Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na mna bahati mbaya Todd Boehl ana tabia ya kutoa mikataba mirefu na Potter amepewa kandarasi ya miaka mi5 na wamesisitiza kuwa Potter hatafukuzwa regardless na position atakayomaliza msimu huu.

Hapo kwanza ncheke!šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Na mna bahati mbaya Todd Boehl ana tabia ya kutoa mikataba mirefu na Potter amepewa kandarasi ya miaka mi5 na wamesisitiza kuwa Potter hatafukuzwa regardless na position atakayomaliza msimu huu.

Hapo kwanza ncheke!
Mpira wa uleya hasa Epl mikataba haina nguvu bila matokeo namaelewano mazuri na wa chezaji hata angepewa miaka kumi bila kushinda mechi muhimu atakua sacked ndani ya mwaka moja,

Boehl hata weza kuhimili pressure kutoka kwa mashabiki na share holder wengine, na atakua ana risk anguko la biashara ya timu kwa hivo hiyo sio grantee ya potter kutoleta matokeo.
 
No
 
Sex football,

Alichokisema itakuwa tofauti na atakachokifanya. Tuombe Mungu Potter asiperform vibaya. Boehly hana uvumilivu. Mazingira ya kutimuliwa TT inatoa picha halisi. Kama Chelsea ikimaliza ligi nje ya 6 na UCL isifike mbali na kwenye vikombe vidogo Chelsea ikatolewa mapema, Potter hatakuwa na kibarua
 
Wewe ulishinda Ila unajua mpira niliokutandazia ,Shukran kwa Counter attack, shukuru pia kukosekana Partey na Elneny ,maana 3rd option Lokonga Ndiye alikamata Dimba ,

From the 15th minute to the end of the half these were the key stats.

6 – Shots for Arsenal, 3 for United

0.4 – Expected goals for Arsenal, 0.25 for United

203 – Passes attempted by Arsenal, 86 for United

65 – Final third passes for Arsenal, 9 for United

11 – Passes completed into the box for Arsenal, 1 for United.

The start of the second half was more of the same. Here were the stats up to Saka’s equalizer from the start of the second half.

3 – Shot for Arsenal, 0 for United

0.6 – Expected goals for Arsenal, 0 for United

120 – Passes attempted by Arsenal, 36 for United

37 – Final third passes for Arsenal, 0 for United

3 – Passes completed into the box for Arsenal, 0 for United.

Arsenal continued to apply pressure, eventually getting a deserved goal. At this point Arsenal could have switched things up, going more conservative looking to escape for a point but Arteta I think rightly saw that Arsenal had over the course of the match been the better team and thought that all three points were there for the team.

TUNAKUKARIBISHA EMIRATES ROUND YA 2 , LIKE LAST SEASON
Man U ilikuwa bado mbovu imewafunga 3 mkikutana na hii Man U inayoendelea kuimarika na kuelewana mtafungwa 7
 
Line up ya jtano UCL
Formation ni 4-3-3
Matokeo ni 3-1

----Pulisic ----------Broja ----------Ziyech---

---Jorginho ------Zakaria --------Cheek-----

Chilwell------Cucurella-------Chalobah ------Azpilicueta

-------------------------Mendy-------------------------
 
Man U ilikuwa bado mbovu imewafunga 3 mkikutana na hii Man U inayoendelea kuimarika na kuelewana mtafungwa 7
Duh hii man u imeimarika Nini ? Au sababu aliwakimbizen mchakamchaka nyie wabovu ?

Man u akikutana na Arsenal option yake ya kwanza Ni kupaki Basi asubiri miujiza ya Counter attack, Toka 2018 zimemlipa mech 2 tu

Ubovu wenu ndio kwa mara yakwanza niliona Man u anawakimbiza hapo darajani

Sasa kweli toka lini man u ana control game ? Chelsea lazima mna matatizo sio Bure ,

Jana dhidi ya westham ilikuwa JINI KATOKA MGANGA HOI
 
What is the biggest loss in football history?

AS Adema 149–0 SO l'Emyrne was a football match played on 31 October 2002 between two teams in Toamasina, Madagascar.
 
Duh hii man u imeimarika Nini ? Au sababu aliwakimbizen mchakamchaka nyie wabovu ?
Tusubiri marudiano hao academy wenu mnaowaringia watakuwa wamekata beringi nani asiyewajua Arsenal nguvu za soda weee. mtafyata mikia na kupotea kwenye jukwaa
 
Who beaten Man City the most?

Arsenal
have also defeated Manchester City in league competition on 87 occasions, which represents the most Manchester City have lost against any club.
 
Who beaten Chelsea the most?
The side has lost more league games to Liverpool than to any other club, having been defeated by them 70 times in 156 encounters.
 
Which team was beaten by Chelsea the most?
The club has won 65 of their league matches against Newcastle United which represents the most Chelsea have won against any club.
 
Which team drawn by Chelsea the most?
Chelsea have drawn more matches with Manchester United than with any other club, with 52.
 
Juzi tulipigwa aswaa. Tena kipigo heavy. Naamini sasa kocha akili itamkaa sawa. Chelsea forever
 
Which team beaten Liverpool the most?
Manchester United have recorded the most league victories over Liverpool, with 69 wins.
 
Which team beaten Arsenal the most?
Manchester United
, beaten Arsenal 83 times from 204 meetings
 
Angeweka formation inayoendana na wachezaji waliopo. Mfano 433 ingesaidia Azpi kwenye Rb hana shida sana hivyo hivyo cucu kwenye LB hana shida kwa sababu hao full backs watalindwa na midle. Hii ya 343 inahitaji wingbacks agressive na wenye uwezo mkubwa wa kucover distance kubwa. Kwenye 433 akina sterling na pulisic wangecheza comfortably as wingers na sio kuhangaika kukaba kila saa.. Brighton waligundua hiyo weakness na kutushambulia tusipate muda wa kushambulia. Halafu kwa nini asimjaribu Denis?
Me naona lengo ilikuwa ni kuattack na kuwafanya brighton wasijarib kupress kuanzia juu, kwa kuanza na pulisic n sterling kama wingback na kuwa na idadi kubwa kwenye kushambulia.

Anyway kila kocha huwa anatake risk, Klopp kila siku anataka risk,Pep vile vile

Game ya brighton nafas tulicreat ni vile tu player wetu nao huwa hawako makini + wanaonekana wakishatanguliwa hawana uwezo wa kutafuta magol

Yani kwa team zingine vile mmepata goal 1, ndio kwanza nguvu inaongezeka ya kutafuta goal jingine ila sisi ni tofauti kabisa.
 
Potter said the tactical error made him look ā€˜a bit of a fool’.

ā€œThe responsibility for those two wasn’t to defend against their wing-backs, but I understand that whenever you do something and it doesn’t work you look a bit of a fool,ā€ said Potter. ā€œThat is how it is. I have to accept that, deal with that, do better, and I’ll learn. That’s the process.ā€

Potter alisema hiyo ilikuwa ni makosa ya kitaalamu iliyomfanya yeye aonekane mjinga kidogo
Kazi ya hao akina Sterling na Pulisic haikuwa ni kukaba kwenye hayo ameneo ya pembeni, lakini ninaelewa kwamba daima unapofanya kitu fulani na isipofanya kazi, unaonekana kama mjinga kidogo. Alisema Potter. Hivyo ndivyo ilivyo. Ninakubali hayo makosa, nimejifunza, ninafanyia kazi ili kufanya vyema zaidi. Huo ndio mchakato
 
Litimu lishajifia hili , machezaji yanacheza kama yana mimba ya miezi 7, yaani itachukua maelfu ya miaka kupata quality ya watu wanaojituma kama walivyokuwa akina Didier , Lampard , Zola ,Peter cezck , Michael barrack , Solomon kalou ,Makelele , Florent Malouda nk hii ndio ilikuwa squad sasa , wanaume wanapiga show mpaka refa anaomba po , sio watoto mayai akina pulisic , sterling ,mount ,hevertz na matakataka kama hayo nasi tunajigamba tuna timu, Mchezaji unatakiwa kuwa ngangari ,kiraka na kujituma uwanjani sio unacheza kiulojoulojo na kukosa adaptability + ubunifu
Ningekuwa Todd ningeanzisha adhabu ya viboko pale cobham , kuna matoto majinga sana pale .
Angekuwa Mourinho ule upumbavu asingevumilia ,angewanyoosha wale kenge .

Mazafakaz ,sokapo hapo mwaisa
 
Me naona lengo ilikuwa ni kuattack na kuwafanya brighton wasijarib kupress kuanzia juu, kwa kuanza na pulisic n sterling kama wingback na kuwa na idadi kubwa kwenye kushambulia.

Anyway kila kocha huwa anatake risk, Klopp kila siku anataka risk,Pep vile vile

Game ya brighton nafas tulicreat ni vile tu player wetu nao huwa hawako makini + wanaonekana wakishatanguliwa hawana uwezo wa kutafuta magol

Yani kwa team zingine vile mmepata goal 1, ndio kwanza nguvu inaongezeka ya kutafuta goal jingine ila sisi ni tofauti kabisa.
Ni vyema kwenye EPL kubaki kwenye reality, hilo Potter aliona ni kosa na amekiri na hatarudia tena. Kumfanya Sterling na Pulisic wawe wanashambulia tu ni kuacha void kubwa huku nyuma na huo udhaifu Brighton waliligundua wakajengea hapo. Hilo kosa pia lilifanywa walipocheza na RB Salzburg ndio maana mimi nilisema Chelsea walionekana kucheza vizuri kwa sababu Salzburg walikuwa wabove, hawapress, walikuwa wanategemea kufanya counter tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom