Any good striker has to be fed by midfielder did he get that chance with such selfish Chelsea players.Pierre-Emerick Aubameyang had just four touches in the first half against Arsenal, at least 15 fewer than any other outfield player.
He also received more yellow cards (1) than he had shots (0).![]()
Midfilder walishindwa !! nafikiri kocha bado ana struggle kupata the best form ya players. hakuna muunganiko kama timu. Beki wa kati nao ni tatizo kubwa, huko pembeni nako hamna kitu.Any good striker has to be fed by midfielder did he get that chance with such selfish Chelsea players.
Zach bado ni mzito, game ya zagreb japo alicheza izur kwa pace ya Arsenal asingeiwezaNafasi yake ilitakiwa Zaka
Makocha bana hasa wa Uingereza atawapa priority waingereza wezao. Cheek ana shida akiweka mpira mguuni. Anaremba hadi akabwe na kunyang'anywa mpira
Tusiwe na matumaina kabisa na huyu potter uwezo wake ndo unaishia hapo, hata apewe miaka mitano hawezi kubadili hiyo timu kabisa ni average kochaMidfilder walishindwa !! nafikiri kocha bado ana struggle kupata the best form ya players. hakuna muunganiko kama timu. Beki wa kati nao ni tatizo kubwa, huko pembeni nako hamna kitu.
ile timu haiwezi kufika top four, unless wasajiri January sababu majeruhi yamewaandama mno.
Labda wapate majeruhi ya key player, tofauti na hivyo wanamaliza top 4 kwa performance waliyonayo, tho anything can happen,Aterta kaleta nn arsenal , ? Hata msimu huu ataishia kuwa forerunner... Kama ndio mipango yenu endeleeni kumwamini kocha,
Summer ilikuwa wakat sahihi wa kuwapunguza wachezaj wanaotaka kuondoka na sikuendelea kuwa naoHakuna mtu aliyesema TT ni mbovu, zama zake zimeisha sasa tupo zama za GP. Timu bado inajengwa tusisahau hili. Hao wachezaji wasiofaa wataondolewa ila sio kwa mkupuo mmoja na pia hao wachezaji wanaofaa watasajiliwa ila sio kwa mkupuo mmoja. Tukumbuke pia usajili hata uwe makini sana ni gambling mwisho wa siku. Tulimchukua Silva kwa matarajio ya kumjaribu msimu mmoja tu lakiniu sasa ni msimu wake wa 3 nafikiri. Tulimsajili Havertz kwa mbwembwe nyingi na nyoyo za mashabiki wakaridhika kabisa. Yuko wapi hadi sasa anapeta uwanjani tu bila impact ya maana. Timu imara inajwngwa kwa mikakati mizuri. Boehly ameonyesha anayo mikakati
Ugomvi wenu sisi hautuhusu mkuu, msubiri atakuja umpige mwenyew 😂😂😂😂Pumbavu kabisa yani mneshindwa kukaza mnapakatwa na arsenyonyo arsenyani........
Hovyo kabisa matakataka nyie
Michezaji inaingia uwanjani kurusha wowowo tu .......na mshuke daraja pumbaf
Chambua na 4 games in a row za hapo Stamford Bridge vs Arsenal ambazo results zake niMmepiga maiti wala hamna haya kushangilia. Timu ina injuries 8 tena wa first team. Mmecheza na development team na bado mmeshindwa kufunga magoli mengi huku mkishangilia. April Mungu akijalia tutakuwa wote hapo Emirate
mimi hata wangefugwa 3 nisingeumia sana kama wangecheza vizuri, concern hapa timu imecheza kama vile wamekusanywa mtaani wakaingizwa uwanjani..Chambua na 4 games in a row za hapo Stamford Bridge vs Arsenal ambazo results zake ni
Chelsea 2-2 Arsenal
Chelsea 0-1 Arsenal
Chelsea 2-4 Arsenal
Chelsea 0-1 Arsenal (hii tuiache)
Naona Unai Emery kajitambulisha kwa kishindoKuna msiba mzito huko kwenu.
Good Ebening.
mpe game walau 5, kila kocha mpya huwa ana game zake 5 za kupokelewa baada ya hapo mauza uza yanaanza. Angalia pale darajani - bundi analiaNaona Unai Emery kajitambulisha kwa kishindo
Potter hana shida ndg tuliza munkari. Udhaifu alionao kila kocha anao wake. Hata TT ana madhaifu mengi sana na mlikuwa mnamlalamikia sana leo mnamsifia kwa vile hayupo. Kosa dogo la Potter ni kuwang'ang'ania Cheek na Havertz.Mimi jana sikuangalia mechi nilikuwa na kiako ila kwenye replay nimecheki Cheek ni mpuuza na Havertz. Kwenye first half kuna tukio Auba kajiposition vizuri na Havertz alikuwa na mpira bila presure yeyote na alimuona Auba akaamua kupaiza juu mpira kama wale wachezaji wa Development squadToed should swallow his pride na amrudishe TT anusuru Chelsea, tangu mwanzo ni lisema huyu kocha wetu potter ni mzuri ila sio wa kiwango cha chalsea hawezi ku manage team ya top 4, mbinu ubunifu wake uko chini sana, hamna cha project wala cha ku-build hana uweza wa Chelsea
TT au GP hawana makosa, tuingie sokoni tusajili viungo watakaosolve mambo hayaLeo angekuwepo TT unafikiri angefanya nini? Last time tulivyocheza na Arsenal TT alifanya nini? Katika mil 300 alizospend alileta mchezaji gani wa kuimprove team? Tatizo la kuto create chances za kufunga alilisolve vipi?
Tuendelee kujiuliza lile swali letu, kwani tumweweka mategemeo yepi msimu huu?Hakuna mtu anayemdharau TT ila ilifika muda ilibidi aende tu. GP naye itakua ivyo ila lazima tukubali kila mtu kwa namna yoyote anahitaji muda kwe ye jambo fulani otherwiseutakua mtenda miujiza kutegemea kushinda katika game kama hizi na situation ya majeruhi kama wodi ya KCMC tuliyonayo darajani
Sent using Jamii Forums mobile app
TT alitimuliwa PSG kwa tatizo linalofanana na hilo la Boehly. Kuna vitu vingine viko nje ya uwezo. Kama mtu unabishana na tajiri aliyetumia mahela mengi kununua timu unategemea ufanyweje.GP sasa ni kocha na muda mfupi ujao mtakuja kukiri afadhali TT alifukuzwaTimua timua ya makocha haitotupeleka popote kwa sasa, tutaendelea na kuwa vile vile, Arsenal wako hapa walipo coz walimuamini Arteta n now matunda yanaonekana, Arteta kawatoa wale wote aliona haendani nao.
Sisi tukiendelea na huu utamaduni tushinda hivi vikombe vya fa,carabao, ila premier league tutaendeleea kuskia kwa bomba kama hatuna project.
GP ni kocha mzuri na ataendelea kuwepo hadi aboronge.Hii mechi na Arsenal hata hii timu angepewa PEP angefungwa tu na mwanafunzi wakeHlo swali ndo la msingi , tafuta kocha mwenye CV , sio kocha et amepandisha timu daraja na anagombea top 4 unampa kisima 😁
Yeye ndie kamkataa, don't generalizekwa hio Harry Potter leo mnamkataa kua sio kocha?
Yaani hapo umeongea point, wanamlaumu Auba wakati wamejaa wachezaji wachoyo na wasiopendana ndani ya timu.Any good striker has to be fed by midfielder did he get that chance with such selfish Chelsea players.