Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ngolo Knate kaumia tena mazoezini hata bila kuja kucheza
Huyu auzwe tu, Chelsea sio wodi ya majeruhi

Mkuu mbona nilikuwa nakuona wa maana kwenye ushabiki wa chelsea kumbe na wewe una roho mbaya ivi?

Kuna mchezaji anaependa kuumia kila mara. Pamoja na hayo Ngolo Kante amefanya mangapi Chelsea?
 
Hatima ya Kante na James itajulikana wikiendi hii. Maamuzi ya kwamba atakaa nje muda gani bado kutolewa ila tu injuries walizopata ni mbaya sana hawatarudi hivi karibuni. Mungu epusha Chelsea na majeruhi zaidi
Dah utasikia na Kovacic naye kaumia ! Halafu sasa hizi ndio huwa engines za timu ya Chelsea Kwa misimu hii miwili mitatu sasa , na ukiangalia hata msimu uliopita tulipoteana baada ya kustruggle na injuries za hawa watu Kante ,Kovacic ,James na Chillwell
 
Upande kushoto tumecover vizuri kwa Chilwell n Cucurella

Sasa huku kulia bila James nani ataziba
Neither Azp Nor Loftus Cheek sio wakuwategemea kila mecho

If kuna uwezo tutafute dogo mzuri huko academy anaeweza kucover,
Hivi wakuu , Yule jamaa cucurella hawezi chezeshwa kama LWB ule upande WA James ? Au yeye ni RWB Tu
 
Naye ni nyundo mkononi ,Ila nahisi benchi la afya pale Chelsea kuna shida mahala , ina Maana wameshindwa kudeal na frequently and prolonged injuries za hawa watu Kante ,James ,kovacic
Basi epl nzima madokta wabovu

Kila Timu epl nyingi Zina injuries Zile sugu

City Kuna Walker,stones hao piga ua Ni injury prone

Man u Kuna Martial , alikuwepo Erick Baily ,

Arsenal Kuna PARTEY

Liverpool Kuna matip,Thiago,keita,ox

Je wote hao madokta wanashida?

Kuna vitu haviepukiki
 
Basi epl nzima madokta wabovu

Kila Timu epl nyingi Zina injuries Zile sugu

City Kuna Walker,stones hao piga ua Ni injury prone

Man u Kuna Martial , alikuwepo Erick Baily ,

Arsenal Kuna PARTEY

Liverpool Kuna matip,Thiago,keita,ox

Je wote hao madokta wanashida?

Kuna vitu haviepukiki
Anadhani ulaya ni kama africa
 
IMG_5537.jpg


Eight weeks = Miezi miwili
 
Sisi Aston Villa tunawazidi makombe ya ligi nyie cheltako chelwowowo sasa Leo tutawapiga kama ngoma mkipata hata goli la offside mniite mbwa nimekaa pale
 
Leo tunacheza hivi na Aston Villa

3421
-------------------Auba------------------------

Sterling ------------------------------------Pulisic

Chilwell ------Kovacic -----Jorginho ----- Azpilicueta

-----Koulibally ---------Silva--------Chalobah -----

-------------------- Mendy -----------------------

Expected results - Chelsea win 4-1
 
Leo tunacheza hivi na Aston Villa

3421
-------------------Auba------------------------

Sterling ------------------------------------Pulisic

Chilwell ------Kovacic -----Jorginho ----- Azpilicueta

-----Koulibally ---------Silva--------Chalobah -----

-------------------- Mendy -----------------------

Expected results - Chelsea win 4-1
Litakua ni kosa la karne Pulisic kuanza halafu Mount aanzie bench

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom