicueta ni wabovu kwanini kocha wako anaendelea kuwakumbatia
Hata TT asingefaa tuseme ukweli, Timu ilikuwa inazama yeye akiwa Kocha, Utundu wake unaweka mgawanyiko wa wachezaji kwa sababu hawezi funga domo kuwasema wachezaji kwenye vyombo vya habari.Watu tunajificha kwenye kivuli cha Potter ila wakat wa Tuchel mwezi August n September tulikuwa tunamlalamikia Tuchel. Wakat tunafungwa na Leeds,Southamptom,Zagreb, watu walilamika humj kuwa Tuchel kashindwa,Kapoteza dress room,sio kocha wakutupeleka nchi ya ahadi,kocha ambae hawez kukaa na wachezaj vizur or uongozi.
Ila now mzigo tunamshushia Potter, issue ya backpass,sideway pass, kutokucheza kwa intensity, kutanguliwa n kutojarib kusawazisha or kuwin game hakujaanza leo.
Wakat nilipokuwa namtetea Tuchel watu walisema na mahaba nae ila ukweli ni Kila kocha atakae kuja tutamuona mbaya til tutakapobadilisha wachezaj,
Mchezaj kama Azp hakufaa hata kuongezewa mkataba, Galagher,RLC hawa wote hawastahil kuvaa zile jezi,
Poor summer signing tulifanya panic signing,
That was a big mistakes. Ila siwashangai, Wamerakani huwa ni wakurupukaji tu3 loss, 3 draw, 1 win
Huwa nasema siku zote hapa, why uinvest 300M kwa mwalim ambae ulijua utamfukuza,? BOEHLY N CO walikurupuka last summer sawa tulikuwa tuna uhitaj wa kusajil ila Spending 300M kwa wachezaj ambao unajua kabisa huyo unayemnunulia utamfukuza ni kama kupoteza hizo hela
TT alikuwa hawapangi, Galagher alikuwa mkopo, Azpi na RLC walikuwa wanapangwa wachezaji muhimu wakiwa majeruhi na ni mara chacheKwani wameanza kupangwa wakat wa Potter tu????Tuchel alikiwa hawapangi????
Azp mkataba ulikuwa umeisha ila Tuchel ndie akataka board imuongeze mkataba au tumesahau ????
Hapo ndipo shida ya Potter ilipo, kukumbatia baadhi ya wachezaj na ndio kinachomponza.Huwezi kumtenga kocha na yanayotokea Chelsea. Kuficha udhaifu kwa kocha kwa sasa tumpe muda tu
Arteta ni mfano mzuri ya kwamba kocha hawezi kutengwa timu inapofanya vibaya
Arteta badala ya kufundisha kikasuku aliwang'amua wachawi wote wanaosababisha uchezaji uwe wa kijinga. Alkiwabangua wote wasio faa na Arsenal ikatulia baada ya hao kutolewa
Kocha anayekumbatia wachezaji wabovu na yeye ni mbovu
Kuna wacheza wanaoizamisha Chelsea na wanajulikana
Wa kwanza ni Jorginho
Wa pili Azpilicueta anfaa kuwa backup tu, hawezi tena presure ya EPL, Pale anatakiwa hata awajaribu vijana wa academy ili wazoee. Ni bora academy akafanya makosa lakini atakuwa na kuzoea. Azpi sasa hivi hatutegemei atakuwa na kuja kucheza vizuri. Safari yake imeisha kabisa
Kova mzuri lakini natakiwa acheze na kiungo mbunifu, sio mpikaji, sio mtengenezaji, sio muundaji. Creator, proactive
LiesBREAKING: Chelsea broad will have a meeting with Graham Potter today and they might sack him following the bad results,
Jamani tuombe wana Chelsea tunao pata furaha timu yetu ekishinda huyu jama apewe onyo la mwisho au afukunzwe, ili timu yetu etufurahishe tena. Huyu potter ndo tstizo hana mbinu Chelsea nikumbwa kwakeView attachment 2466634
Kama ni kocha mzuri unampaje mtu namba ya kudumu wakati hakupi kile unachotaka?, pale chelsea kuna vijana wengi wanaozea kwenye mbao ndefu ambao wamesajiliwa wanaoweza kumpa kile anachotaka kwa asilimia kubwa na bado anaweza kuwafunda wakafundika maana hawajawa virusi kama huyo Joji.GP ni kocha wa daraja la juu, anaweza asimfikie PEP na Conte lakini sio kocha mdhaifu kama mnavyofikiri. Wachezaji wanaoharibu Chelsea sio wengi, ninaapa ni wachezaji wachache sana tena katika wachezaji hao sio mabeki wala washambuliaji. Pale kwenye kiungo narudia
Hatuna
Mfano mzuri na
- Creators
- Proactive
Fabregas ------------ Kante
Kiungo ambaye ni attacking minded
Kila wakati anawaza kutendenza nafasi, kuanzisha mashambulizi
Kupeleka majalo kwa akina Havertz, Sterling, Pulisic, Auba, akija Datro Fofana
Hatuna viungo wa naman hiyo. Tunao viungo wa kuwaza kurudisha mipira nyuma tu
Koulibaly angecheza pale kati angekuwa bora mara 10 ya Jorgninho
GP kaja kipindi kibayaKama ni kocha mzuri unampaje mtu namba ya kudumu wakati hakupi kile unachotaka?, pale chelsea kuna vijana wengi wanaozea kwenye mbao ndefu ambao wamesajiliwa wanaoweza kumpa kile anachotaka kwa asilimia kubwa na bado anaweza kuwafunda wakafundika maana hawajawa virusi kama huyo Joji.
Kocha mzuri anabadilika falsafa ya uchezaji kulingana na mahitaji ya mechi husika, lakini pale Chelsea kila siku afadhali ya jana.
Katika kipindi cha miaka zaidi ya 40 hakuna kocha amewahi fanya vibaya mfululizo kama huyo GP. Mechi 8 mfululizo ushindi 1, sare 2 na vipigo 5.
Hakuna kocha aliyepita darajani mwenye takwimu mbovu zaidi ya huyu GP, tuongee kwa data na pia tufanye analysis ya performance uwanjani utapata majibu kuwa kocha viatu ni vikubwa kwake.
Lampard alikuta timu imefungiwa kusajili akawa anawatumia vijana akina James & Co lakini hakufanya vibaya kwa kiwango cha GP mwenye kila kitu ila hajui kutumia rasilimali watu.
Tusubiri muda utaongea, japo ninajua ameshambiwa timu isipofika top 4 msimu huu hana chake tena, he will be sacked.GP kaja kipindi kibaya
Yuko kipindi yenye chnagmoto kubwa na naamini hali ya hewa itabadilika tu
- Timu inafanyiwa rebuilding na hapohapo
- Timu zilziokuwa goigoi sasa ziko imara ambazo ni Arsenal, Newcastle, Man U, Spurs na hata Brighton
- Pia majeruhi kwa wachezaji muhimu imeongezeka kuliko vipindi vingine
Hayo ni maoniu ya pundits, Boehly alisema hata ispomaliza Top 4 bado atabakiaTusubiri muda utaongea, japo ninajua ameshambiwa timu isipofika top 4 msimu huu hana chake tena, he will be sacked.
Watu hawataki kuelewa kuwq shida yetu tunawachezaj ambao ni wafanyakaz hewa.Hata TT asingefaa tuseme ukweli, Timu ilikuwa inazama yeye akiwa Kocha, Utundu wake unaweka mgawanyiko wa wachezaji kwa sababu hawezi funga domo kuwasema wachezaji kwenye vyombo vya habari.
Potter akipewa muda nahari nikatulia atakuwa kocha bora kuliko TT
Sijazungumzia msimu uliopita, msim huu hao wote wameanza kucheza wakat tuchel yupp bado hajafukuzwa,TT alikuwa hawapangi, Galagher alikuwa mkopo, Azpi na RLC walikuwa wanapangwa wachezaji muhimu wakiwa majeruhi na ni mara chache