Cheek mtoe hapo mbona kacheza vizuri tu alivyoingia kuliko hata kai aliyeanzaCheek
Ziyech
Pulisic
Jorginho
Harvetz
Azipculeta
New coach, same story
Cheek mtoe hapo mbona kacheza vizuri tu alivyoingia kuliko hata kai aliyeanzaCheek
Ziyech
Pulisic
Jorginho
Harvetz
Azipculeta
New coach, same story
Cheek mtoe hapo mbona kacheza vizuri tu alivyoingia kuliko hata kai aliyeaCheek
Ziyech
Pulisic
Jorginho
Harvetz
Azipculeta
New coach, same story
Ndio alicheza wing back ya uongoMbona kama jana Sterling alicheza kama wingback fulani hivi au? [emoji851]
Mtoe hapo fofana ni wa kawaidaWachezaji wa Quality kubwa ndio wanakosekana kikosini.
-------------------------- Auba ----------------------
Hazard -------------Fabrigas -------- Willan
----------------- Kante -------- Matic -------------
Chil --- Koulibaly ---- Fofana ---- James
Rudger alikuwa ana roho mbaya hacheki na kima kwenye 18, Debryune ana salam zake alichokutana nacho kwenye fainali za UEFA 2021 [emoji16]Rudger pale angeclear ile mistake ya Thiago.
Cheek muondoe kwenye hiyo list, hata akija kiungo mzuri Cheek kwa uchezaji wake anafaa kwa rotation au backup ila hao akina Pulisic, Ziyech, Jorginho HAPANA, Havertz Premium league maji mazito ila bado nina imani atainuka hivi karibuniCheek
Ziyech
Pulisic
Jorginho
Harvetz
Azipculeta
New coach, same story
Sio kuudaka, alitakiwa tu kuugusa utoke nje, Kepa ni mzito kwenye kutabiriWatakuelewa baadaye kuhusu kuboronga kwa Kepa. Ule mpira haukuwa na nguvu/kasi yoyote Kepa kushindwa kuudaka. Alikosa umakini tu.
Yule mwamba tutamkumbuka Sana , alikuwa mkatili Sana kule kwenye backline na ndio Maana hata Thiago alikuwa hazidisi Sana na majukumu kama sasa ,Rudger alikuwa ana roho mbaya hacheki na kima kwenye 18, Debryune ana salam zake alichokutana nacho kwenye fainali za UEFA 2021 [emoji16]
Hii timu tumepigwa. Huu msimu tutaboronga.Acheni kuwa wapumbavu basi, yani mechi 1 majibu yote mnayo ninyi.
Hivi mnatakaje maendeleo ya haraka haraka kwa wiki 1 tu ambapo
Kocha mpya
Wachezaji wapya
Mifumo mipya
Mbinu mpya
Formation mpya
Attitude mpya
Malengo mapya
Mkataba mpya [emoji848]
Kweli Mashabiki maandazi wapo kila mahali [emoji1]
Kama Trossard alivyokuwa anacheza BrightonMbona kama jana Sterling alicheza kama wingback fulani hivi au? [emoji851]
Kichwa Cha mwendawazimu[emoji23][emoji23]Chelsea majanga, sitaamini kuwa zile mbio zote msimu uliopita za kushiriki uefa pale top four then muishie makundi na kwenda Europa, hapo ndo ntaamini hii team ni kichwa cha mwendawazimu
Now wana discuss ishu za makocha wapya,Kichwa Cha mwendawazimu[emoji23][emoji23]
Akina OllaChuga Oc hao
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Inakuhusu nini, tunajenga timu yetu na hili liko wazi ila kiherehere chako kuja kutuchokoza tuChelsea majanga, sitaamini kuwa zile mbio zote msimu uliopita za kushiriki uefa pale top four then muishie makundi na kwenda Europa, hapo ndo ntaamini hii team ni kichwa cha mwendawazimu
Achana na timu yetu wewe. Sisi ndio ChelseaKichwa Cha mwendawazimu[emoji23][emoji23]
Akina OllaChuga Oc hao
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tusubiri tuoneThe blues tunapitia kipindi kigumu hiki kwasbb hi team ndo inasukwa upya ili iwe tishio mbeleni, wakati huo sie mashabiki wa Chelsea tume zoea kubeba vikombe au trophies kila msimu angalao kimoja au viwili sisi hatuna stress kama mashabiki wa arsenal au Man u hiyo ndo hobby yetu.
Sasa tuko tayari kuvumilia hilo ila wasi wasi yangu ni Ghram Potter huyu kocha muingereza ana falisafa gani ambayo atakao fundisha the blues!!!!
Makocha wengi wa uingereza hawana mbinu za kisasa za soka ndo maana hamna kocha mngereza ambaye kasha wahi kuchukua Epl, simaanishe kwamba Potter ni kocha mbaya hapana, lakini ni kweli ni upgrade ya TT? au tutarudu kule kule mpaka afukuzwe ndo tuanze upya tena.
Soka la sasa limebadilika lakini uingereza hawajabadilika ukocha wao ndo maana wengi wana struggle kwenye league yao wenyewe, makocha wageni wanafanikiwa wao hata nafasi ya nne hawapati, hata timu ya taifa alisha wahi kutafuta makocha wageni kufundisha timu yao baada ya kugundua hilo.
Je kocha potter atakua na jipya?
😂😂😂😂Achana na timu yetu wewe. Sisi ndio Chelsea