Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,355
- 13,887
Timu lenu limenicgania mkeka ***** zake
Analysis yako nzuri sana ila pale kwa Jorginho angeboronga tena zaidi kwa maoni yangu. Weakness kubwa ya Jorginho ni kwenye mechi ambazo mpinzani anacheza kwa pace kubwa na high pressing kama ile ya jana ya Brighton. Angekuwepo Jorginho sio tu angekuwa na too many individual errors pia angewasaidia Brighton kufunga magoli zaidi. Jorgnionho anaonekana mchezaji mzuri kama mpinzani anacheza passive football, mpira wa kawaida bila ukatili wowoteMY ANALYSIS
Mechi ya Jana yamechangiwa na makosa mawili makuu ambayo yamepelekea sisi kufungwa
1. Upande wa Wachezaji
Tuna wachezaji ambao hawajitumi na hawaoneshi hali ya upambanaji magoal yote tumefungwa na wachezaji kuwa careless tunatoa manolo ya ovyo hata pale tulipoweza kufunga goal Moja na mchezo ukawa wetu lakini wachezaji wetu hawakuonesha kweli wanataka matokeo build up ya kushambulia ni slow, kuna Wachezaji unakuta wanatembea uwanjani badala ya kufanya runs
2. Upande wa Kocha
Kiasi chake nae kachangia kuanzia selection mpaka mfumo wa kucheza dhidi ya Brighton hakuwapa heshima Brighton kabisa. Cucurella katika game zote alizomchezesha kama lcb kachemka lakini chakushangaza still Jana kampanga nafasi hiyo hiyo ninaposhindwa kuelewa hapa? Sterling na Pulisic si wakabaji kabisa kwanini uwapange wing back? Ukiachana na weekness hizo pia tulikuwa tuna shida kwenye middle hatukuwa na watu wakucontrol game hapa ndio unakuja kuona umuhimu wa Jorginho, kova na RlC hawa wote sio wakabaji na wala hawana sifa ya kutuliza team inaposhambuliwa ( kupooza mashambulizi ya opponent). kova atakusaidia kwenye kudrive team iende mbele so aliitaji awe na mchezaji mwenye sifa ya ukabaji au wenye aina ya uchezaji wa Jorginho ili acheze nae, kutokana na udhaifu wa middle ndio ilipelekea Brighton watufikia kirahisi goli letu. Sijui kwanini Denis Zakaria asipewe namba kwa mchezaji wa ovyo kama RlC mpaka Leo nitapinga RlC sio kiungo wa Kati na hana sifa yoyote kucheza Hilo eneo RlC nafasi yake nzuri ni kiungo mshambuliaji na kidogo kwenye wing back basi.
Kuna wakati game ilikuwa yetu hasa kipindi Cha pili nilitegemea kocha atamuingiza Jorginho au Denis Zakaria angalau aweke balance kwenye kikosi lakini kuwadhibiti Brighton
lembu
Cash Money Forever
😂😂😂Afadhali ulipunguza machungu kwanza mpira haram🤣🤣🤣🤣🤣 Nilijipooza kwenye Mwaliko hapa kwa jirani kulikuwa na sherehe kidogo maumivu yakapungua
🤣🤣🤣🤣😂😂😂Afadhali ulipunguza machungu kwanza mpira haram
Brighton hakufanya pressing kubwa kama ulivyoizungumzia wewe ile ya Man u ndio ilikuwa kubwa compare na hii ya Brighton sema sisi tuna wachezaji laziness ndio maana unaona hivyoAnalysis yako nzuri sana ila pale kwa Jorginho angeboronga tena zaidi kwa maoni yangu. Weakness kubwa ya Jorginho ni kwenye mechi ambazo mpinzani anacheza kwa pace kubwa na high pressing kama ile ya jana ya Brighton. Angekuwepo Jorginho sio tu angekuwa na too many individual errors pia angewasaidia Brighton kufunga magoli zaidi. Jorgnionho anaonekana mchezaji mzuri kama mpinzani anacheza passive football, mpira wa kawaida bila ukatili wowote
Hivi Denis alimtusi Potter walipokutana niniFanyeni analysis mpaka mchoke.
Mimi Dennis Zakaria kazi yangu ni moja tuu kula mshahara bure nyamnyam.View attachment 2402031
ConclusionSababu kuu za Chelsea kushindwa jana
- Brighton pace na pressing ilikuwa juu sana mbali kabisa na pace ya Chelsea. Inaonekana walikamia kutufunga
- Poor line-up. Wachezaji kucheza out of position na kufanya transition ya Brighton kuwa rahisi kwenye kushambulia
- Mabeki hawakuwa makini na kuwa na too many individual errors hasa golini, goli la kwanza Silva alitoa mpira kirahisi, magoli mawili ya kujifunga. Almost magoli matatu ya sadaka kwa Brighton. Cucurela sio mchezaji wa kuanza, tangu ahamie Chelsea amekuwa ni mzito sana kwenye kukaba. Alifanyika mteremko mno
- Foward wetu hawakuwa makini kama kawaida yao, nafasi za wazi zilipotezwa kizembe
Magoli mawili ndani ya dk 13 na zote ni kwa sababu ya pressing kubwaBrighton hakufanya pressing kubwa kama ulivyoizungumzia wewe ile ya Man u ndio ilikuwa kubwa compare na hii ya Brighton sema sisi tuna wachezaji laziness ndio maana unaona hivyo
Fanyeni analysis mpaka mchoke.
Mimi Dennis Zakaria kazi yangu ni moja tuu kula mshahara bure nyamnyam.View attachment 2402031

Baada ya kumfukuza Tuchel aliekua na wastan wa ushindi wa 60% na kumleta kocha asie na mafanikio Graham Potter ni rasmi sasa baada ya kipigo Cha jana Graham Potter ndo kawa kocha wa kwanza wa Chelsea kufungwa na Brighton kwa miaka 89 iliyopita mara ya mwisho chelsea kufungwa na Brighton ni Jan 14 mwaka 1933 kwenye FA cup enzi hizo kocha ni David Calderhead.
Chelsea tulitumia £260M kwenye usajili dirisha lililopita pesa nyingi zaid kwenye usajili kuliko timu zote za ulaya, lakin hadi sasa ni mzunguko wa 12 wa Epl na mfungaji mwenye magoli mengi ni Kai Havertz mwenye Goli 3 tu Epl, huku akiwa na offside nyingi kuliko wachezaji wote Epl kafikisha offside 12 hakuna mchezaji yoyote wa Epl aliemfikia hadi sasa.
Kabla sijasahau naomba pia nikumbushe tangu Potter akabidhiwe timu kabadilisha formation Mara 9 na hii ni Mara ya kwanza kwa Brighton kuifungwa Chelsea tangu ligi ya Epl ianzishwe, na ni mara ya kwanza wachezaji wa Chelsea kujifunga goli mbili katika mechi 1 ya Epl.Mwisho wa ligi uje pia kutoa analysis yako nzuri sanaBaada ya kumfukuza Tuchel aliekua na wastan wa ushindi wa 60% na kumleta kocha asie na mafanikio Graham Potter ni rasmi sasa baada ya kipigo Cha jana Graham Potter ndo kawa kocha wa kwanza wa Chelsea kufungwa na Brighton kwa miaka 89 iliyopita mara ya mwisho chelsea kufungwa na Brighton ni Jan 14 mwaka 1933 kwenye FA cup enzi hizo kocha ni David Calderhead.
Chelsea tulitumia £260M kwenye usajili dirisha lililopita pesa nyingi zaid kwenye usajili kuliko timu zote za ulaya, lakin hadi sasa ni mzunguko wa 12 wa Epl na mfungaji mwenye magoli mengi ni Kai Havertz mwenye Goli 3 tu Epl, huku akiwa na offside nyingi kuliko wachezaji wote Epl kafikisha offside 12 hakuna mchezaji yoyote wa Epl aliemfikia hadi sasa.
Kabla sijasahau naomba pia nikumbushe tangu Potter akabidhiwe timu kabadilisha formation Mara 9 na hii ni Mara ya kwanza kwa Brighton kuifungwa Chelsea tangu ligi ya Epl ianzishwe, na ni mara ya kwanza wachezaji wa Chelsea kujifunga goli mbili katika mechi 1 ya Epl.
...Despite everything nina mengi sana ya kusema lakin sina nguvu ya kuongea ila nimejitahidi tu kama kaka wa familia niseme chochote hasa katika kipindi hiki ambacho ndugu zangu hawana nguvu ya kuongea.
Nasema uongo ndugu zangu? Basi mniombee.
Ukiangalia hizo sajiri project ilikua ya Thomas TSajili za Chelsea hazikuendana kabisa na uwezo wa wachezaji waliosajiliwa
- Wesley Fofana Euro 80m - over priced
- Marc Cucurella Euro 65m - over priced
- Rahim Sterling Euro 56m - over priced
- Kalidou Koulibaly Euro 38m - over priced
- Denis Zakaria -mkopo wa Euro 3m - ataondoka hata bila kucheza
- Pierre Emerick Aubameyang Euro 12m - no comment
- Carney Chunkwuemeka Euro 18m - no comment
Hakuna ubayaKwani potter akimpigia simu Tajiri akamwambia timu yako hiyo hapo nimekuachia nimeishindwa kuna ubaya gani?



Potter achane na back 3 haiwezi kufanya kazi ikiwa kuna majeruhi wakina james na kolibaly na fofana mpaka watakapolejeaSababu kuu za Chelsea kushindwa jana
- Brighton pace na pressing ilikuwa juu sana mbali kabisa na pace ya Chelsea. Inaonekana walikamia kutufunga
- Poor line-up. Wachezaji kucheza out of position na kufanya transition ya Brighton kuwa rahisi kwenye kushambulia
- Mabeki hawakuwa makini na kuwa na too many individual errors hasa golini, goli la kwanza Silva alitoa mpira kirahisi, magoli mawili ya kujifunga. Almost magoli matatu ya sadaka kwa Brighton. Cucurela sio mchezaji wa kuanza, tangu ahamie Chelsea amekuwa ni mzito sana kwenye kukaba. Alifanyika mteremko mno
- Foward wetu hawakuwa makini kama kawaida yao, nafasi za wazi zilipotezwa kizembe