The blues tunapitia kipindi kigumu hiki kwasbb hi team ndo inasukwa upya ili iwe tishio mbeleni, wakati huo sie mashabiki wa Chelsea tume zoea kubeba vikombe au trophies kila msimu angalao kimoja au viwili sisi hatuna stress kama mashabiki wa arsenal au Man u hiyo ndo hobby yetu.
Sasa tuko tayari kuvumilia hilo ila wasi wasi yangu ni Ghram Potter huyu kocha muingereza ana falisafa gani ambayo atakao fundisha the blues!!!!
Makocha wengi wa uingereza hawana mbinu za kisasa za soka ndo maana hamna kocha mngereza ambaye kasha wahi kuchukua Epl, simaanishe kwamba Potter ni kocha mbaya hapana, lakini ni kweli ni upgrade ya TT? au tutarudu kule kule mpaka afukuzwe ndo tuanze upya tena.
Soka la sasa limebadilika lakini uingereza hawajabadilika ukocha wao ndo maana wengi wana struggle kwenye league yao wenyewe, makocha wageni wanafanikiwa wao hata nafasi ya nne hawapati, hata timu ya taifa alisha wahi kutafuta makocha wageni kufundisha timu yao baada ya kugundua hilo.
Je kocha potter atakua na jipya?