Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu gani inaocheza kipindi kimoja tu, kipindi cha pili wote wanaanza kuangaika kuzuia katimu kadogo kama ako, potter anaua vipaji vya wachezaji wetu, Chelsea haina wachezaji wa bomvu. Kocha ndo shida hapo. Hamna cha project yoyote hapo
 
Tutaendelea kulalamika kwa kila kocha atakaekuja, Tuchel mlimsema anaua vipaj,

Hii team yetu inahitaji rebuild ,

Mashabiki tunaamink tunateam nzuri ila tunateam mbovu ndio maana kwenye league hatujawah kwenda toe to toe na city or liverpool, kwa sababu league inahitaj consistenc kwenye kila mechi, ila sisi team yetu ina inconsistence

Wachezaj wetu wachache sana ndio kila game unakuta wanatoa performance nzuri Silva,James wengine ni homa za vipindi
Wachezaj wanacheza kama hawatak no spirit,

Kama tunataka team yetu iwe na mwenendo mzuri kwenye league tumuache Potter aijenge.

Arsenal wako hapa walipo kwasababu walimuamini Arteta na leo hii matunda yake yanaonekana.
20221106_170613.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom