Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam View attachment 2401203





Naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam View attachment 2401203





Hebu tuache😂Ila Chelsea mmejua kunichekesha leo 😂 😂 😂 😂
We mbulukenge kuja kwa huku tukibandue next week tunakugonga kama ngomaTumezingua kinyama. Ngoja nizame zangu chimbo
Auntie na heshima yako yote unashangilia hawa failure!?Hebu tuache😂
Pambana timu yako isishuke daraja.,Ila Chelsea mmejua kunichekesha leo![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe sophy27 wewe ni chelsea mwenzangu leo tumeibishwa aiseeHebu tuache😂
Baby huoni nyuma yako! unaona kwa wengine tu!Ndio mfungwe ma4 sasa??
🤣🤣🤣🤣🤣 Nilijipooza kwenye Mwaliko hapa kwa jirani kulikuwa na sherehe kidogo maumivu yakapunguaTumepigwa kama dufu
Naomba kwa niaba ya wana OT niwaulize, mwili wa marehemu utaingia Darajani leo au kesho?
Tunaomba mwili uchelewe ili tuendelee kupata sehemu ya kushinda na kucheza karata.
Tunatambua wiki moja kabla baada ya marehemu kuponyoka mikononi mwa shetani mwekundu, marehemu alipiga kelele sana lakini hatuna budi kuja kuomboleza nanyi.
Ndugu mfiwa OllaChuga Oc tunafahamu hapa ni msibani, lakini ndio mtupe chai na andazi moja? Kwani sisi ndio tuliua marehemu?