Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

High Pressing inatakiwa ifanywe na kila mchezaji, Lengo la high pressing ni kumnyima adui asicheza na akilazimisha nafanya makosa mengi ikiwemo kuachia nafasi, kucheza faulu mbaya, kupoteza mipira nakadhilika, Inawezekana, wachezaji wapewe maelekezo tu. Kinachowasaidia Arsenal hadi sasa ni high pressing, Liverpool walifanyiwa hivyo wakatolewa njke ya lengo na hata Arsenal wakikutana na City watawachezea hivyo hivyo
Timu zinazokaa sana na mpira ukifanikiwa kufanya high presisng haina plan B ya kucheza unamaliza kazi. Madhara ya high press inaweza kusababisha foul, kadi na hata red card
High pressing sio kuitaja tu lazima iandane na skills quality na kasi za wa chezaji Chelsea vs Mancity, one on one hatuna wachezaji wa high pressing kufanya Mancity ifanye makosa tuwe realistic Loftus cheek afanye high pressing kwa KDB au kwa Forden au Gurdgourn, tuwe seriou kdgo hata kama sie ni wa shabiki wa the blues,

Tuna baadhi ya wachezaji ambao hawawezi kupiga pass 3 sahihi bila kupoteza mpira.
mipira itakao tunusuru given our our squad ni ya counter attacks kwa mipira mrefu kutoka katika ya uwanja sterling na Auba wana kasi ya kugombania hiyo mipira, hatuwezi kucheza kama Liverpool wachezaji wa hiyo quality hatuna bado ndo tuna wategeneza
 
High pressing sio kuitaja tu lazima iandane na skills quality na kasi za wa chezaji Chelsea vs Mancity, one on one hatuna wachezaji wa high pressing kufanya Mancity ifanye makosa tuwe realistic Loftus cheek afanye high pressing kwa KDB au kwa Forden au Gurdgourn, tuwe seriou kdgo hata kama sie ni wa shabiki wa the blues,

Tuna baadhi ya wachezaji ambao hawawezi kupiga pass 3 sahihi bila kupoteza mpira.
mipira itakao tunusuru given our our squad ni ya counter attacks kwa mipira mrefu kutoka katika ya uwanja sterling na Auba wana kasi ya kugombania hiyo mipira, hatuwezi kucheza kama Liverpool wachezaji wa hiyo quality hatuna bado ndo tuna wategeneza
Kama umefuatilia Liverpool vs Man City, KDB alifanyiwa marking na high press na Jota ili asipeleke mipira kwa Haaland. Naye Haaland alifanyiwa marking na high pressing na Gomez hakuweza kucheza kabisa. What happen, bullshit, city walishindwa kumuona Haaland. Haaland akawa very isolated

Chelsea tuna wachezaji wazuri wa kufanya high pressinbg. Cheek ni bora mara dufu kwa jota kwa high pressing. Jota tunayemjua ni mlenda lakini alifanikiwa kufanyia high presisng KDB, kwa nini kwetu isiwezekane

TT game plan yake kubwa ilikuwa ni kufanya zone marking na ndio wewe unataka kusuggest tuendelee kufungwa kama TT alivyofanywa game zote mbili za msimu uliopita

Chelsea walipocheza na Liverpool hata tukiwa 10 men walifanya high pressing kwa Liver na hawakuweza kutuzidi lolote

Chonde chonde football haina kocha au mchezaji mwenye hati miliki ya kucheza uwanjani. kinachotakiwa ni maelekezo na positive mentality
 
Player rating against Aston Villa
  1. Kepa Arrizabalaga - 9 - MOTM
  2. Trevoh Chalobah - 7
  3. Thiago Silva - 7
  4. Marc Cucurella - 4
  5. Raheem Sterling - 5
  6. Ruben Loftus-Cheek - 7
  7. Mateo Kovacic - 6
  8. Ben Chilwell - 6
  9. Mason Mount - 8
  10. Pierre-Emerick Aubameyang - 5
  11. Kai Havertz - 5
  12. Cesar Azpilicueta - 6
  13. Kalidou Koulibaly - 7
  14. Jorginho - 7
  15. Conor Gallagher - 7
 
Yule Kepa wa Sarri, sio huyu aliyezaliwa kwa moto

Hata mendi alikuwa ivo ivo. Mendi alikuwa na pungufu moja kutoka kolini kumkabili kabla ya kuleta madhara jambo ambalo kwa kepa anajitaidi. Pia kepa ana matatizo mawili moja kijipanga golini pili mpira ikipigwa kwenye angle hawezi kufata hususani ikipigwa nje ya kumi na nane. Utamuona amesimama kama bilingoti
 
Player rating against Aston Villa
  1. Kepa Arrizabalaga - 9 - MOTM
  2. Trevoh Chalobah - 7
  3. Thiago Silva - 7
  4. Marc Cucurella - 4
  5. Raheem Sterling - 5
  6. Ruben Loftus-Cheek - 7
  7. Mateo Kovacic - 6
  8. Ben Chilwell - 6
  9. Mason Mount - 8
  10. Pierre-Emerick Aubameyang - 5
  11. Kai Havertz - 5
  12. Cesar Azpilicueta - 6
  13. Kalidou Koulibaly - 7
  14. Jorginho - 7
  15. Conor Gallagher - 7
Nafarijika Sana kuona Cobham graduates wanaimprove viwango vyao hasa Mount ,Cheek na Chalobah huyu Ghalagher anachechemea
 
Chelsea tuna uwezo wa kumfunga Mancity Potter akiwa strategical angalau tupate draw.

nguvu za mancity ziko kwenye middle field Halaad sio chochote au lolote ukimbana KDB na Forden huyu halaad kafunga 'tap in goals' 11 zote kutoka kwa pass safi za KDB hapo KDB ndo mchawi lazima atafutiwe dawa.

Kocha azigatie wachezaji wakongwe wenye uzoefu katika defence asiangalie umri au current form
Thiago sliva Azippe(chillewel) Kouribara na James(cucu) wawe safu ya ulinzi wakae nyuma bila kupanda kipindi cha kwanza, Kante jihginio kovicic mount(Kei) Wawe middle field kuvuruga mipango ya KDB Forden. Na wapige mipira mrefu long passes kwa double strikers.

Auba na sterling wabaki kama strkers kwa kupokea mipira mirefu tu.
hapo Mancity tutaipiga vizuri bila shida akijichanganya na gambling zake mara ameweka gharagha mara Loftus cheek, zienchy Boroja tuna pokea kipingo kama cha Man-u
Ume comment kama una kifaa cha kulipulia mabomu wanachotumia UKRAINE. Sasa tafuta chombo cha mawasiliano halafu uje uandike upya ukiwa na akili timamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie cheltako waulizeni nyumbu sisi Brentford ni wakina Nani tutawachakaza mpka mumkimbize Kocha timua timua fc
TONEY HAT TRICK
 
Kule Acadeny kuna dogo anaitwa Omari Hutchnson, dogo yuko vizuri sana, huyu ni hazina ya tim.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom