Hawafai kwa leoHakuna namna kwa kipindi hichi katika wiki 4 hizi kuna game 9 so rotation ni muhimu,
Hatuwez chezq nq same player kila wiki
WC inakaribia kila anayepewa nafasi lazima akaze puru kumshawishi kocha wake. Nimependa sana leo Kepa anavyochezaKwa uchezaji huu wa Kepa, Mendy atasubiri sana
Kama ilivyokuwa kwa Rudiger baada ya ujio wa TuchelNaona Kepa anafurahia maisha chini ya GP
Je bado anazingua?Potter kazingua na hichi kikosi alichoanza nacho hasa mabeki
Mkuu ianwezekana kwa sehemu, lakini pia benchi limemfundisha kitu KepaWC inakaribia kila anayepewa nafasi lazima akaze puru kumshawishi kocha wake. Nimependa sana leo Kepa anavyocheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes alikuwa na matatizo ya misuli sio goti. Haikuwa serious japo aliingizwa kwenye orodha ya majeruhi
Atakayetuletea shida hapo ni Manure tuOCTOBER FIXTURES
1. Palace vs Chelsea (1-2)
2. Chelsea vs Milan (3-0)
3. Chelsea vs Wolves (3-0)
4. Milan vs Chelsea (0-2)
5. Aston villa vs Chelsea (0-2)
6. Brentford vs Chelsea
7. Chelsea vs Man Utd
8. RB Salzburg vs Chelsea
9. Brighton vs Chelsea
Auba atakuaje kwenye form ikiwa hakuna service aliyopata striker anaishi kwa huduma ukiwa haumpi huduma atakuwaje Bora ili awe ilitakiwa wachezaji waliomzunguka wamtengenezee chances za kufungaJe bado anazingua?
Wachezaji leo hawakuwa kwenye form kocha amejitahidi sana na ndio tofauti ya GP na TT,
Cucurella, Havertz, Kovacic, Auba hawakuwa kwenye form leo na HT kaanza na hao wawili Cucu na Havertz
Asingewahi kufanya mabadiliko sio ajabu leo tungelala 2-1 au 3-1