Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,381
- 1,796
Kachukueni Uefa kwanza ndo tukae meza moja na nyieHuna timu ,kaa kwa kutulia
Darajani Ni uwanja wa mazoezi wa ARSENAL
Kachukueni Uefa kwanza ndo tukae meza moja na nyieHuna timu ,kaa kwa kutulia
Darajani Ni uwanja wa mazoezi wa ARSENAL
Babu hili sio jukwaa lenu AsenyetoNdio ujue Hawa mashabiki wengi humu hawajui na hawafatilii mpira
Arsenal imepata majeruhi hao kwa muda mrefu tu ,Elneny karudi Juzi, Smith bado, Zinny karudi Juzi ,
Au anataka injury za miezi 8 ?[emoji1787][emoji1787]
Hawataki kukubali Wana timu bovu
Kakae meza moja na Astonvilla ,yupo nafas ya 12 unamfata , na ana uefaKachukueni Uefa kwanza ndo tukae meza moja na nyie
Unashabikiaje timu haina hata uefa moja si uzwazwa huoKoloboi na kukulera mmepigwa
Hakuna beki humo
Kaa kwa kutuliaBabu hili sio jukwaa lenu Asenyeto
Unamfata mwenzio Forest mkiani ana Uefa[emoji1787][emoji1787]Unashabikiaje timu haina hata uefa moja si uzwazwa huo
Emile Smith Rowe na Takehiro Tomiyasu ndie wenye injury za kama two or three weeks only wengine ni zile a hapa na pale tuUnamfata mwenzio Forest mkiani ana Uefa[emoji1787][emoji1787]
Kweli wewe hufatilii mpira ndio maana unabwabwajaEmile Smith Rowe na Takehiro Tomiyasu ndie wenye injury za kama two or three weeks only wengine ni zile a hapa na pale tu
Hili jukwaa wengi wao mpira wanaangalia Livescore unatarajia nini kwa watu kama haoKweli wewe hufatilii mpira ndio maana unabwabwaja
Elneny kakaa nje miezi 3, Partey tulimkosa mwezi mzima, Zinny kakaa nje mwenzi mzima
Hakuna timu isiyopata majeruhi
Tofauti nyie mna wale Injury prone
Mfano James,chillwel , kante ,kova Hawa hata wakipona hawana uhakika wa kucheza mechi 7-10
Wewe hata livescore unajua maana yake kweli au umedandia lori. Taarifa ya majeruhi tangu lini yakapatikana livescore?Hili jukwaa wengi wao mpira wanaangalia Livescore unatarajia nini kwa watu kama hao
Ndg Rowe wakati tunaenda WC yuko majeruhi siku 71Kweli wewe hufatilii mpira ndio maana unabwabwaja
Elneny kakaa nje miezi 3, Partey tulimkosa mwezi mzima, Zinny kakaa nje mwenzi mzima
Hakuna timu isiyopata majeruhi
Tofauti nyie mna wale Injury prone
Mfano James,chillwel , kante ,kova Hawa hata wakipona hawana uhakika wa kucheza mechi 7-10
Wewe kukuelewesha Ni kupoteza mudaNdg Rowe wakati tunaenda WC yuko majeruhi siku 71
Tomiyasu siku 12
Hiyo miezzi mitatu imetoka wapi? Na hao ndio wachezaji wenu wa maana kwenye timu. Au hata majeruhi wenu hamuwajui.
Hii ya Partey unazungumzia msimu uliopita kama sijakosea
Mnapoteza mda kuwajibu hawa Asenyeto hili jukwaa sio laoNdg Rowe wakati tunaenda WC yuko majeruhi siku 71
Tomiyasu siku 12
Hiyo miezzi mitatu imetoka wapi? Na hao ndio wachezaji wenu wa maana kwenye timu. Au hata majeruhi wenu hamuwajui.
Hii ya Partey unazungumzia msimu uliopita kama sijakosea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitegemea Senegal Washinde Mendy Akiwa Goli Kipa Ukiskia Masai Kala Mtego Ndoo Hii [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 2423475