Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mi nazungumzia game ya juzi kulingana na mazingira yaliyopo we unaniletea habari za kipindi Lampard yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanarefer na kujibu hoja yako dhaifu with vivid examples wewe unalalama kwamba unaletewa stori za zamani......kwa mujibu wa maoni yako unasema angekuwepo Kante basi mngefanya vema ila ukiangalia mmeshaburuzwa vya kutosha na huyu Ngolo akiwepo
download.jpg
 
Chelsea Hali ni mbaya.. saa hizi tutasingizia Kila kitu, Kila jambo litasemwa mara kocha mara majeruhi.. tusubiri world cup iishe, wachezaji wapone wote halafu tuone panapovuja
 
Erling Haaland anaiogopa sana Chelsea, eti yuko majeruhi
 
Timu nzima si ipate majeruhi tu ili tujue hatuna timu ila wodi ya wagonjwa? sasa hii ya injuries 8 au 7 kwa muda mrefu ndio nini sasa. Boehly afagie hapo kwenye medical staff hakuna wanachofanya wanakula mishahara ya bure tu
 
Naomba unijibu kiufupi tu. What are the achievements of arteta in three year with Arsenal????
Alafu ndio unajiita eti unajua mpira.....! Unabishana kitoto sana, huna unachojua na ni aibu kuendelea kubishana na member wengine humu wanaojua mpira na tunaheshimu michango yao

Jurgen klop alipata mafanikio gani pale Liverpool ndani ya misimu 3 ya Kwanza? Kwa team iliyopoteza momentum ya makombe kama ilivokuwa Liverpool kushinda taji haraka hivo haiwezi kuwa priority ndomana klop akaachwa awin ndani na nje ya uwanja

unauliza Mikel ameachive nini pale Arsenal ndani ya misimu mitatu kwamba hujui au ndo unaendeleza utoto wako? Umeanza kuangalia mpira baada ya potter kuwa kocha wa Chelsea au sio?

Mikel amepata community shield na FA cup ndani ya misimu yake miwili au hizo sio Achievement? Ukiachana na hayo mafanikio ambayo ni tangible, ila ana mafanikio mengine mengi tu kapata pale Arsenal

Mikel kurudisha traditional ya club,karudisha club Kwa mashabiki maana mashabiki walikuwa washapoteza Imani na team Yao, karudisha bond Kati ya wamiliki, wachezaji,kocha na mashabiki na kama hiyo haitoshi karudisha IMANI tena Kwa mashabiki

Ingekuwa Liverpool wajinga kama wewe wangekuwa wameshamtimua klop Kwa sababu ndani ya misimu mitatu basi hajashinda chochote, ila kwakuwa wanajua mafanikio ni progress na klop alikuwa anaonesha hiyo progress ndomana akavumiliwa na leo wapo hapo walipo

Acha kufananisha mafanikio ambayo wanapata makocha wanaopita Chelsea, maana wale wanakuta team ina kila kitu, Kwa miaka 10 sasa Chelsea imekuwa ni club yenye momentum ya mafanikio na pia bado identity Yao haijapotea kama ilivokuwa Kwa Liverpool,Man u na Arsenal

Tuchel ungepeleka Man u saiz angekuwa kafukuzwa na hana ata Community shield,mpeleke dimateo Arsenal asingemaliza ata nusu msimu,mpeleke Boas Liverpool angemaliza nafasi ya 8

Sio kwa sababu wao ni makocha wabaya, ila hizo team zina changamoto nyingi sana tofauti na Chelsea ambayo yenyewe imekuwa ni sehemu salama Kwa kila aina ya kocha anaeenda maana wapo kwenye kilele Chao cha mafanikio kabla hawajaingia kwenye anguko

Kutokana na hizo sababu ndomana karibia kila kocha aliepita Chelsea alivuna mafanikio na kwenda kufia huko pasipojulikana, Kwa sababu kufanya kazi Chelsea ukiwa kocha ilikuwa ni rahisi sana na itaendelea kuwa rahisi sana hadi pale mtakofika kwenye diminishing point nanyie

Wanaokwambia Arsenal atamaliza top four sio wajinga kama wewe, wanaangalia progression ya Arsenal tangu Mikel kapewa team, wanafatilia wachezaji waliotoka na waliongia, wanafatilia uchezaji wa Arsenal ya zamani na sasa, we endelea kuishi Kwa kukalili na endelea kujiita unajua mpira kumbe huna unachokijua
 
Sina muda wa kupoteza kuchambua au kujadili kikosi chetu.

Nachojua kikosi kime-expire kifumuliwe chote tuanze upya.
Kocha naye ana kasoro ndogo ndogo, wachezaji bila kuwalazimisha wengi huwa wavivu. Sterling alipoanza uvivu City akapigwa benchi hadi akakimbilia kwetu. Sasa akiungana na hawa wa kwetu wanaocheza kwa kutumia kipaji tu hatutafika popote. Kocha awe mkali. Asiyetaka kujituma apigwe benchi. Hawa wachezaji wakijituma ni wazuri sana.
 
Why should I tell a player like Thiago Silva how to defend? He knows how to defend. He tells me where he feels comfortable, where he needs protection. Then I adjust our system to help him feel confident.

1668005438294.png
 
Denis Zakaria has been called up to Switzerland’s squad for the 2022 FIFA World Cup.

1668005392710.png
 
Reece James avunja ukimya baada ya Southgate kumwambia hatakuwepo kwenye timu ya Taifa la Uingereza itakayoshiriki kombe la Dunia kule Qatar

1668005283686.png
 
Ziyech katibua huko jamani saa chache kabla ya mechi na Arsenal

 
Arse88 ni viazi sana eti wanakomaa eti Arteta big archievement ni kubeba FA na Community shield, kha!.
Ilikua ni Ujinga wa hali juu sana kufungwa na hawa vilaza.
Wakati Tuchel ndani ya misimu miwili kashinda international cups 3 ,na kaingia fainali mbili za mashindano ya ndani .
Huyu jamaa ilikuwa mistake Sana kumfukuza and we shall retreat this , nimekuwa nikisema hili Halafu ukiangalia jamaa culture ya timu ilikuwa imemkubali ,nikikumbuka kipindi kile timu ina majeruhi halafu timu imepigwa sanctions ,pesa zimekuwa frozen ,jamaa anatoa kauli publicly kuwatia moyo wachezaji na mashabiki .
Thomas Tuchel alikuwa mtu sahihi kwa Chelsea ,kumuondoa ilikuwa big mistake aisee na itatucost Sana .
Huyu yankee cowboy Todd anadhani kuendesha football club ni sawa na kuswaga ng'ombe kwenye raches .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom