Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hio signing ya dembele no waste of money.

Tuna broja yule pale arudi

Tuna yule dogo wa Crystal palace why tupoteze hela kizembe

Hao madogo wanao uwezo wapampiwe wajiamini wapige mpira wa kiumeni.
Changamoto ya Dembele yeye ni winga na sisi tunawatumia wingbacks zaidi
Pili tukimchukus dembele lazima tumkose conor na pulusic au werner
Sioni Dembele akiwazidi hao niliowataja
 
Gabriel Jesus ndio habari ya mjini. Fabrizio anadai Chelsea wameanza mazungumzo na Kipara yuko tayari kutupa over Arsenal
Mnasemaje wadau
 
Changamoto ya Dembele yeye ni winga na sisi tunawatumia wingbacks zaidi
Pili tukimchukus dembele lazima tumkose conor na pulusic au werner
Sioni Dembele akiwazidi hao niliowataja
Werner huyuhuyu amzidi dembele ? Werner ambaye ana misimu miwili sasa EPL jumla ana goli 10 ...aah kuweni serious
 
Changamoto ya Dembele yeye ni winga na sisi tunawatumia wingbacks zaidi
Pili tukimchukus dembele lazima tumkose conor na pulusic au werner
Sioni Dembele akiwazidi hao niliowataja
Mkuu hebu mpe heshima Dembele. Keshaprove ana uwezo mkubwa sana kinachomuharibia Dembele ni majeruhi ya mara kwa mara tu pia alishawahi kuripotiwa ni mvivu wa mazoezi. Halafu nahisi wengi humu wanamkataa kwa sababu labda wanamfuatilia juu juu tu. Katika hao wachezaji uliowataja hakuna anaemzidi kwa numbers Dembele.

Lakini tukumbuke huyu Dembele alinunuliwa na Tuchel alipokua Dortmund na sasa ivi anakuja Chelsea yawezekana ni kwa sababu ya influence ya kocha TT. Binafsi sima shaka na Dembele pengine tunaweza kuona mabadiliko makubwa ambayo wengi humu wanakataa
 
Hizi ni stats za Dembele toka alipoanza kucheza ligi kubwa ukiachana na ligi za watoto
Screenshot_20220610-175642_1654873046057.jpg
 
Naona wengi mnajadili individuals na kusahau kuwa anaweza kuja mchezaji mmoja ama wawili wakaibadili timu ikawa kama sio ya mwaka jana. Kocha anaangalia beyond individual. Naamini akipewa nafasi atatengeneza timu nzuri. Tusubiri tuone!
 
Mkuu hebu mpe heshima Dembele. Keshaprove ana uwezo mkubwa sana kinachomuharibia Dembele ni majeruhi ya mara kwa mara tu pia alishawahi kuripotiwa ni mvivu wa mazoezi. Halafu nahisi wengi humu wanamkataa kwa sababu labda wanamfuatilia juu juu tu. Katika hao wachezaji uliowataja hakuna anaemzidi kwa numbers Dembele.

Lakini tukumbuke huyu Dembele alinunuliwa na Tuchel alipokua Dortmund na sasa ivi anakuja Chelsea yawezekana ni kwa sababu ya influence ya kocha TT. Binafsi sima shaka na Dembele pengine tunaweza kuona mabadiliko makubwa ambayo wengi humu wanakataa
Sikilizeni hili choko, akimaliza huyu ataanza kumsifia na tammy abraham.
 
Werner nafasi 20 anafunga 1
Sterling nafasi 20 anafunga 1
Dembele mzuri kwenye assist kufunga hapana
Chukua stats za misimu mitatu
Wale wale sioni ujasiri wa kusema huyu bora kuliko yule
Tusijitoe ufahamu
Kumchukua Dembele ni gamble kama tulivyofanya kwa werner na Ziyech na wengineo. We are repeating the same misakes. Badala ya kwenda kuwachukua world class player tunaenda kuchukua mifupa ilishindikana mancity, barcelona nk
 
Mkuu hebu mpe heshima Dembele. Keshaprove ana uwezo mkubwa sana kinachomuharibia Dembele ni majeruhi ya mara kwa mara tu pia alishawahi kuripotiwa ni mvivu wa mazoezi. Halafu nahisi wengi humu wanamkataa kwa sababu labda wanamfuatilia juu juu tu. Katika hao wachezaji uliowataja hakuna anaemzidi kwa numbers Dembele.

Lakini tukumbuke huyu Dembele alinunuliwa na Tuchel alipokua Dortmund na sasa ivi anakuja Chelsea yawezekana ni kwa sababu ya influence ya kocha TT. Binafsi sima shaka na Dembele pengine tunaweza kuona mabadiliko makubwa ambayo wengi humu wanakataa
Dembele ni mzuri kwa top 4 lakini sio kuclose gap kwa liver na city. Sioni Dembe akiwazidi akina timo, pulisic na Ziyech. Uchezaji wake ni toauti sawa ila sioni added value itakayozidi kwa value za hawa flops wetu
 
Chukua stats za misimu mitatu
Wale wale sioni ujasiri wa kusema huyu bora kuliko yule
Tusijitoe ufahamu
Kumchukua Dembele ni gamble kama tulivyofanya kwa werner na Ziyech na wengineo. We are repeating the same misakes. Badala ya kwenda kuwachukua world class player tunaenda kuchukua mifupa ilishindikana mancity, barcelona nk
Embu tupe list ya world class player walio sokoni chelsea inaweza kuwapata maana hawa wachezaji tuliokuwa nao ambao mnaona hawafai tukiwauza kwengine basi ni mwiba kwetu
 
Dembele ni mzuri kwa top 4 lakini sio kuclose gap kwa liver na city. Sioni Dembe akiwazidi akina timo, pulisic na Ziyech. Uchezaji wake ni toauti sawa ila sioni added value itakayozidi kwa value za hawa flops wetu
Mkuu usajili wowote ni kamari ni sajili vhache zinafanyika ukiwa na uhakika mchezaji lazima ata perform tu. Nani alijua Timo Werner atakua na perfomance mbovu Chelsea kwa zile stats zake akiwa Bundesliga? Dembele ni mzuri sana kinacho msumbua siku zote ni majeruhi tu sijui TT kaona kitu gani kwake mpaka tumefikia hapa.

Kuna mtu kama Richarlson yule dogo ni mzuri sana sijui kwa nini hawamuoni wakamchukua.
 
Richarlson ni homa ya jiji UK katika umaliziaji mzuri na hata mashuti ya mbali pia huonekana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom