Mkuu Acha masihara ...yaaan unasema. Tunawachezaji level Sawa na city?Tuna wachezaji daraja la kwanza ila tuna kocha wa daraja la chini mno, kuna vitu viko wazi hata asiyekuwa kocha anaviona.
Mfano huko nyuma hakuna timu iliyokuwa inatamani kucheza na Chelsea maana ilikuwa mchakamchaka kwenda mbele mwanzo mwisho lakini njoo sasa yaani kinachochezwa uwanjani utadhani genge la wahuni linafanya mazoezi.
Kwa wachezaji tulio nao kwa Epl ilitakiwa City ndo tutunishiane nao msuli tu ila wengine tupa kule.
Mchezaji kama hakupi unachotaka, kuendelea kumng'ang'ania wakati wapo wengine means wewe viatu ulivyovaa sio size yako.
Una vijana wenye hamu ya mafanikio lakini hata benchi wanakaa kwa mbinde kila siku akina Joji ndo kipaumbele, hapo kwa nini timu isikushinde?, act kama manager mchezaji akizingua weka pembeni uone kama hawatafanya kazi.
Siku hizi timu ikitanguliwa goli moja tu hesabu hiyo mechi tumepoteza, hakuna morali wala juhudi za kupambania timu yaani kila mmoja anacheza kivyake, kwa mazingira hayo tambua timu haina mwalimu ila ina msimamia mazoezi tu.
Wachezaji wetu wengi mediocre ..wengine umri ushawatupa kina azpi, koulibaly, Silva kidogo anapambana, wengine viwango vya kawaida kina cheek, mount, cjui zakaria , havertz, jorginho...Kwa hao huwezi sema tupo toe and toe na city.... Rebuild inahitajika kwelikweliKiingereza cha mchongo cha wapi hicho? Chelsea broad?BREAKING: Chelsea broad will have a meeting with Graham Potter today and they might sack him following the bad results,
Jamani tuombe wana Chelsea tunao pata furaha timu yetu ekishinda huyu jama apewe onyo la mwisho au afukunzwe, ili timu yetu etufurahishe tena. Huyu potter ndo tstizo hana mbinu Chelsea nikumbwa kwakeView attachment 2466634

Nafikiri inategemea TT naona hakuwahi kuwaamini chipukizi Sana ..aliyefanikiwa kupenya kwenye kikosi Labda chalobah pekee...Ila wengine aliwapiga Kwa mkopo hata huyu colwill alipigwa Kwa mkopo na Tuchel na potter alimchukua wakati bado yupo Brighton ...maybe msimu ujao anaweza akamrudishaLevi Colwil nahisi msim ujao huenda akarudi.
Chelsea huwa tunashida ya kutoamini vipaji.
Mimi sijamzungumzia TT mimi nadeal na GP niambie kwanini Gallagher na RLC wanan'ganiniwa na kocha?Kwani wameanza kupangwa wakat wa Potter tu????Tuchel alikiwa hawapangi????
Azp mkataba ulikuwa umeisha ila Tuchel ndie akataka board imuongeze mkataba au tumesahau ????
Me najaribu kukuonesha kuwa hao wachezaj hawajaanza kucheza leo wakat wa potter ila tangu msim huu umeanza walikuwa wanaanza.Mimi sijamzungumzia TT mimi nadeal na GP niambie kwanini Gallagher na RLC wanan'ganiniwa na kocha?
Oya Lembu , najua mtapambana kwa city ,tupo pamojaKuna mtu kule west london anakula jogoo la mwaka mpya


Oya Lembu , najua mtapambana kwa city ,tupo pamoja
Japo kila mtu ashinde mechi zake, ila dhidi ya city tupo Upande wenu




baada ya haland kupiga hat trick uje utucheke humuTena tunacheza mara 2 ndani ya siku 3Oya Lembu , najua mtapambana kwa city ,tupo pamoja
Japo kila mtu ashinde mechi zake, ila dhidi ya city tupo Upande wenu
Nyie mnatakiwa mpigwe ban ya kusajili ndio hawa watoto wenu watapata nafasi, bila ban ya kipind kile , Kina James ,Tammy, Mount, nk wasingejulikanaIan Maatsen anafanya vizuri kule Burnley. Yeye ni LB au Wing back wa kushoto
Wote hao tunao ni wetu, Badiashile, Colwill, Ian Maatsen wote wa kwetu. Tunahitaji timu pana ili kucop na injuriesNyie mnatakiwa mpigwe ban ya kusajili ndio hawa watoto wenu watapata nafasi, bila ban ya kipind kile , Kina James ,Tammy, Mount, nk wasingejulikana
Nilishangaa Sana maskauti wetu wanamtaka Levi cowill hapo hajacheza hata EPL mechi moja , baadae mkampeleka Brighton loan , anakiwasha balaa ,Cha ajabu mnaingia sokon mnasajili wachezaji wanafasi ile ile
Mkuu nahisi huyu dogo atarudi tu, Silva na Koulibal hawana mda mrefu pale.Nyie mnatakiwa mpigwe ban ya kusajili ndio hawa watoto wenu watapata nafasi, bila ban ya kipind kile , Kina James ,Tammy, Mount, nk wasingejulikana
Nilishangaa Sana maskauti wetu wanamtaka Levi cowill hapo hajacheza hata EPL mechi moja , baadae mkampeleka Brighton loan , anakiwasha balaa ,Cha ajabu mnaingia sokon mnasajili wachezaji wanafasi ile ile
Sasa wewe unafikiri hizi kenge zina akili?Nyie mnatakiwa mpigwe ban ya kusajili ndio hawa watoto wenu watapata nafasi, bila ban ya kipind kile , Kina James ,Tammy, Mount, nk wasingejulikana
Nilishangaa Sana maskauti wetu wanamtaka Levi cowill hapo hajacheza hata EPL mechi moja , baadae mkampeleka Brighton loan , anakiwasha balaa ,Cha ajabu mnaingia sokon mnasajili wachezaji wanafasi ile ile