Hilo lina wezekana ila tatizo la Chelsea hatuna holding middle fielder ambaye anaweza kushikilia mpira hata kwa dakika mbili tu, ukimuachia johginho ataupoteza tu Kante yeye ni moving middle fielder hawezi kukaa nao bila dribbling, Loftus cheek ni weak sana hata akipoteza mpira kurudi nyuma hawezi Mount na Kei wanaweza tiktaka passes ila sio ku hold, kwa hiyo kua safe bora kuupiga mbele Auba au sterling wapate dead balls kwa faul au wafanye attempts on goal kwahivo middle field ya City italazimika irudi nyuma kufuata mpira tena, viungo wa Chelsea watapata breathing space wajipange tena.