Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I hate to say this but hili jukwaa lina vilaza wengi wakiongozwa na Covax

Nahisi lembu ndio mtu pekee anaeelewa mpira kwa mashabiki wa humu wa Chelsea.
 
Chelsea ina wachezaji wazuri lakini wengi ni majeruhi kwa iyo unaposema kakuta wachezaji wazuri kuliko Arteta alipoikuta Arsenal hebu acha kuwafikiria majeruhi ambao watachukua miezi miwili kuja kurudi uwanjani. Wabovu haumii tena siku izi

Mi naamini kama tungekua hata na Kante, Chilwell na James ile game nyie msingechomoka. Kocha mzuri ila ana wachezaji wa kawaida anahitaji kuwatransform waendelee kujituma kwa ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamzungumzia huyu?au?
Acha masihara basi mkuu
images%20(10).jpg
 
Arteta aliikuta Arse8 ikiwa na Majeruhi wangapi haswa kwa potential players?
Alikuta timu mbovu Ndio maana kawaondoa karibu wote ,alipofika alisema anataka acheze 4-3-3 ,lakin haon hao wachezaji wakucheza huo mfumo , akaanza kutumia 3-4-3 ,Ni mfumo ulikuwa hautengenez nafasi kabisa za kufunga , ikafika mahali watu wakahoji Mbona timu haichez vzr akarudia kusema anataka kucheza 4-3-3 ,hivo akafanya usafi mkubwa ,had Sasa amefanya kwa 80% kuondoa asiowataka
IMG_20221008_072556.jpg
 
Asipokuelewa na hapa basi si bure huyo Jamaa, labda atakuwa na kipaji cha ubishi.
People forget that Pep Guardiola spent £200m in his first summer in charge & proceeded to lose 4-2 at Leicester, battered 4-0 at Everton, failed to beat Celtic home & away in CL, lost to Monaco in the knockout rounds, ended up trophyless & 15 points off the summit in the league.
 
Ukitumia arsenal kama kipimo cha ubora wa Chalsea hapo umepotea mkuu, aterta pale hajachukua kombe lolote na iko pale miaka mitatu sass, hiyo Arsanal hata kubakia top 4 bado mashaka yapo ligi ndo bado, anaweza kumalizia nafasi hiyo ya nne kama Chelsea ikiendelea kuporomoka, lakini kwa wanao ona na kujua mpira arsenal bado sana.
Arteta hajachukua kombe lolote?
 
Hawa mashabiki wanaumia roho kisa kufungwa na Arsenal, utadhani ni mara ya kwanza, Arsenal tumewafunga Chelsea tukiwa na kikosi average in term of performance kuliko hichi.

Tumewafunga wakiwa na Tuchel. Tumewafunga wakiwa na Kante na hao majeruhi wengine.

Covax anadai Arsenal ina luck na form ila siyo uwezo. Wengi mnachosahau ni kwamba Arsenal haijaanza kua nzuri msimu huu, imeanza kua nzuri msimu uliopita round ya pili. Kwahiyo msimu huu ulipoanza sisi ni tumeendelea tulipoishia.

So ni umefungwa na better side, huna haja ya kujifananisha. Kuandika Arteta hana kombe lolote ni uongo, na hii inafanya nione unapenda ubishi kiasi mpaka unatumia uongo kuwasilisha hoja.

Auba ni clinical finisher ila hakupi kingine chochote zaidi ya finishing, ni kama Haaland tu. Auba akigewa long ball itakayomfanya awe 1v1 na beki na yupo upande wa kushoto jua hamna kitu kitatokea. Na hilo tatizo kalianza akiwa Arsenal.

Kwa kikosi chenu mimi naona Kovacic na Mount wakae kati, Broja na Auba wakae mbele nyuma yao awe Sterling.
 
Na kutokana ya kwamba Arsenal tunaendeleza tulipoishia sisi hii WC inatufavor kuliko wengi tulvyofikiria. January tukisajili winger na mid hata 3 mimi nitaanza sema tunagombea ubingwa.

Niliwahi na hua ninaandika mara nyingi kwamba katika timu sizihofii hata niwe na kikosi kibovu vipi ni chelsea na united.
 
Na kutokana ya kwamba Arsenal tunaendeleza tulipoishia sisi hii WC inatufavor kuliko wengi tulvyofikiria. January tukisajili winger na mid hata 3 mimi nitaanza sema tunagombea ubingwa.

Niliwahi na hua ninaandika mara nyingi kwamba katika timu sizihofii hata niwe na kikosi kibovu vipi ni chelsea na united.
Hata Baku hukuhofia?
 
Wewe inaonesha unapenda ubishani, ila tambua Arteta pale Arsenal ana miaka miwili na miez 10 na Siku 15, alikuta kikos Cha wachezaji wavivu , aliweza kuchukua FA CUP na CS akiwafunga Chelsea,mancity na Liverpool .,akitumia 3-4-3, Lakini Siku zote since day one alisema anahitaji kuja kucheza 4-3-3 ,Baada ya kuwaondoa wachezaji wasioendana na mfumo wake ,

Had kufikia msimu uliopita round ya 2 alikuwa ameondoa wachezaji wengi asiowataka ,na round ya 2 akaanza rasmi kutumia 4-3-3/4-2-3-1

HATA POTTER kwa wachezaji waliopo Chelsea hawez kutoboa ,mchezaji Kama Sterling,Auba, Kai, Ziyech ,plus End of era ya kante

Since Aubameyangs departure,Arsenal have won 80 points in the league. Only City with 90 points have more

Nimekupa summary tu, Lakini Kuna kazi kubwa kaifanya kuanzia dressing room had kurudisha amsha amsha kwa mashabiki mechi za nyumbani .

View attachment 2410543
Asipokuelewa na hapa, usijisumbue tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom