Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi hao
20221019_203109.jpg
 
Omari Giraud Hutchinson amesajiliwa dirisha lililopita akitokea Arsenal, dogo yuko poa sana. Kule Arsenal alikosa muda wa kucheza timu ya wakubwa akaamua kutimukia Chelsea, msimu ujao atapandishwa timu ya wakubwa.
Kule Acadeny kuna dogo anaitwa Omari Hutchnson, dogo yuko vizuri sana, huyu ni hazina ya tim.
 
Anacheza namba ngapi
Anacheza kiungo mshambuliaji
Omari Hutchnson
Chukwuemeka
Casdei
Hao wote ni moto wa kuotea mbali na wanacheza attacking mield fielders
Akiongezwa na yule Arsen Zakharyan wa Dinamo basi Chelsea itakuwa hatari kwenye kiungo
 
Xi vs Brentford
Kepa
Azp Chalobah Kulibaly Cucu
Galagher jorg Cheek
Havertz mount
Broja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom