Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukiangalia hizo sajiri project ilikua ya Thomas T
At that time Potter hakuwa kwenye ramani

Tuchel anapendekeza bosi anaingia sokoni
Maana hamkua na director

Potter anakuja kukutana na wachezaji preference za Tuchel

Ndio maana Mendy akaanza kusugua bench, kepa akarudi mchezoni
Potter hataki kumuelewa Zakaria, kama zakaria asivyoelewa kwenye kula mshahara

Kama Auba anakuja Chelsea, alishawai kufanya kazi na Tuchel
Sitashangaa akila bench au msimu ujao akatafuta chaka lingine kwa kutoelewana na potter
Kiukweli Auba ni jeuri na kiburi sana
Na zaidi Auba mpira umeisha kwa sasa

Potter anaumiza kichwa ku-integrate wachezaji
Afanye nini ili wakae kwenye mifumo
Bado anatafuta squard itakayoenda na falsafa zake kwa wachezaji aliopendekeza Tuchel
Haitakua ajabu sterling na cucurela wakila bench
Ndio maana pre-season ni muhimu sana kwa makocha na wachezaji pia

Potter atataka wachezaji wake ili asiwe na excuses,
Anahitaji madirisha ya usajiri sio chini ya mawili
Kutoa wasioendana na mifumo yake na kuweka watu wake

Vitu vidogo kama hivi kuna KENGE humu haziwezi kuvielewa
Na muwe na heshima na adabu mnavyokuja kwenye magroup ya wanaume kule the gunner
Umeanza vizuri ukaendelea vizuri hapo katikati ila ukamaliza na matusi, kwa nini lazima utukane
 
Chelsea ya TT ilikuwa ni mbovu, tulitegemea TT angefanya sajili za maana kuanza kuijenga timu upya taratibu.

Kitendo cha TT kuwasajili Auba, Sterling, Fofana, Cucurela, koulibaly, Zakaria ndio wameongeza ubovu zaidi kuliko unafuu.

Hii timu inatakiwa ipate kocha kama Pep afumue kabisa kikosi alete wachezaji wa falsafa yake na sio kuwabembeleza wachezaji mizigo kikosini.

Tajiri anatoa pesa ya kutosha ya usajili 260M kwa dirisha halafu kocha unaenda kusajili vituko?

Chelsea hatuko serious kwenye kujenga kitu kinachoitwa project.

Ule uendeshaji wa Roman Abramovich wa zima moto ndio ulikuwa sahihi kwa Chelsea sio kujenga project HATUWEZI.

Project tuwaachie vilabu vingine.
Mapema mno
Fofana, Cucurela, wanahitaji muda kuzoea wengine
Kocha naye aache too much rotation na lineups zinazowachanganya wachezaji
 
Baada ya kumfukuza Tuchel aliekua na wastan wa ushindi wa 60% na kumleta kocha asie na mafanikio Graham Potter ni rasmi sasa baada ya kipigo Cha jana Graham Potter ndo kawa kocha wa kwanza wa Chelsea kufungwa na Brighton kwa miaka 89 iliyopita mara ya mwisho chelsea kufungwa na Brighton ni Jan 14 mwaka 1933 kwenye FA cup enzi hizo kocha ni David Calderhead.

Chelsea tulitumia £260M kwenye usajili dirisha lililopita pesa nyingi zaid kwenye usajili kuliko timu zote za ulaya, lakin hadi sasa ni mzunguko wa 12 wa Epl na mfungaji mwenye magoli mengi ni Kai Havertz mwenye Goli 3 tu Epl, huku akiwa na offside nyingi kuliko wachezaji wote Epl kafikisha offside 12 hakuna mchezaji yoyote wa Epl aliemfikia hadi sasa.

Kabla sijasahau naomba pia nikumbushe tangu Potter akabidhiwe timu kabadilisha formation Mara 9 na hii ni Mara ya kwanza kwa Brighton kuifungwa Chelsea tangu ligi ya Epl ianzishwe, na ni mara ya kwanza wachezaji wa Chelsea kujifunga goli mbili katika mechi 1 ya Epl.

...Despite everything nina mengi sana ya kusema lakin sina nguvu ya kuongea ila nimejitahidi tu kama kaka wa familia niseme chochote hasa katika kipindi hiki ambacho ndugu zangu hawana nguvu ya kuongea.

Nasema uongo ndugu zangu? Basi mniombee.
Bado Chelsea ingekuja kufungwa na Brighton hata kama asingekuwa GP sababu kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho.

Pia rekodi huwekwa na Binadamu na kuvunjwa na Binadamu.
 
Commentator
Dakika ya 80+
As time goes chelshe looks more stupidity, in every Two forward passes there are 10 back passes
Ladies and gentlemen and this is chelshe we used to know

Nyie mafala muanze kujadili kikosi ambacho hamtakua na kizingizio tukiwa tunawapiga hii style
View attachment 2402149
Hii risiti muitunge
Kuna mwenzenu amekula mkono huko
 
Ukiangalia hizo sajiri project ilikua ya Thomas T
At that time Potter hakuwa kwenye ramani

Tuchel anapendekeza bosi anaingia sokoni
Maana hamkua na director

Potter anakuja kukutana na wachezaji preference za Tuchel

Ndio maana Mendy akaanza kusugua bench, kepa akarudi mchezoni
Potter hataki kumuelewa Zakaria, kama zakaria asivyoelewa kwenye kula mshahara

Kama Auba anakuja Chelsea, alishawai kufanya kazi na Tuchel
Sitashangaa akila bench au msimu ujao akatafuta chaka lingine kwa kutoelewana na potter
Kiukweli Auba ni jeuri na kiburi sana
Na zaidi Auba mpira umeisha kwa sasa

Potter anaumiza kichwa ku-integrate wachezaji
Afanye nini ili wakae kwenye mifumo
Bado anatafuta squard itakayoenda na falsafa zake kwa wachezaji aliopendekeza Tuchel
Haitakua ajabu sterling na cucurela wakila bench
Ndio maana pre-season ni muhimu sana kwa makocha na wachezaji pia

Potter atataka wachezaji wake ili asiwe na excuses,
Anahitaji madirisha ya usajiri sio chini ya mawili
Kutoa wasioendana na mifumo yake na kuweka watu wake

Vitu vidogo kama hivi kuna KENGE humu haziwezi kuvielewa
Na muwe na heshima na adabu mnavyokuja kwenye magroup ya wanaume kule the gunner
Umemaliza kila kitu hapa

Me nilikuwa nasema if walikuwa nampango wa kumfukuza tuchel baada ya kutokuwa na maelewano why uspend 250+M kwa wachezaj anaowataka huku ukijua utamfukuza kwa kutoendana na project unayotaka.

Potter ni mzuri ila atahitajo mda na wachezaj, potter namfananisha na Sarri, wote wanahitaj mda na wachezaj wao watakaoendana na falsafa zao na siwakute team iliyojaa wachezaj walio slow
 
Chelsea ya TT ilikuwa ni mbovu, tulitegemea TT angefanya sajili za maana kuanza kuijenga timu upya taratibu.

Kitendo cha TT kuwasajili Auba, Sterling, Fofana, Cucurela, koulibaly, Zakaria ndio wameongeza ubovu zaidi kuliko unafuu.

Hii timu inatakiwa ipate kocha kama Pep afumue kabisa kikosi alete wachezaji wa falsafa yake na sio kuwabembeleza wachezaji mizigo kikosini.

Tajiri anatoa pesa ya kutosha ya usajili 260M kwa dirisha halafu kocha unaenda kusajili vituko?

Chelsea hatuko serious kwenye kujenga kitu kinachoitwa project.

Ule uendeshaji wa Roman Abramovich wa zima moto ndio ulikuwa sahihi kwa Chelsea sio kujenga project HATUWEZI.

Project tuwaachie vilabu vingine.
Tujiandae kwa project now tukifanya sajil nzuri inaweza chukua mda mfupi ila tukifanya sajili zile zile za kupanic tutaendelea kulia kila siku.

Issue ya kwanza,january or summer tutatue tatizo la mid n rb back up
 
Hatimaye huyu mshenzi kakiri kosa la kuwachezesha out of position Sterling na Pulisic
Huyu atakuwa alibet Brighton ishinde timu yake ya zamani bado iko kwenye damu.
Alifikir kwa vile aliwachezesha hivyo dhidi ya RB Salzburg na kwa Brighton ingeleta matokeo yale yale. Kwa Salzburg wale walikuwa wabovu. Walikuwa hawawezi kufanya transition kwenye weak areas za wing-backs

Chalsea inaweza kufunga arsenal kwa match inao fatia, sio kwamba timu itakua imeka sawa ila akili za kocha wetu porter zime concetrate kwenye match hiyo ya arsenal tuna kuja kufungwa na middle table timu brighton kweli? nakupoteza points 3 mhimu, na makosa kwanini tumefungwa ata sie washabiki wa kawaida tuna yaona wazi.

Mimi sio kwamba na mchukia porter ni nzuri ila ana hukumiwa na historia 'English coaches are all gamblers, they don't have any thing to offer, Potter is a mid table coach na ata tuferisha tukiendelea nae kwa % kubwa sahau Champions league msimu ujao, huyu kocha technically iko poor sana ana chezesha wachezaji out of position na hapo hapo anategemea kupata matokeo.

Timu selection yake ni mbaya sana loftus cheek hana uwezo kua midfielder wa timu kama chelsea is the worse ever, tume mleta Auba kututafutia magoli sabb gani akae bechi wakata hana injury? eti lini pulisi awe winga wakutegemea sterling ana mtumia sivyo ndo maana alete matokeo.

Tukiendelea na huyu porter tuna maliza nafasi ya 10. Au chini zaidi sioni matumaini mipira yote tulio funga ni manusura keppa katusaidia au ubovu wa timu tulio kutana nazo lakini sio ubora wa timu yetu.

Hiyo ni personal opinion yangu kama shabiki huru wa blues leta yako pia.
 
Sasa mlitaka acheze nani hizo position na kila mchezaji mnamlalamikia? Timu inamajeruhi ya wachezaji wa kutgemewa kama wanne unategemea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikubaliana kwa msimu huu tusiwe na mategemeo makubwa kwa sababu bado timu haijakaa sawa, majeraha na kadhalika. Mimi siwezi kumlaumu GP hata kidogo kwa sababu yeye ndio anakaa na wachezaji Cobham anajua ubora na udhaifu wao pia swala la kuwachezesha out of position nadhan hiyo ni tactical reason ukizingatia na hali ya injuries zilizopo lakini haiku work out.

Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mlitaka acheze nani hizo position na kila mchezaji mnamlalamikia? Timu inamajeruhi ya wachezaji wa kutgemewa kama wanne unategemea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angeweka formation inayoendana na wachezaji waliopo. Mfano 433 ingesaidia Azpi kwenye Rb hana shida sana hivyo hivyo cucu kwenye LB hana shida kwa sababu hao full backs watalindwa na midle. Hii ya 343 inahitaji wingbacks agressive na wenye uwezo mkubwa wa kucover distance kubwa. Kwenye 433 akina sterling na pulisic wangecheza comfortably as wingers na sio kuhangaika kukaba kila saa.. Brighton waligundua hiyo weakness na kutushambulia tusipate muda wa kushambulia. Halafu kwa nini asimjaribu Denis?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom