lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Mount nadhani ana shida ya maumivu ya goti, anaweza asianzeLitakua ni kosa la karne Pulisic kuanza halafu Mount aanzie bench
Sent using Jamii Forums mobile app
Mount nadhani ana shida ya maumivu ya goti, anaweza asianzeLitakua ni kosa la karne Pulisic kuanza halafu Mount aanzie bench
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukurupuka wewe inaonekana unaishi kijijini. Mechi inaonyeshwa Football chanell 225 saa 10 jioni ambayo hata package ya chini kabisa inaonyesha.Leo ndio mtashika adabu nyie Kuku, kama hauna Dstv premium, mechi yenu utaiangalizia FotMob.
Naona Potter anajali sana kushambulia, replacement wa muda wa James ni Mount, ebu tusubiri na tuone
Kama ni hivyo tuone nini kocha kaona kwa mount kucheza hiyo position lakini pia inaweza isiwe hivyoNaona Potter anajali sana kushambulia, replacement wa muda wa James ni Mount, ebu tusubiri na tuone
CB wako 3 kwa hiyo lazima aidha ni 343 au 352, mechi ikianza tutajuaKama ni hivyo tuone nini kocha kaona kwa mount kucheza hiyo position lakini pia inaweza isiwe hivyo
Mechi ipo 225Leo ndio mtashika adabu nyie Kuku, kama hauna Dstv premium, mechi yenu utaiangalizia FotMob.
Wakuu naomba link nami niburudike kuangalia Chelsea vs Aston VillaTumeshinda ila kinachoendelea hata sikielewi.
Anayecheza nafasi ya James ni Cheek, Mount anacheza kiungo mshambuliajiKama ni hivyo tuone nini kocha kaona kwa mount kucheza hiyo position lakini pia inaweza isiwe hivyo
Pale pa Cucu awekwe tu KoulibalyPotter kazingua na hichi kikosi alichoanza nacho hasa mabeki
We acha tu mda mwengine naona Potter anajilipua halafu inakuwa hatari kwetuPale pa Cucu awekwe tu Koulibaly
Cucurela hapo tulipigwa, yeye abaki kuwa backup tu ya Chilwell
Kocha katusikiaWe acha tu mda mwengine naona Potter anajilipua halafu inakuwa hatari kwetu
Hakuna namna kwa kipindi hichi katika wiki 4 hizi kuna game 9 so rotation ni muhimu,Pale pa Cucu awekwe tu Koulibaly
Cucurela hapo tulipigwa, yeye abaki kuwa backup tu ya Chilwell