Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timua timua ya makocha haitotupeleka popote kwa sasa, tutaendelea na kuwa vile vile, Arsenal wako hapa walipo coz walimuamini Arteta n now matunda yanaonekana, Arteta kawatoa wale wote aliona haendani nao.

Sisi tukiendelea na huu utamaduni tushinda hivi vikombe vya fa,carabao, ila premier league tutaendeleea kuskia kwa bomba kama hatuna project.
Project sii hii hapa ya GP lakini watu washaanza kumpopoa hapa. Unachosema niliwahi kusema watu wakasema hatutakiwi kufanya hivyo sasa naona mnaanza kukubali wenyewe.

Ipo siku wite humu tutaongea lugha moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendelee kujiuliza lile swali letu, kwani tumweweka mategemeo yepi msimu huu?
  1. Kubeba kombe - NO
  2. Top 4 - may be
  3. Kubeba UCL - NO
  4. Kufika robo fainali za UCL - May be
  5. Kubeba FA - No
  6. Kubeba Karabao - tutaondolewa na City
Ila tujifariji sisi bado ni mabingwa wa dunia
Yan GP ajitahidi awezavyo mpaka msimu unaisha tuwe ndani ya top four. Hatutaki kumpa pressure ya makombe saivi labda shabiki maandazi tu ndio anaweza kuwaza makombe chini ya GP ndani ya msimu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kipindi chote cha November Mpaka February lolote laweza kutokea...

Kwanza inafuata Michuano ya Kombe la Dunia ambayo kunauwezekano wa Timu zinazoonekana kuwa nzuri kwa sasa wachezaji wake wakapata majeruhi wakiwa wanatumikia timu zao za taifa...

Pili, inawezekana baada ya Kombe la Dunia baadhi ya timu zinazoonekana nzuri wachezaji wake wakawa wamechoka kutokana namfululizo wa mechi hi yo kutokuwa na perfomance nzuri..

Tatu, Inawezekana kabisa Timu Yetu ya Chelsea inayoonekana kama inasuasua kwa sasa ikawa ninzuri kwa sababu baadhi ya wachezaji majeruhi wakawa wamepona na kupata muda mzuri wa kupumzika wakati wengine wakiendelea na kombe la dunia

Nne, Kuna Dirisha la usajili la january lolote laweza kutokea hapo kwenye usajili na kubadili hali ya timu..
 
Vibonge
20221108_081329.jpg
 
Mimi sitaki nionekane kama mtu pessimistic au negative kuhusu potter ila lazime ni sema nacho ona kutokana na uzoefu wa ushabiki wangu wa epl kwa mda mrefu.

Potter hata aletewi wa chezaji wazuri hana uwezo wa kuwa handle hana uzoefu wao.

Potter hana mbinu za kisasa ana bahatisha tu wengi tulidhani ana jipya tumpe mda ila hamna kitu match 10 za tosha kujua kocha.

Potter tukiwa tuna ongoza au tuko nyuma sub wake ni wale wale hana pressure yoyote ni ishara ya kutokua na tactics za mpira.

Potter anasubstute striker alienyimwa mipira na viungo na anacha kiungo alie shinda kupeleka mpira mbele.

Dawa ya Chelsea ni kupata kocha mpya mwenye uzoefu kua Top four katika epl sio mchezo uliza Man U, arsenal Tottenham au Liverpool wanavo sota kupata hiyo nafasi.

Chelsea ni kubwa kuliko huyu chuck Norisi. Huyu Tajili Toedi akujua ukubwa wa timu alio nunua alidhani ni kama za basketball clubs za marekani pressure ya mashabiki imemzidia na jana ana sema ana hitaji kukaa na board ya wamiliki kufix nambo fulani kwenye chelsea........huwezi kuchezea hisia za watu ki utani utani, tangu mwaka 2000 mtu ni shabiki wa bluee unaleta mediocre coach eti project
 
Roggers ana uzoefu wa top 4 yuko wapi na LCFC?
 
Bro unachuki na Potter sio bure,

Hii tim tangu enzi za Tuchel tunajua ikitanguliwa tu tayar biashara imeisha ni either draw or tumefungwa ,
 
Mkuu huyu potter simchukii ila napenda Chelsea yangu siko tayari kuhama timu, huyu jama hana uwezo wa timu, mbinu zake ni ndogo sana imagine unatafuta ushindi unamtoa striker kama Auba unaweka average striker broja kwa mbinu zipi?
Ila haya ni mawazo yangu tu.
 
Roggers ana uzoefu wa top 4 yuko wapi na LCFC?
Rogers mpe hao wachezaji wa Chelsea wa sasa uone kama utakua na mashaka ya kumalizia top four, una Zakaria fofana koudibally Thiago zippe ziechy mount Auba sterling mateo covicic au wote ni world first class players hamna timu Europe asio wa hitaji, ila huyu jama analalamika, hao wachezaji mpe Moriniho top 4 ni sure deal.
 
Auba kipi alifanya kwa mda aliocheza
Mkuu kumbuka Auba ni striker lazima apelekewe mpira na middle fielder ile mpira miwili Kei alio mnyima angempa na angeshindwa tungemuhukumu ila hakupewa nafasi hiyo, badala ya kumtoa kei alio onyesha uchoyo katowa alio nyimwa mpila, mimi binafsi naona match read ya koch ni very low.
 
Mkuu tuache chuki, tukubal tuna tim mbovu,
Tim hii hii haina balance kati ya defence n attack, tuchel mwenyewe ashawaongea shida inayotusumbua hata aje nani kwa wachezaji hawa hawa hawatompeleka popote.
 
Ni kweli mkuu na kubaliana na wewe tuna timu mbovu ukilinganisha na chalsea ya miaka ya nyuma ila hili sio sabb ya kutokua na kocha mwenye mzoefu na mbinu za kisasa, tuanze na kua na kocha mzuri ili tupate wachezaji wazuri.

Huyu wasasa hata ukimpa mbappe na Nayma na kareem benzima akili zake zitamtuma awake laftus cheek kiungoni ku wa feed mipira, mchezaji asio weza kutoa pass sahihi zaidi ya mita 15........na mwishowe ata mtowa Mbappe amweke Broja ndo kocha wetu huyu tulionea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom