Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Edouard Mendy - £52,000-a-week
Reece James - £58,000-a-week
Mason Mount - £88,000-a-week

Timo Werner - £270,000-a-week
Romelu Lukaku - £325,000 a week
Hapa ndipo ile kauli ya "life is really not fair" inapothibitika kupitia malipo ya mshahara mnono wa Lukaku na Werner kuliko wanachozalisha katika klabu ya Chelsea

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
PSG ni timu ngumu kuifundisha
Imejawa na kelele nyingi zinazoshindania kujulikana na kuonekana vidume kwenye dressing room
PIa ni timu yenye ambition kubwa ya kubeba UCL na katiak miaka 10 iliyopita imeambulia nusu fainali na fainali moja tu
Timu iliyojaa na wachezaji wenye majina makubwa na mishahara mikubwa kocha anaonekana kama mtoto
Potechtino alitarajiwa kuondoka kama walivyoondoka akina Carlo Anceloti, Unai Emery na Thomas Tuchel

Hao makocha wameenda kupata mafanikio makubwa baada ya kutoka PSG

Carlo Ancelotti - 1x Copa del Rey (2014), 2x Champions League (2014, 2022), 1x Super Cup (2014), FIFA Club World Cup (2014), 1x Bundesliga (2017), 1x La Liga (2022)

Unai Emery - 1x Europa League finalist (2019), 1x Europa League (2021), 1x Champions League semi-finalist (2022)

Thomas Tuchel - 1x Champions League (2021), 1x Super Cup (2021), 1x UEFA Men's Coach of the Year (2021), 1x The Best FIFA Football Coach (2021), 1x FIFA Club World Cup (2021)
 
Mbona wachezaji wengi dirisha hili wanaondoka, wengine hata tusiokuwa tunawategemea kama wataondoka.? Au mm ndiye mgeni wa haya mambo.?
 
Fun enough sisi tunasubiri Rice wa 100£ siku hizi scouts na board ni zero brain. Last season tulisema kuhusu tchouammeni mpaka bei yake ikawa haishikiki. Hapa tot wamelamba dume tena kwa bei chee kabisa
Msimu ujao tutakuwa wanaguchana marinda tu kuna wakati namchukia PUTIN Kwa kuanzisha vurugu zake ndio maaana tumepata matajiri matapel na ya man u na arsenal
 
Kulingana na sajili zinazofanywa katika ligi pendwa ya EPL mpaka sasa nafasi ya kwanza ya pili na tatu tayari zimeshajazwa na Man City, Liver na Tot kilichobaki sisi tunapambania nafasi ya 4 kushuka chini.

Tunahitaji matured CB hata mmoja, kiungo mzalishaji na aggressive forward. Ukiangalia sokoni kwa hali ilivyo kumchukua Kounde sasa ivi ni very risk bora angekuwepo Rudiger ndio wacheze wote ni afadhali hata Kimpembe. Ukija kwa foward karibia wote wazuri washakua occupied.

Msimu ujao kama tusipomaliza nafasi ya sita na kutolewa group stage. Sijui
 
Umeona vyema. Usajili unaowekewa maanani ni wa Dembele, Kounde na replacement ya Kepa. Maeneo muhimu kama ya kiungo mpikaji wa magoli na agressive striker au forward hakuna kabisa. Sijui usajili wa akina werner, Lukaku, Ziyech umewapa woga wa kukurupuka. Waliobaki wazuri kwa mbele ni Nkunku. Kiungo mpikaji wa magoli hawapo sijui tunaenda wapi. Labda watakaotubakiza nafasi ya nne ni hao akina Arsenal na Manure maana nao wameishiwa sera kama sisi
 
Umeona vyema. Usajili unaowekewa maanani ni wa Dembele, Kounde na replacement ya Kepa. Maeneo muhimu kama ya koungo mpikaji wa magoli na agressive striker au forward hakuna ka isa. Sijui usajili wa akina werner, Luksku, Ziyech umewapa uoga wa kukurupuka. Waliobaki wazuri kwa mbele ni Nkunku. Kiungo mpikaji wa magoli hawapo sijui tunaenda wapi. Labda watakaotubakiza nafasi ya nne ni hao akina Arsenal na Manure maana nao wameisjiwa sera kama sisi
Kwenye kiungo kwa namna fulani nakua na imani Gallagher anaweza tusaidia ila nawaza ni vipi ataweza kupata nafasi mbele ya kina Mount, RLC, Kova? Kwenye ushambuliaji kama tungepata Lewandowski ile mashine ni balaa ila ndio ivyo tena tusubiri kuona wakina Broja watatuletea nini. Halafu pia usajili wa Kounde mi yule dogo simuamini amini nahisi atakuja kuflop vibaya mno
 
Broja anayo safari ndefu sana kuja kuwa agressive player. Tunahitaji Kylian Mbape, Lewandowski au Haaland caliber
Kwa sasa hata tukisajili tutakuwa tum epanua gap dhidi ya Mancity na Liverpool. No where tutawakuta hao
Liverpool wana Salah, wana Nunez inatosha, City wana Haaland, Sisi tuna Werner, Havertz, Lukaku. Tuanze kuishi kwa matumaini msimu ujao. Yule Nkunku anafaa sana ila wameshamdecorate na price tag ya Euro mil 100, hatutampata labda mwakani
 
Hivi nkunku nae ni wakuuzwa hiyo bei?
 
Gavi Barcelona wanampa mkataba wenye buy clause ya 1B, hiyo imekaaje ila nasikia wamerekebisha hadi mil 100
Huyo dogo kwa miaka 17 tu ameshakuwa ni gumzo la mjini na anaugomea huo mkataba wa Barcelona na PEP anamtaka
Huyu tungempata katika umri mdogo ameshaonyesha dalili za kuwa kiungo mpikaji wa magoli kweli kweli
 
Lukaku mtoe hapo maana soon anaenda Intermilan
 
Everton's Richarlison, 25, has turned down an approach from Arsenal - with Chelsea and Tottenham Hotspur said to be the preferred destinations of the Brazil forward. (UOL, via Liverpool Echo)
 
Gavi Barcelona wanampa mkataba wenye buy clause ya 1B, hiyo imekaaje ila nasikia wamerekebisha hadi mil 100
Huyo dogo kwa miaka 17 tu ameshakuwa ni gumzo la mjini na anaugomea huo mkataba wa Barcelona na PEP anamtaka
Huyu tungempata katika umri mdogo ameshaonyesha dalili za kuwa kiungo mpikaji wa magoli kweli kweli
Chelsea timu ambayo haiwez kuamini vijan
 
Broja anayo safari ndefu sana kuja kuwa agressive player. Tunahitaji Kylian Mbape, Lewandowski au Haaland caliber
Kwa sasa hata tukisajili tutakuwa tum epanua gap dhidi ya Mancity na Liverpool. No where tutawakuta hao
Liverpool wana Salah, wana Nunez inatosha, City wana Haaland, Sisi tuna Werner, Havertz, Lukaku. Tuanze kuishi kwa matumaini msimu ujao. Yule Nkunku anafaa sana ila wameshamdecorate na price tag ya Euro mil 100, hatutampata labda mwakani
Katika hao uliowataja hakuna hata mmoja tuliyenae anawakaribia. Muhimu tukomae na waliopo TT awamezeshe ukali walau watuvushe kipindi hiki kigumu. Tukomae tusajili beki ya maana tofauti na Kounde huyu mimi simuamini kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom