Kwa kuweka walinzi watatu nyuma akiwemo chalobah na sterling kumweka kati kati, tutafungwa asbhi tu, labda afanye sub mapema kule mbele hamna mtu, pulisic na mount hawawezi kufuata mipira na kuivusha.huyu kocha mbinu zake ni za kubahatisha sanaaa.All the Best chama langu, Ila kwa Kikosi hichi kule mbele Mungu saidiaView attachment 2401195
Leandro Trossard, Moises Caicedo, Maupay, Adam Lallana na Danny Welbeck wanaenda kuzivua blauzi hizi kenge za darajani.
Leo ndio watatambua kua Harry Potter ni kocha au muigizaji wa Hollywood. View attachment 2401064
Joginho hayupo, hii gem tunashinda si chini ya goli mbili.
Ila Jorginho lately amekuwa akicheza kama Poter anavyotaka kwa kupeleka mashabulizi mbele. tuone leo Kova kama atacheza bila misuli kuwashaJoginho hayupo, hii gem tunashinda si chini ya goli mbili.
Ulinzi shirikishi wa CB 3 ndio habari ya mjini. Chalobah katika mechi 31 aliyocheza Chelsea hadi sasa Chelsea haijafungwa. Leo Chelsea isipofungwa ni game yake ya 32 akiichezea Chelsea mfululizo bila kupoteza mchezoKwa kuweka walinzi watatu nyuma akiwemo chalobah na sterling kumweka kati kati, tutafungwa asbhi tu, labda afanye sub mapema kule mbele hamna mtu, pulisic na mount hawawezi kufuata mipira na kuivusha.huyu kocha mbinu zake ni za kubahatisha sanaaa.
Game ya leo ni ngumu sana, Brighton hawajashinda game yoyot katika mech 5 zilizopitaLeo tutafungwa sana kwa press hii ya Brighton










Na badoSilaha aliyotengenezea potter Leo inatumika kumuua mwenyewe.