computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Next Sunday hatutawaacha salama mamamamae chupi mkononi next Sunday then Newcastle anaenda kuwamaliza next gameTumezingua kinyama. Ngoja nizame zangu chimbo
Next Sunday hatutawaacha salama mamamamae chupi mkononi next Sunday then Newcastle anaenda kuwamaliza next gameTumezingua kinyama. Ngoja nizame zangu chimbo
Juve wanachunguzwa kwa UTAPELI wa transfer walizofanya dirisha hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chalii yangu Nilikwambia hili timu la mchongo [emoji23][emoji23][emoji23]Tumezingua kinyama. Ngoja nizame zangu chimbo
Jana tu ulisema mnampiga Brighton na mnaingia top fourJamani hii ndio Chelsea tuliyonayo na uchezaji wake ndio huu
Tumeumizwa leo kupitia kwenye wings, Potter kaweka mawinga wawe mabeki unategemea wachezeje?
Kuna wachezaji kama Sterling ukimchezesha out of position usitegemee kitu
What next, Arsenal and Newcastle. Kwa timu hii mlenda tusitegemee makubwa
Top 4 naona imeshajiset to default. Sisi tusipoangalia hata top 6 tunaweza kosa
Bado tuko nanini hii zaidi yenuChelshit sasa kama kawaida yenu
Kocha kazingua,Jana tu ulisema mnampiga Brighton na mnaingia top four
Mnamuonea bureKocha kazingua,
Ndio mfungwe ma4 sasa??Bado tuko nanini hii zaidi yenu
Potter anaweza kuwa amekosea leo ila ni mtu ambae ni rahisi kuonq mapungufu yatim wakat game inaendeleaKocha kazingua,