TT natamani angepewa nafasi ya kurudi Chelsea aendeleze timu yetu kwasabb hao wachezaji wote ka wanunua yeye huyu average kochi ambaye hawezi kutoa sale na timu alio ijenga mwenyewe Brighton wanini?
Chelsea sio kama Arsnal ambayo hana hata champions league hata moja ndo timu za kujenga chalsea ni ya kuendeleza tu Timu yenye kila trophie eti ujenge tena ili ichukue nini tena
Chelsea sio kama Arsnal ambayo hana hata champions league hata moja ndo timu za kujenga chalsea ni ya kuendeleza tu Timu yenye kila trophie eti ujenge tena ili ichukue nini tena
Chelsea are the only club in the Premier League without having a player averaging at least one take-on per game. Ruben Loftus-Cheek is Chelsea’s best with 0.9 take-ons per game. 