lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,691
- 25,901
Kesi ya Kante kutopata majeruhi kule kwenye Saudi Pro League inaonyesha kuwa makocha waliokuwa wanaifundisha Chelsea wakati wa Kante ndio waliokuwa wanasababisha majeruhi kwa sehemu kubwa. Ndiyo!Hivi kwa nn Ngolo Kante aliuzwa? Dah. Namuona hapa france anakichafua kama ndio kwanza ana miaka 22
Tuliaminishwa injury Chelsea haziepukiki, kumbe hawa makocha ndio wanasababisha hayo majeruhi
Pochettino watu walikuwa wanamtetea kuwa hasababishi majeruhi. Mimi nasema makocha wanayo sehemu kubwa sana kwenye kusababisha majeruhi. Na watu wasiseme mbona huko nyuma kulikuwa hivyo hivyo. Nasema hata nao walikuwa ndio sababu ya majeruhi. Mbona Kipara hana majeruhi ya kijinga jinga hivyo
Natamani Enzo Maresca asiwe ndie chanzo cha majeruhi ili wachezaji kama Nkunku, Fofana, Chilwell tuweze kuwafaidi