OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Mwaka ambao arse8 walikuwa vizuri sisi chelsea tulikuwa vibaya mnoo, angalia msimu ule tunamaliza nafasi ya kumi uko, arse8 alimaliza nazani nafasi ya pili au tatu hivi ..baada ya hapo akaja Conte akafanya kweli. Ivyo msimu ujao naamini tutakuwa na timu bora kabisa ya kusumbua misimu minne au mitano ivi epl.
#CFC💙💙💙
#CFC💙💙💙