Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Potter: “On the one hand, you’ve got players asking for shirts [after the game] and on the other, they are ready to ready to run through a brick wall before the game to prove they can be good enough to beat or play for Chelsea.”
 
Chelsea are a good team, they just need to work on
passing,
shooting,
attacking,
defending,
goalkeeping,
creating chances,
not having a garbage manager,
dribbling.
scoring

Only those KENGE[emoji115]
 
Cheltako kwa michezo saba ya mwisho ndani ya EPL.

Brentford D
Man United D
Brighton L
Arsenal L
Newcastle L
Bournemouth W
Mottingham Forest D

Wameshinda mechi moja tu dhidi ya Bournemouth.
images%20(87).jpg
 
Tutaendelea kulalamika kwa kila kocha atakaekuja, Tuchel mlimsema anaua vipaj,

Hii team yetu inahitaji rebuild ,

Mashabiki tunaamink tunateam nzuri ila tunateam mbovu ndio maana kwenye league hatujawah kwenda toe to toe na city or liverpool, kwa sababu league inahitaj consistenc kwenye kila mechi, ila sisi team yetu ina inconsistence

Wachezaj wetu wachache sana ndio kila game unakuta wanatoa performance nzuri Silva,James wengine ni homa za vipindi
Wachezaj wanacheza kama hawatak no spirit,

Kama tunataka team yetu iwe na mwenendo mzuri kwenye league tumuache Potter aijenge.

Arsenal wako hapa walipo kwasababu walimuamini Arteta na leo hii matunda yake yanaonekana. View attachment 2466041
Upo sawa lakini je Potter ni mtu sahihi wa kuitengeneza chelsea ipate mafanikio au ndio anairudisha timu nyuma mechi saba win 1 tu
 
Potter anaweza kuwa mtu sahihii au asiwe mtu sahihi, ila mda ndio utakaotoa majibu.

Potter anamatatizo yake, hivi tunavyocheza sio mara ya kwanza tunacheza hivi, Tatizo limeanzia from Lampard mpk sasa ni vile vile, Tunavyoshinda Cups ndio tunapofumbia macho tatizo kwa sababu tunaamini tunakikosi kizuri.

Tangu Pre Season shida ilikuwa ishaanza onekana, + poor summer signing.

Mara ya mwisho kucheza 6 games in a row katika league na kushinda ilikuwa lini???.

Kwa Upande wa Potter, He is too soft, Anakumbatia wachezaj yani kuna wachezaj unaona kabisa performanc zao sio nzuri kila mechi ila still wataanza. IF anataka tuamini katika project, awaamin wachezaj wengine, lewis Hall alicheza game nzuri sana dhid ya City Carabao, ila hata nafasi kupata hapat tena, Omar Hutchinson dogo mzuri sana ila cha ajab hata nafasi hapati.

Potter asipokuwa mkali, Hawez pataa kitu anachokitaka. Watu wengi walimponda Tuchel kwa kusema yuko aggressive sana kwq wachezaj ila kocha unahitaj uwe vile,lazima mchezaj akiwa uwanjan umpush anapokesea mara kwa mara lalamika, sio unakaa unamuangalia.

Angalia Arteta,Pep hata Klopp,Wakiwa katika Touchline halaf njoo umuangalie na Potter,

Huyu ni Potter jana ''Potter: “On the one hand, you’ve got players asking for shirts [after the game] and on the other, they are ready to ready to run through a brick wall before the game to prove they can be good enough to beat or play for Chelsea.”

Njoo kwenye mechi sasa[emoji2357][emoji2357][emoji2357] ni aibu
 
Chelsea inahitaji kocha bora tena mzoefu wa timu kubwa ili atengeneze team.

Team zote kubwa zinajua uwezo wa makocha wa kiingereza ni mdogo ndio maana zinakaa nao mbali.

Tafuta kocha wa maana toka Italy au Germany aje ajenge timu hakika project itafanikiwa, ila tofauti na hapo tutakuwa tunapambana tusishuke daraja
 
Simba wanakaribia kumuacha Mgunda,atawafaa
 
this is what Thomas Tuchel said in August...

"It's too easy to push us off the track, too easy to win challenges, too easy to bully us."

And Katika pre season baada ya kufungwa na Arsenal akasema hiv tena ''We have the same issues
because we have the same players''

Kama tunahisi Kocha ni tatizo this Circus itaendelea hata aje Luis Enrique tutamuona hafai,
Sikatai Potter ana matatizo yake ila wachezaji wetu wanahitajo kujitathmini
 
Chelsea inahitaji kocha bora tena mzoefu wa timu kubwa ili atengeneze team.

Team zote kubwa zinajua uwezo wa makocha wa kiingereza ni mdogo ndio maana zinakaa nao mbali.

Tafuta kocha wa maana toka Italy au Germany aje ajenge timu hakika project itafanikiwa, ila tofauti na hapo tutakuwa tunapambana tusishuke daraja
Potter ni mzuri if akipewa mda,

Wachezaj wetu hizi tabia hazijaanza leo, lampard,sarri,tuchel wote walilalamika, kama tunahis kocha ndio tatizo bas tutaendelea kufukuza makocha huku tatizo likiendelea kubaki.

Arteta wakat anaandaa team yake alifukuza wachezak wote alioona wanajifanya ni wakubwa kuliko team, na kuanda team anayoitaka, Angalia jinsi wanavyocheza sasa

Huku kwetu sasa mchezaj anajihisi ni mkubwa hajitumi wala hafanyi nini bila kuwa na wachezaj ambao wako tayar kupambania team wnye uchu ya mafanikio tutaendelea kulalamika.

Tuchel aliweza wapush ila mwisho wa siku watu wakasema huwez msema mchezaj kwenye media, o kumfokea akiwa uwanjan akaonekana mbaya, mara Tuchel hajui kuishi ma wachezaj ndio maana tunapata matokeo mabaya mara Tuchel ashapoteza dressing room.

Kocha yoyote mkubwa hawez wavumilia hawa wachezaji wetu.
 
Potter anaweza kuwa mtu sahihii au asiwe mtu sahihi, ila mda ndio utakaotoa majibu.

Potter anamatatizo yake, hivi tunavyocheza sio mara ya kwanza tunacheza hivi, Tatizo limeanzia from Lampard mpk sasa ni vile vile, Tunavyoshinda Cups ndio tunapofumbia macho tatizo kwa sababu tunaamini tunakikosi kizuri.

Tangu Pre Season shida ilikuwa ishaanza onekana, + poor summer signing.

Mara ya mwisho kucheza 6 games in a row katika league na kushinda ilikuwa lini???.

Kwa Upande wa Potter, He is too soft, Anakumbatia wachezaj yani kuna wachezaj unaona kabisa performanc zao sio nzuri kila mechi ila still wataanza. IF anataka tuamini katika project, awaamin wachezaj wengine, lewis Hall alicheza game nzuri sana dhid ya City Carabao, ila hata nafasi kupata hapat tena, Omar Hutchinson dogo mzuri sana ila cha ajab hata nafasi hapati.

Potter asipokuwa mkali, Hawez pataa kitu anachokitaka. Watu wengi walimponda Tuchel kwa kusema yuko aggressive sana kwq wachezaj ila kocha unahitaj uwe vile,lazima mchezaj akiwa uwanjan umpush anapokesea mara kwa mara lalamika, sio unakaa unamuangalia.

Angalia Arteta,Pep hata Klopp,Wakiwa katika Touchline halaf njoo umuangalie na Potter,

Huyu ni Potter jana ''Potter: “On the one hand, you’ve got players asking for shirts [after the game] and on the other, they are ready to ready to run through a brick wall before the game to prove they can be good enough to beat or play for Chelsea.”

Njoo kwenye mechi sasa[emoji2357][emoji2357][emoji2357] ni aibu
Mkuu mimi binafsi sikubaliani na wewe first kiwango cha wachezaji wetu ni first class wakiwa na makocha wengine, angalia Ziech, pulisic, covicic, mount, Kante, Azippe, kouribari raheem James chell gharagha, cucurela zakaria, kocha mzuri yoyote mpe hao watu unampa match tatu tu, anakupangia hicho kikosi cha kuua mtu, tusijifiche kwenye mda potter hata umpe 4yrs hana technics za kutumia hao wachezaji, ni lisha sema hi hatuna technical bench.
 
Are you serious???
Chini ya Tuchel Ziyech,Pulisic,Azp,Galagher, na wengineo walikuwaje, kwani hawa wachezaj wameanza kucheza vibaya wakat wa Potter tu.

Exclude James,Silva n Kante
 
Hao wachezaji watachezaje vizur kama mipira ikifika kw jorghino inarudishwa kwa kipa. Ndio mana james akiwepo mipira inapita kwake.

Sikuangalia mpira ila kama jana jorginho alicheza shida ndipo ilipoanzia, kocha anatakiwa kujua hilo ndio jipu aangalie namna ya kulifanyia kazi, hata kama kumkalisha bechi. Huyu chaknorisi yeye anakaa tu anakwambia wachezaj hamna.
 
Kwani hatukuchukua kombe la Uefa, epl tukamalizia no 3. Uefa ya pili tukaenda robo fainali, kwa huyu porter na wachezaji hao hao tutamaliza na fasi ya nane au 10,. Mkuu na kuambia hili mchezaji yoyote anaetakwa na barca jua ni mzuri Azipp barca inamhitaji Joghinio, Kante covicic nk, mimi kwangu kwa porter tumepigwa.
 
Acha utani mkuu, League tumeamiliza wa 3 kwa sababu ya bahat If Arsenal n United wangekuwa makini unahisi tungekuwa watatu
Kama unafatilia game zetub tangu msim uliopita utaelewa. OUR SEASON msim uliopota uliisha pale kwenye game ya Juventus UEFA, baada ya hapo kila mtu aliona kilichotokea mpk mwisho mwa msim.

Kuingia fainal za FA,Carabao sio kigezo cha kuifanya team iwe nzuri, replicate performanc ya cup games to Leagu games,

Pep anatawala coz performance anayokupa FA,Carabao ndio hiyo hiyo anayokupa Kwenye League, na sikusubir 1 tie game bali fanya kile kitu kwa mechi nyingi ndio uonekane bora.

Liverpool City washaset standard kuwin premier league fikisha poing 90+,avoid kupoteza game mara kwa mara, shinda mechi nyingi mfululizo, last time tunachukua premier league walat wa Conte tulicheza game 14 mfululizo bila kupoteza wala kudraw hivyo ndio mabingwa siku zote wanacheza.

Je sisi hivi sasa tunaweza cheza hata mechi 6 tunashinda tu. NEVER

Mchezaj kutakiwa na barce hakumfany awe mzuri, Barce now wako bankrupt thus wanahitaj wachezaj wa huru, Unataka kusema Belerin,Alonso,Martin Braithwhite etc ni wazuri????
 
Team inapiga back pass mpaka kero jamaa wamesharudisha ila team haiyoneshi inataka ushindi kiukweli kocha ni sehemu ya yeye kutufelisha hivi huyu Mount ni nani pale kiasi ambacho afanyiwi sub na kila game lazima aanze hata kama hayupo kwenye performance nzuri, kuna wale matakataka wawili wa kiingereza Gallagher na RLC yaani huyu kocha anawapenda Sana, angalia Ziyech dakika alizocheza alikuwa Bora kuliko sterling aliyecheza muda mwingi.Tunaweza kuwa tunashangaa kwanini Pulisic, Ziyech hawafanyi vizuri kulinganisha na uwezo wao hii yote ni kwasababu aina ya uchezaji wetu back pass kama 1000 na Ndio maana forward wetu wanaonekana ni butu
 
Hao wachezaji watachezaje vizur kama mipira ikifika kw jorghino inarudishwa kwa kipa. Ndio mana james akiwepo mipira inapita kwake.

Sikuangalia mpira ila kama jana jorginho alicheza shida ndipo ilipoanzia, kocha anatakiwa kujua hilo ndio jipu aangalie namna ya kulifanyia kazi, hata kama kumkalisha bechi. Huyu chaknorisi yeye anakaa tu anakwambia wachezaj hamna.
Yaaan jorghino pale Chelsea kwa ssa ni TAKATAKA isiyobebeka tena imeoza kabisaaa mchezaji mjinga sana anachoka haraka kma mbwa mwizi
 
Acha utani mkuu, League tumeamiliza wa 3 kwa sababu ya bahat If Arsenal n United wangekuwa makini unahisi tungekuwa watatu
Kama unafatilia game zetub tangu msim uliopita utaelewa. OUR SEASON msim uliopota uliisha pale kwenye game ya Juventus UEFA, baada ya hapo kila mtu aliona kilichotokea mpk mwisho mwa msim.

Kuingia fainal za FA,Carabao sio kigezo cha kuifanya team iwe nzuri, replicate performanc ya cup games to Leagu games,

Pep anatawala coz performance anayokupa FA,Carabao ndio hiyo hiyo anayokupa Kwenye League, na sikusubir 1 tie game bali fanya kile kitu kwa mechi nyingi ndio uonekane bora.

Liverpool City washaset standard kuwin premier league fikisha poing 90+,avoid kupoteza game mara kwa mara, shinda mechi nyingi mfululizo, last time tunachukua premier league walat wa Conte tulicheza game 14 mfululizo bila kupoteza wala kudraw hivyo ndio mabingwa siku zote wanacheza.

Je sisi hivi sasa tunaweza cheza hata mechi 6 tunashinda tu. NEVER

Mchezaj kutakiwa na barce hakumfany awe mzuri, Barce now wako bankrupt thus wanahitaj wachezaj wa huru, Unataka kusema Belerin,Alonso,Martin Braithwhite etc ni wazuri????
Mkuu mpira ni matokeo na pia jua bahati ni sehemu ya mpira "luck is part of the game" sasa na huyu potter mwambie apate hiyo luck kama unafikiri ni rahisi kwa nini ni Chasea tu ndo ipate mfulilizo wa bahati sio zile zingine 17. Sio kweli TT alikua na mapugufu yake ila alikua mzima kuliko huyu potter
 
Sijamkosoa TT, ndio manna nasema shida yetu sio kocha bali wachezaji.

Inconsistence hazijaanza leo wala jana bali ni mda mrefu tu. Bila kutatua tatizo hata aje Enrique kwa hawa hawa tutamuona mbaya. UNLESS He demand squad overhaul otherwise tutaendelea kulalamika kwa kila kocha atakaekuja
 
Team inapiga back pass mpaka kero jamaa wamesharudisha ila team haiyoneshi inataka ushindi kiukweli kocha ni sehemu ya yeye kutufelisha hivi huyu Mount ni nani pale kiasi ambacho afanyiwi sub na kila game lazima aanze hata kama hayupo kwenye performance nzuri, kuna wale matakataka wawili wa kiingereza Gallagher na RLC yaani huyu kocha anawapenda Sana, angalia Ziyech dakika alizocheza alikuwa Bora kuliko sterling aliyecheza muda mwingi.Tunaweza kuwa tunashangaa kwanini Pulisic, Ziyech hawafanyi vizuri kulinganisha na uwezo wao hii yote ni kwasababu aina ya uchezaji wetu back pass kama 1000 na Ndio maana forward wetu wanaonekana ni butu
Kupiga backpass n sideway hakujaanza leo[emoji23] bila kuwatoa hao wachezaj hatuwez endelea.

Tumekuwa tukilalamika hii issue tangu wakat wa Tuchel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom