Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Angeweka formation inayoendana na wachezaji waliopo. Mfano 433 ingesaidia Azpi kwenye Rb hana shida sana hivyo hivyo cucu kwenye LB hana shida kwa sababu hao full backs watalindwa na midle. Hii ya 343 inahitaji wingbacks agressive na wenye uwezo mkubwa wa kucover distance kubwa. Kwenye 433 akina sterling na pulisic wangecheza comfortably as wingers na sio kuhangaika kukaba kila saa.. Brighton waligundua hiyo weakness na kutushambulia tusipate muda wa kushambulia. Halafu kwa nini asimjaribu Denis?
Ndo maana ni mesema kwamba ni 'gambler' mpaka sasa angekua amejua formation gani ina mletea matokeo, pata ushindi kwanza ndo anze kujaribisha formation zingine, yeye anaanza na majaribio anatafuta ushindi badaye ndo ubaya wake porter
 
Upo sahihi kabisa hii formation ya 343 haifanyi kazi kwa wachezaji waliokuwepo lakini unakuta ana lazimisha matokeo yake ndo yale tuliona
 
Ndo maana ni mesema kwamba ni 'gambler' mpaka sasa angekua amejua formation gani ina mletea matokeo, pata ushindi kwanza ndo anze kujaribisha formation zingine, yeye anaanza na majaribio anatafuta ushindi badaye ndo ubaya wake porter
Potter mpaka sasa hana first 11 kila mechi yeye anafanya majaribio huku tukiendelea kupoteza point
 
Angeweka formation inayoendana na wachezaji waliopo. Mfano 433 ingesaidia Azpi kwenye Rb hana shida sana hivyo hivyo cucu kwenye LB hana shida kwa sababu hao full backs watalindwa na midle. Hii ya 343 inahitaji wingbacks agressive na wenye uwezo mkubwa wa kucover distance kubwa. Kwenye 433 akina sterling na pulisic wangecheza comfortably as wingers na sio kuhangaika kukaba kila saa.. Brighton waligundua hiyo weakness na kutushambulia tusipate muda wa kushambulia. Halafu kwa nini asimjaribu Denis?
Ni makosa ya kiufundi yanatokea na kocha yoyote anayafanya. Kwani kashafanya mabadiliko mangapi mazuri na yakamletea manufaa tena katika wakati ambao hatukutegemea. Match dhidi ya Man Utd alipomuingiza Kovacic tena kipindi cha kwanza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chalsea inaweza kufunga arsenal kwa match inao fatia, sio kwamba timu itakua imeka sawa ila akili za kocha wetu porter zime concetrate kwenye match hiyo ya arsenal tuna kuja kufungwa na middle table timu brighton kweli? nakupoteza points 3 mhimu, na makosa kwanini tumefungwa ata sie washabiki wa kawaida tuna yaona wazi.

Mimi sio kwamba na mchukia porter ni nzuri ila ana hukumiwa na historia 'English coaches are all gamblers, they don't have any thing to offer, Potter is a mid table coach na ata tuferisha tukiendelea nae kwa % kubwa sahau Champions league msimu ujao, huyu kocha technically iko poor sana ana chezesha wachezaji out of position na hapo hapo anategemea kupata matokeo.

Timu selection yake ni mbaya sana loftus cheek hana uwezo kua midfielder wa timu kama chelsea is the worse ever, tume mleta Auba kututafutia magoli sabb gani akae bechi wakata hana injury? eti lini pulisi awe winga wakutegemea sterling ana mtumia sivyo ndo maana alete matokeo.

Tukiendelea na huyu porter tuna maliza nafasi ya 10. Au chini zaidi sioni matumaini mipira yote tulio funga ni manusura keppa katusaidia au ubovu wa timu tulio kutana nazo lakini sio ubora wa timu yetu.

Hiyo ni personal opinion yangu kama shabiki huru wa blues leta yako pia.
Tuache unazi unafikiri TT angeshinda hiyo mechi? Timu iko na inconsistency na mediocre player lukuki lakini tunakaza fuvu kulazimisha positive results, mashabiki sometimes tupo vigeugeu sana mara utasikia aanze pulisic akizingua utasikia angeanza Zyech mara Azipilicueta mara wachezaji wa academy hawapewi nafasi wote ni mediocre at best wanaperform game 2 nne utumbo sasa zigo la lawama mnambebesha kocha na project bado changa kabisa. Ukiulizwa kocha gani mzuri aliyepo sokoni mzuri kuliko GP unaweza tutajia? Matatizo ya Chelsea ni ya muda mrefu na kuyatibu yatahitaji muda mrefu full stop mipango ya ujanjaujanja haipo tena EPL
 
Tuwe wakweli bila kupendelea Chalsea ya TT ilikua na injuries nyi gi, na mediocre players wengi ila ilikua ina tupa matumaini na ili leta trophies na kucheza fainali kama 5 ndani ya miaka miwili tu kitu ambacho Frank Lampand alishindwa kufanya

huyu kanunua wachezaji worthy $250m, ila timu yake haina mvuto na matumaini ya kufika fainali yoyote huyu ana turudisha kule kwa FL mipila mitano tulio shinda it was luck sasa have runout of luck,...... eti apewe mda ajenge project hata akipewa miaka mitano hawezi kutufikisha popote.

Chelsea ni Timu kubwa ina structure zake na assets sio timu mpya katika Epl eti anaijenga kuipeleka wapi asijifiche kwenye kuijenga, mbona TT Sari Conte Morinho wali shinda trophies bila huo mda anao omba, potter hana Tactics na technicalities za kushinda epl au Uefa au F.A

Ana bahatisha mifumo mpaka sasa hana first 11 ya wakika ana tupotezea mda tutafute a non English coach ambaye ni 'result oriented' sio huyu anae tujazia wachezaji wa uingereza Stirling Loftus cheek Gharagha Mount hata kama hawana form anawapa number ache uzalendo kwenye team yetu.

Ni mtizamo wangu sio(professional analytics ) leta wako tujadili.
 
Shabiki kama wewe siwezi kuwashangaa kwa sababu hata wakati TT anakuja walisema kocha kashindwa akiwa na kina Neymar nabappe ataweza kwa hawa wachezaji waliopo lakini mwisho wa siku alikuja kusifiwa. The same goes to Potter leo anapondwa hasa baada ya kupoteza game yake ya kwanza kama kocha wa Chelsea tena kwa timu aliyotoka kui coach.

Kipindi cha TT tulikua na injury za Chilwell na James ile injury ya Kante haikua ya muda mrefu hivi. Sasa hivi tuna injury za James, Kante, Koulibaly, Fofana na ndio kwanza tupo half ya kwanza sawa tusitumie injury kama sababu lakini tunapolaumu pia tusisahau mambo ambayo yanamrudisha nyuma na ndio maana hapo kabla tuliwahi kusema kwa msimu huu tusiwe na matumaini makubwa.

Usajili ulifanyika hata kabla ya ujio wa Potter lakini wewe unamlaumu yeye

Mkuu CV ya TT huwezi kuilinganisha na ya potter, ni tajie achievements zake Timu ipi ya maana alishawahi ku kochi, alisha wahi ku-handle mchezaji gani wa kimataifa?

swali sio kwamba tuna mbeza kocha hapana mashabika wa the blues wanahitaji reference zake kama alivyo fanya wapi?.......hizo tactics zake anataka ajifunzia kwenye Chelsea? Chalsea alisha zoea kuchukua trophies yoyote kila msimu, lakini kwa huyu potter sioni hata tunafika fainali za Carabao, asibadilishe utamaduni wa timu, Chalsea ni kubwa kuliko kocha yeye ndo wakufuata utamaduni wa Timu sio timu ifuate yeye matakua yake.
 
Haya unayasema ni mawazo yako, hivi unajua boss Todd alichokubaliana na kocha? Huo utamaduni boss anaujua? Anaufuata? Akiamua kuutupilia mbali na akaanzisha wa kwake na kama ndio anaoutaka kwa GP wewe una nafasi gani kubadilisha chochote?

Yes ameshawainua wachezaji kadhaa kutoka kuwa wa wa kawaida na wamekua wazuri mfano ni huyu Trossard aliyetufunga kutoka Genk mpaka kuja PL, kuna huyu Cucurella, kuna dogo ni pure Kante kabisa anaitwa Caicedo kuna Bissouma amesajiliwa Spurs hao ni wachache ambao ni wazuri na wanaweza kupata namba timu kubwa na usishangae Trossard na Caicedo wakasajiliwa Chelsea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni makosa ya kiufundi yanatokea na kocha yoyote anayafanya. Kwani kashafanya mabadiliko mangapi mazuri na yakamletea manufaa tena katika wakati ambao hatukutegemea. Match dhidi ya Man Utd alipomuingiza Kovacic tena kipindi cha kwanza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri mmoja Potter mwenyewe kaki9ri kuwa alikosea na kaonekana kama mjinga kwa sababu ya kuwachezesha Sterling na Pulisic nje ya nafasi zao. Tusubiri hiyo bounce back kwa Arsenal
 
Potter mpaka sasa hana first 11 kila mechi yeye anafanya majaribio huku tukiendelea kupoteza point
Ukifuatailia hata kwenye mitandao mashabiki napundits wanamlalamikia kwa sababu ya too much rotation. Angepunguza makali ya rotation akabaki na wale walioonekana wanafit kwenye nafasi angalau mchezaji acheze mechi tatu au nne ndipo apumzishwe
 
Ndo maana ni mesema kwamba ni 'gambler' mpaka sasa angekua amejua formation gani ina mletea matokeo, pata ushindi kwanza ndo anze kujaribisha formation zingine, yeye anaanza na majaribio anatafuta ushindi badaye ndo ubaya wake porter
Kubadilika kwa formation sio shida sana, ila formation atakayochagua iendane na wachezaji waliopo kwenye squad na formation isiwe kuwachezesha wachezaji kwenye nafasi wasizomudu
 
Tulikubaliana kwa msimu huu tusiwe na mategemeo makubwa kwa sababu bado timu haijakaa sawa, majeraha na kadhalika. Mimi siwezi kumlaumu GP hata kidogo kwa sababu yeye ndio anakaa na wachezaji Cobham anajua ubora na udhaifu wao pia swala la kuwachezesha out of position nadhan hiyo ni tactical reason ukizingatia na hali ya injuries zilizopo lakini haiku work out.

Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini sio kuzalilishwa, tulikubaliana tusiwe na ndoto za makombe lakini tufe kiume, EPL tumalize top 4 na UCL tufike angalau robo
 
Uzuri mmoja Potter mwenyewe kaki9ri kuwa alikosea na kaonekana kama mjinga kwa sababu ya kuwachezesha Sterling na Pulisic nje ya nafasi zao. Tusubiri hiyo bounce back kwa Arsenal
Arsenal anaenda kupoteza game ya kwanza ya PL. Najua comeback yake lazima iwe na kishindo na ndio icho cha Arsenal na Man City anashika usukani rasmi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini sio kuzalilishwa, tulikubaliana tusiwe na ndoto za makombe lakini tufe kiume, EPL tumalize top 4 na UCL tufike angalau robo
Mkuu haya yanatokea tu. Leeda alituweka 3, huyu BHA kaweka 4 hapo hatujacheza na Man City na bado hatufungi magoli tuangalie tusije maliza ligi na goal difference (-)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu CV ya TT huwezi kuilinganisha na ya potter, ni tajie achievements zake Timu ipi ya maana alishawahi ku kochi, alisha wahi ku-handle mchezaji gani wa kimataifa?

swali sio kwamba tuna mbeza kocha hapana mashabika wa the blues wanahitaji reference zake kama alivyo fanya wapi?.......hizo tactics zake anataka ajifunzia kwenye Chelsea? Chalsea alisha zoea kuchukua trophies yoyote kila msimu, lakini kwa huyu potter sioni hata tunafika fainali za Carabao, asibadilishe utamaduni wa timu, Chalsea ni kubwa kuliko kocha yeye ndo wakufuata utamaduni wa Timu sio timu ifuate yeye matakua yake.
Huwezi kumlinbganisha graduate wa chuo kikuu na wa form six au mfanyakazi mwenye experrience ya miaka 10 na wa miaka miwili

Pamoja na hayo kuna wakati kazi inahitaji damu fresh kuliko ile zoefu

TT kwa uzoefu wake ule umemfanya kuwa rigid kwa mabadiliko na pale ndipo makocha wasio na uzoefu kama Potter wanaingia

Pili TT kapata uzoefu na CV kwa njia ile ile anayopitia Potter
TT kapata uzoefu wake kwenye timu ambazo zilikwisha establish kama PSG na Chelsea tu

Potter kafanya kazi kubwa Brighton na sasa atapata CV hapa Chelsea
Akiipeleka Chelsea vizuri akitoka hapa lazima ataedna kwenye timu kubwa ili aendelee kuboresha CV yake

Mimi ko0cha nitamkubali tu kama atakuwa na hekima na uwezo wa kuhandle Chracters mbalimbali za wachezaji bila kusababisha mgomo baridi
 
Wewe man u alikufanya nini mkuu bora mwenzio alipata hata draw.
Wewe ulishinda Ila unajua mpira niliokutandazia ,Shukran kwa Counter attack, shukuru pia kukosekana Partey na Elneny ,maana 3rd option Lokonga Ndiye alikamata Dimba ,

From the 15th minute to the end of the half these were the key stats.

6 – Shots for Arsenal, 3 for United

0.4 – Expected goals for Arsenal, 0.25 for United

203 – Passes attempted by Arsenal, 86 for United

65 – Final third passes for Arsenal, 9 for United

11 – Passes completed into the box for Arsenal, 1 for United.

The start of the second half was more of the same. Here were the stats up to Saka’s equalizer from the start of the second half.

3 – Shot for Arsenal, 0 for United

0.6 – Expected goals for Arsenal, 0 for United

120 – Passes attempted by Arsenal, 36 for United

37 – Final third passes for Arsenal, 0 for United

3 – Passes completed into the box for Arsenal, 0 for United.

Arsenal continued to apply pressure, eventually getting a deserved goal. At this point Arsenal could have switched things up, going more conservative looking to escape for a point but Arteta I think rightly saw that Arsenal had over the course of the match been the better team and thought that all three points were there for the team.

TUNAKUKARIBISHA EMIRATES ROUND YA 2 , LIKE LAST SEASON
 
Shabiki kama wewe siwezi kuwashangaa kwa sababu hata wakati TT anakuja walisema kocha kashindwa akiwa na kina Neymar nabappe ataweza kwa hawa wachezaji waliopo lakini mwisho wa siku alikuja kusifiwa. The same goes to Potter leo anapondwa hasa baada ya kupoteza game yake ya kwanza kama kocha wa Chelsea tena kwa timu aliyotoka kui coach.

Kipindi cha TT tulikua na injury za Chilwell na James ile injury ya Kante haikua ya muda mrefu hivi. Sasa hivi tuna injury za James, Kante, Koulibaly, Fofana na ndio kwanza tupo half ya kwanza sawa tusitumie injury kama sababu lakini tunapolaumu pia tusisahau mambo ambayo yanamrudisha nyuma na ndio maana hapo kabla tuliwahi kusema kwa msimu huu tusiwe na matumaini makubwa.

Usajili ulifanyika hata kabla ya ujio wa Potter lakini wewe unamlaumu yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa nimemuuliza kocha gani mzuri tungemchukua zaidi ya Potter hana majibu. Yaani anataka kumsingizia kila kitu kibaya ni kocha. Flop awanunue TT asingiziwe GP. Kocha anamadhaifu yake lakini kitu kizuri ni kwamba anayaona na kujifunza makosa yake, ubora wa wachezaji na ari ni tatizo linalochangia zaidi ya 60% ya tatizo la timu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom