Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sterling moja ya Sajiri za ovyo, Mtamuonea Bure Potter ,Chelsea haina winger za kutia njaa ,

Kuna wavivu wengi ,ila Wana majina makubwa , Kocha wenu asiwe na huruma ,

Kai , Auba, Sterling hawapress ,mchezaji pekee anaye press Chelsea huwa Ni mount ,ila kaingia ndani ya kundi la kina Kai , hivo Chelsea Ni rahisi Sana kuwashambulia maana ina wavivu Kama Wanne hivi,

Mnamsema Broja ila ana msaada kuliko Auba , Kama Auba alikuwa hapati mipira ,Mbona Broja kwa dakika 25 tu aligusa mipira mingi kuliko Auba ambaye akicheza dk 65.

Mpira wakisasa ukiangalia majina utamuona Kocha hafai, kumbe Kuna michezaji mivivu ,

Wachezaji wa mbele wa chelsea siwatofautishi Sana na waliokuwepo Arsenal kipind anafika Arteta walikuwa hawataki kupress na kukaba off the ball.

Pepe sawa na Ziyech

Auba Ndio huyu huyu

Ozil Kama Kai

Mpira wa Sasa unapokuwa na Aina ya wachezaji wa hivi , Ni rahisi kupoteza.

Potter anahitaji muda aondoe baadhi ya watu ,Ndio maana kapewa miaka mitano.

Anahitaji DM , Na CM , kante na kova shughuli imeisha
 
Kuna watu wanachuki na Potter, hawatak kukubal uhalisia
 
Mkuu sikubaliane na wewe kuhusu hilo Chelsea ina wachezaji wazuri sio worse ki vile tatizo ni kocha
Angalia wachezaji wa arsenal man United timu gani inapeleka wachzaji wengi World cup

Mendy,
Azpi,Silva, Koulibaly, charlobah,cucurella
Jorginho,kovacic, Zakaria, Leftuscheek, Mount, Gallagher,Ziyec,Pulisic, Sterling, Aubameyang,Brodja,Kai pamoja na majeruhi wote wanaenda kombe la dunia.

Tatizo ni potter hajui hata mfumo wa kumpa matokeo leo anachezea mfumo wa 352 mara 433 mechi nyingine 3421 anachanganya wa chezaji hata ungekua wewe.

Sterling ni LW sio RW Mount sio winger ni mzuri akiwa nyuma ya striker.

Anachezesha wachezaji nje ya natural position zao, anashindwa kugundua kwamba twin striker ya Kai na Aub imegoma anaendelea kulazimisha kwa kubahatisha ni muhimu awe na 1st eleven angalia man city, Liverpool, Arsenal hata kabla ya match utajua anathema nani mabadolika hutokea ila ya nakua kidgo.

Hilo ndo tatizo kubwa la potter match 10 hana first 11 ya wakika sio kwamba ni chuki hapana
 
Mimi sitaki nionekane kama mtu pessimistic au negative kuhusu potter ila lazime ni sema nacho ona kutokana na uzoefu wa ushabiki wangu wa epl kwa mda mrefu.

Potter hata aletewi wa chezaji wazuri hana uwezo wa kuwa handle hana uzoefu wao.

Potter hana mbinu za kisasa ana bahatisha tu wengi tulidhani ana jipya tumpe mda ila hamna kitu match 10 za tosha kujua kocha.

Potter tukiwa tuna ongoza au tuko nyuma sub wake ni wale wale hana pressure yoyote ni ishara ya kutokua na tactics za mpira.

Potter anasubstute striker alienyimwa mipira na viungo na anacha kiungo alie shinda kupeleka mpira mbele.

Dawa ya Chelsea ni kupata kocha mpya mwenye uzoefu kua Top four katika epl sio mchezo uliza Man U, arsenal Tottenham au Liverpool wanavo sota kupata hiyo nafasi.

Chelsea ni kubwa kuliko huyu chuck Norisi. Huyu Tajili Toedi akujua ukubwa wa timu alio nunua alidhani ni kama za basketball clubs za marekani pressure ya mashabiki imemzidia na jana ana sema ana hitaji kukaa na board ya wamiliki kufix nambo fulani kwenye chelsea........huwezi kuchezea hisia za watu ki utani utani, tangu mwaka 2000 mtu ni shabiki wa bluee unaleta mediocre coach eti project
Arteta alikuwa na uzoefu upi kuiweka timu yoyote top four kabla ya kwenda kule Emirates?

GP yupo, na sisi mashabiki wa Chelsea tuko naye sana tu, tunajua wachezaji aliowakuta si aina yake aliowasajili yeye mwenyewe na Majeruhi wengi wamechangia kumfanya asiwe na matokeo chanya kipindi hiki.

Tumeshavaa roho ngumu za uvumilivu wa kipindi hiki cha mpito kwa miaka miwili au mitatu lakini tunaomba aendelee kuwepo ili akifanya usajili wake ye mwenyewe ndipo tutakuwa na uhalali wa kumuhukumu.

Arse8 yenyewe ishukuru siku ile goli lao lilitokana na faulo ya wazi aliyochezewa Beki mahiri Silva, Refa akapeta ndipo wakapata kona ya kufunga goli 1, lakini mbali na yote akina Martinez na Saka walikuwa watalii tu waliokuwa wamekamatika kila idara hadi Shaka alipaniki balaa
 
Mkuu huyu potter simchukii ila napenda Chelsea yangu siko tayari kuhama timu, huyu jama hana uwezo wa timu, mbinu zake ni ndogo sana imagine unatafuta ushindi unamtoa striker kama Auba unaweka average striker broja kwa mbinu zipi?
Ila haya ni mawazo yangu tu.
Huyo Auba mwenyewe alikuwa akifanya nini haswa ktk ile mechi kama si kuzurura pekee hadi umlaumu Kocha kumtoa uwanjani?

Acha chuki za kike kwa GP wewe shabiki maandazi.
 
Rogers mpe hao wachezaji wa Chelsea wa sasa uone kama utakua na mashaka ya kumalizia top four, una Zakaria fofana koudibally Thiago zippe ziechy mount Auba sterling mateo covicic au wote ni world first class players hamna timu Europe asio wa hitaji, ila huyu jama analalamika, hao wachezaji mpe Moriniho top 4 ni sure deal.
Zakaria na Fofana wote hawakucheza siku ile walikuwa Majeruhi.

Tunakoelekea nitahamasisha kampeni humu jukwaani kwaajili ya kuwapuuza ninyi mashabiki maandazi mnaoumuka kwa mihemuko tu ya chuki binafsi kwa GP ili muwe mnapotezewa tu maana hamjui mnachokitaka kama Ke.
 
Sterling moja ya Sajiri za ovyo, Mtamuonea Bure Potter ,Chelsea haina winger za kutia njaa ,

Kuna wavivu wengi ,ila Wana majina makubwa , Kocha wenu asiwe na huruma ,

Kai , Auba, Sterling hawapress ,mchezaji pekee anaye press Chelsea huwa Ni mount ,ila kaingia ndani ya kundi la kina Kai , hivo Chelsea Ni rahisi Sana kuwashambulia maana ina wavivu Kama Wanne hivi,

Mnamsema Broja ila ana msaada kuliko Auba , Kama Auba alikuwa hapati mipira ,Mbona Broja kwa dakika 25 tu aligusa mipira mingi kuliko Auba ambaye akicheza dk 65.

Mpira wakisasa ukiangalia majina utamuona Kocha hafai, kumbe Kuna michezaji mivivu ,

Wachezaji wa mbele wa chelsea siwatofautishi Sana na waliokuwepo Arsenal kipind anafika Arteta walikuwa hawataki kupress na kukaba off the ball.

Pepe sawa na Ziyech

Auba Ndio huyu huyu

Ozil Kama Kai

Mpira wa Sasa unapokuwa na Aina ya wachezaji wa hivi , Ni rahisi kupoteza.

Potter anahitaji muda aondoe baadhi ya watu ,Ndio maana kapewa miaka mitano.

Anahitaji DM , Na CM , kante na kova shughuli imeisha
I second you on your strong point.
 
Arteta alikuwa na uzoefu upi kuiweka timu yoyote top four kabla ya kwenda kule Emirates?

GP yupo, na sisi mashabiki wa Chelsea tuko naye sana tu, tunajua wachezaji aliowakuta si aina yake aliowasajili yeye mwenyewe na Majeruhi wengi wamechangia kumfanya asiwe na matokeo chanya kipindi hiki.

Tumeshavaa roho ngumu za uvumilivu wa kipindi hiki cha mpito kwa miaka miwili au mitatu lakini tunaomba aendelee kuwepo ili akifanya usajili wake ye mwenyewe ndipo tutakuwa na uhalali wa kumuhukumu.

Arse8 yenyewe ishukuru siku ile goli lao lilitokana na faulo ya wazi aliyochezewa Beki mahiri Silva, Refa akapeta ndipo wakapata kona ya kufunga goli 1, lakini mbali na yote akina Martinez na Saka walikuwa watalii tu waliokuwa wamekamatika kila idara hadi Shaka alipaniki balaa
Acha utoto, performance-wise Arsenal was a better side.

Xg determined during the match
Chelsea (0.24) 0-1 (2.38) Arsenal
 
Chelsea created just 0.05(xG) against Arsenal in the second half.
 
Zakaria na Fofana wote hawakucheza siku ile walikuwa Majeruhi.

Tunakoelekea nitahamasisha kampeni humu jukwaani kwaajili ya kuwapuuza ninyi mashabiki maandazi mnaoumuka kwa mihemuko tu ya chuki binafsi kwa GP ili muwe mnapotezewa tu maana hamjui mnachokitaka kama Ke.
Toa hoja zako za mashiko mkuu kumtetea potter na kutetea msimamo wako, kama huna hoja ka kimya tuna ishi kwenye world of intellectuals sio ubabe, hamna haja ya kutumia matusi au chuki binafsu or personal attack, kama huna brains just mute, sio vita mkuu kua simple maisha yatakya maraini na stress free .
 
Arteta alikuwa na uzoefu upi kuiweka timu yoyote top four kabla ya kwenda kule Emirates?

GP yupo, na sisi mashabiki wa Chelsea tuko naye sana tu, tunajua wachezaji aliowakuta si aina yake aliowasajili yeye mwenyewe na Majeruhi wengi wamechangia kumfanya asiwe na matokeo chanya kipindi hiki.

Tumeshavaa roho ngumu za uvumilivu wa kipindi hiki cha mpito kwa miaka miwili au mitatu lakini tunaomba aendelee kuwepo ili akifanya usajili wake ye mwenyewe ndipo tutakuwa na uhalali wa kumuhukumu.

Arse8 yenyewe ishukuru siku ile goli lao lilitokana na faulo ya wazi aliyochezewa Beki mahiri Silva, Refa akapeta ndipo wakapata kona ya kufunga goli 1, lakini mbali na yote akina Martinez na Saka walikuwa watalii tu waliokuwa wamekamatika kila idara hadi Shaka alipaniki balaa
Ukitumia arsenal kama kipimo cha ubora wa Chalsea hapo umepotea mkuu, aterta pale hajachukua kombe lolote na iko pale miaka mitatu sass, hiyo Arsanal hata kubakia top 4 bado mashaka yapo ligi ndo bado, anaweza kumalizia nafasi hiyo ya nne kama Chelsea ikiendelea kuporomoka, lakini kwa wanao ona na kujua mpira arsenal bado sana.
 
Shida hamtaki kukubaliana na uhalisia, unatumia kigezo kipi kumuondoa arsenal kwenye top 4 kwa wewe na hao wanaoujua mpira?
 
Jamaa unajua hatarii.
 
Shida hamtaki kukubaliana na uhalisia, unatumia kigezo kipi kumuondoa arsenal kwenye top 4 kwa wewe na hao wanaoujua mpira?
Mkuu sio swala la kukubaliana mpira ni matokeo, Arsenal ana shinda vizuri but not convincingly tactically wakati timu yake iko full, Mancity Tottenham Liverpool Chelsea ya pre potter zinapewa nafasi ya kumalizia top 4, ila kwasbb Chelsea imeanza kuteleza hapo Arsenal anaweza kumaliza kwa nafasi ya top 4. Newcastle Manchester United na Aston villa Westham na Brighton kugombania top 6.
 
Mkuu sikubaliane na wewe kuhusu hilo Chelsea ina wachezaji wazuri sio worse ki vile tatizo ni kocha
Angalia wachezaji wa arsenal man United timu gani inapeleka wachzaji wengi World cup

Mendy,
Azpi,Silva, Koulibaly, charlobah,cucurella
Jorginho,kovacic, Zakaria, Leftuscheek, Mount, Gallagher,Ziyec,Pulisic, Sterling, Aubameyang,Brodja,Kai pamoja na majeruhi wote wanaenda kombe la dunia.

Tatizo ni potter hajui hata mfumo wa kumpa matokeo leo anachezea mfumo wa 352 mara 433 mechi nyingine 3421 anachanganya wa chezaji hata ungekua wewe.

Sterling ni LW sio RW Mount sio winger ni mzuri akiwa nyuma ya striker.

Anachezesha wachezaji nje ya natural position zao, anashindwa kugundua kwamba twin striker ya Kai na Aub imegoma anaendelea kulazimisha kwa kubahatisha ni muhimu awe na 1st eleven angalia man city, Liverpool, Arsenal hata kabla ya match utajua anathema nani mabadolika hutokea ila ya nakua kidgo.

Hilo ndo tatizo kubwa la potter match 10 hana first 11 ya wakika sio kwamba ni chuki hapana
Mimi ningekuwa admin ningekupiga ban kwa sababu chuki yako kwa Potter haina bases za kitaalam, ni chuki binafsi tu.

Potter kaanza mechi 9 unbeaten. Katika mechi 12 kafungwa 2 tu halafu povu linakutoka. Na tena katika hizo mechi 12 nyuma yake kuna majeruhi muhimu sana kwenye timu wanaotengeneza mhimili muhimu wa timu kama akina:
  1. Kante
  2. James
  3. KEPA
  4. Chilwell
  5. Fofana
Malalamishi yenu kwa Potter mnajichora tu kihivyo na baadaye mtakuja kuayarudia haya matapishi yenu. Mimi naweka hizi posts akiba ya baadaye
 
Arteta alikuwa na uzoefu upi kuiweka timu yoyote top four kabla ya kwenda kule Emirates?

GP yupo, na sisi mashabiki wa Chelsea tuko naye sana tu, tunajua wachezaji aliowakuta si aina yake aliowasajili yeye mwenyewe na Majeruhi wengi wamechangia kumfanya asiwe na matokeo chanya kipindi hiki.

Tumeshavaa roho ngumu za uvumilivu wa kipindi hiki cha mpito kwa miaka miwili au mitatu lakini tunaomba aendelee kuwepo ili akifanya usajili wake ye mwenyewe ndipo tutakuwa na uhalali wa kumuhukumu.

Arse8 yenyewe ishukuru siku ile goli lao lilitokana na faulo ya wazi aliyochezewa Beki mahiri Silva, Refa akapeta ndipo wakapata kona ya kufunga goli 1, lakini mbali na yote akina Martinez na Saka walikuwa watalii tu waliokuwa wamekamatika kila idara hadi Shaka alipaniki balaa
Exactly, tena Potter anao uzoefu mkubwa sana kuliko Arteta. Arteta katoka City chini ya PEP kama assistant Arsenal ndio timu yake ya kwanza. Wamemvumilia misimu miwili, huu wa tatu anatoa matokea mazuri. Sisi mechi 2 tu mapofu ya watu yako nje nje. Nasema mechi mbili kwa sababu ni mechi ya Brighton na Arsenal ndio tumefungwa chini ya Potter. Tatizo watu wanatokwa na mapofu bila kuweka takwimu vizuri
 
Shida hamtaki kukubaliana na uhalisia, unatumia kigezo kipi kumuondoa arsenal kwenye top 4 kwa wewe na hao wanaoujua mpira?
Tangu mwazo nilisema Arsenal ya mwaka huu sio ile tulioizoea na watu wengine humu wakanibeza. Arsenal ni Title contender na atabaki top 4, sisi tukitaka top 4 kibonde wa kumsukuma nje ni Spurs
Naona top for ya mwaka huu ikiwa na
  1. City
  2. Arsenal
  3. Spurs/Chelsea
  4. Liverpool
 
Zakaria na Fofana wote hawakucheza siku ile walikuwa Majeruhi.

Tunakoelekea nitahamasisha kampeni humu jukwaani kwaajili ya kuwapuuza ninyi mashabiki maandazi mnaoumuka kwa mihemuko tu ya chuki binafsi kwa GP ili muwe mnapotezewa tu maana hamjui mnachokitaka kama Ke.
Kakazana kweli kweli hata wachezaji walioko majeruhi hajui ni akina nani
 
Exactly, tena Potter anao uzoefu mkubwa sana kuliko Arteta. Arteta katoka City chini ya PEP kama assistant Arsenal ndio timu yake ya kwanza. Wamemvumilia misimu miwili, huu wa tatu anatoa matokea mazuri. Sisi mechi 2 tu mapofu ya watu yako nje nje. Nasema mechi mbili kwa sababu ni mechi ya Brighton na Arsenal ndio tumefungwa chini ya Potter. Tatizo watu wanatokwa na mapofu bila kuweka takwimu vizuri
Naomba unijibu kiufupi tu. What are the achievements of arteta in three year with Arsenal????
 
Tangu mwazo nilisema Arsenal ya mwaka huu sio ile tulioizoea na watu wengine humu wakanibeza. Arsenal ni Title contender na atabaki top 4, sisi tukitaka top 4 kibonde wa kumsukuma nje ni Spurs
Naona top for ya mwaka huu ikiwa na
  1. City
  2. Arsenal
  3. Spurs/Chelsea
  4. Liverpool
Kwa vigezo gani? mpira sio betting ni science toa hisia zako uweke hoja na reasoning kuonyesha kwamba Asernal ya mwaka hu ni nzuri kuliko spurs, iepuka kuchanganya current form, luck na uwezo, kwasasa Arsnal ina form na luck ila sio uwezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom