Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Lukaku ni Taka takaInter wanatoa £7million. kumnunua Lukaku
Bora wapewe bure
Lukaku ni Taka takaInter wanatoa £7million. kumnunua Lukaku
Bora wapewe bure
Msimamo wangu uko clear kwamba, mkataba aliopewa Potter ni ishara ya mwanzo mzuri wa ujenzi wa timu shindani itakayodumu kwa muda mrefu ndio maana akasinya miaka mitano. Tunaamini ataendeleza vijana wa academy ili atleast ipunguze manunuzi ya wachezaji wengi wakubwa ndani ya wakati mmoja hii haimaanishi hatutokua tunasajili ila inamaanisha badala ya kununua kina Fofana kwa paundi million 50+ tunaweza kutengeza wakina Levi Colwill bora mno ambaye hawatifautiani sana kiuwezo uwanjani.Mzee hapa hatubishani tuna badilishana mawazo kwa mtizamo yetu, ni vizri tuendelee ku kosoa na kupongeza kama mashabiki uhuru wa the blues wala usihofu we leta hoja zako kutetea msimamo wako.
Mimi nilishajitoa kwenye makombe angalau ndani ya misimu miwili hadi mitatu. Potter ni kocha mzuri, mabadiliko tu yafanywe hadi kwa wachezajiMsimamo wangu uko clear kwamba, mkataba aliopewa Potter ni ishara ya mwanzo mzuri wa ujenzi wa timu shindani itakayodumu kwa muda mrefu ndio maana akasinya miaka mitano. Tunaamini ataendeleza vijana wa academy ili atleast ipunguze manunuzi ya wachezaji wengi wakubwa ndani ya wakati mmoja hii haimaanishi hatutokua tunasajili ila inamaanisha badala ya kununua kina Fofana kwa paundi million 50+ tunaweza kutengeza wakina Levi Colwill bora mno ambaye hawatifautiani sana kiuwezo uwanjani.
Prediction yangu ni kwamba Potter given the intensity ya epl na high demand ya wa shabiki wa Chelsea potter hawezi ku survive dalajani miaka mawili,Mimi nilishajitoa kwenye makombe angalau ndani ya misimu miwili hadi mitatu. Potter ni kocha mzuri, mabadiliko tu yafanywe hadi kwa wachezaji
Hawa wachezaji waondolewe na wapate replacement wanaoendana na Chelsea mpya
- Jorginho
- Azpilicueta
- Pulisic
- Ziyech
Mkuu tuko pamoja kimitizamo. Tuache kuwaz makombe kwa misimu miwili tumuache Potter ajenge timuMimi nilishajitoa kwenye makombe angalau ndani ya misimu miwili hadi mitatu. Potter ni kocha mzuri, mabadiliko tu yafanywe hadi kwa wachezaji
Hawa wachezaji waondolewe na wapate replacement wanaoendana na Chelsea mpya
- Jorginho
- Azpilicueta
- Pulisic
- Ziyech
Halaand again mwaka huu mtakimbia ligiMkuu tuko pamoja kimitizamo. Tuache kuwaz makombe kwa misimu miwili tumuache Potter ajenge timu
Wewe ukiungana na hao mashabiki wa design hiyo mkabadilusha mitizamo yenu mtasaidia Potter asifukuzwe abaki ajenge timu shindaniPrediction yangu ni kwamba Potter given the intensity ya epl na high demand ya wa shabiki wa Chelsea potter hawezi ku survive dalajani miaka mawili,
2.potter hawezi kushida hata kombe la Carbao kwasbb hana jipya kwenye epl anategemea kubebwa na vipaji vya wachezeji ambao na wenyewe hawatabiliki wana hitaji kocha mwenye Cv nzuri.
Haya na yasema kabla ya kuanza mipira hata mawili take my words uta witness hili Boehl ndo atakua wa kwanza kumgeuka kwa sabb ya pressure ya washabiki
Haaland anaweza akafunga hata magoli 60 na bado City asichukue ubingwa
Kwani TT unayemdhani ya kocha mkubwa amefundisha timu ngapi kubwa akiwa na mafanikio?Prediction yangu ni kwamba Potter given the intensity ya epl na high demand ya wa shabiki wa Chelsea potter hawezi ku survive dalajani miaka mawili,
2.potter hawezi kushida hata kombe la Carbao kwasbb hana jipya kwenye epl anategemea kubebwa na vipaji vya wachezeji ambao na wenyewe hawatabiliki wana hitaji kocha mwenye Cv nzuri.
Haya na yasema kabla ya kuanza mipira hata mawili take my words uta witness hili Boehl ndo atakua wa kwanza kumgeuka kwa sabb ya pressure ya mashabiki
Hapo mkuu umemalizia vizri akishindwa atafikunzwa mapema tu,.......kwangu Potter ni kocha mzuri ila majukumu na mategemeo alio nao ni mengi na makubwa kwa uwezo wakeKwani TT unayemdhania kocha mkubwa amefundisha timu ngapi kubwa akiwa na mafanikio?
Kwani KLOPP unayemdhania kocha mkubwa amefundisha timu ngapi kubwa akiwa na mafanikio?
- PSG timu inayocheza kwenye one horse league akashinda kombe la ligi 2 tu
- Chelsea ndipo alipoanzia kupata changamoto kwa kushinda UCL 1
PEP tu ndie kocha mzoefu wa timu kubwa akiwa na mafanikio makubwa
- BVB kabeba Bundesliga 2
- Liverpool tu na baada ya misimu mitatu ndipo akaanza kupata mafanikio ya kubabea UCL 1 na EPL 1
Kwa maoni yangu Potter anaweza akapata mafanikio zaidi ya Tuchel kwa sababu yeye amekuja kipindi ambacho wamiliki wanaonekana kuja na staili ya kuimarisha timu kwa kufuta shared vision na wako tayari kumpa support kocha. Akina Abramovich waliwatenga sana makocha na makocha pia walifanyia kazi mazingira magumu ya hofu. Amekuja Chelsea atapewa wachezaji wazuri, mkataba mzuri, mshahara mzuri, academy nzuri. Ashindwe mwenyewe na akishindwa kuonyesha kuwa anaelekea kwenye vision tutamfukuza
- Barcelona Laliga 3, UCL 2
- Bayern munich, Budesliga 3, UCL 0
- Man City EPL 4, UCL 0
Kwani Mkuu Sarri au Di matteo walichukua kombe gani kabla hawajaja chelsea?Mkuu akiwa Brighton alichukua kombe gani? Ili alichukue pia akiwa Chelsea
Ndo maana wa lifukuzwa mapema mkuu, tena kumbuka mkuu Di matteo alikua masaidizi wa kocha mkuu wa Chelsea kwa mda mrefu ndo maana aliweza ata kubeba Uefa alikua na uzoefu kiasi.Kwani Mkuu Sarri au Di matteo walichukua kombe gani kabla hawajaja chelsea?
Ongeza pia na Di matteo alikuja kuchua kombe akiwa Chelsea huyu Covax kakariri Sana maisha ukubwa wetu na history yetu ya makombe na demand ya team Ndio inaleta influence kwa kocha au machezaji yoyote kuwa na msukumo wakubeba makombe na Ndio maana umeona tumebeba Uefa tukiwa tuna watu kama kai, werner,Mount, james,benchilwell, jorginho n.k ambao hawakuwahi kabisa kuchukua UEFA lakini kutokana na history ya team wamejikuta wamepata hamasa kubwa na kupambana uwanjani mpaka tumeweza kuchukua kombe.Oooh SMH! Mzee kwa hiyo unataka kocha ambaye tayari keshachukua kombe? Yes hana CV lakini sio kweli kwamba lazima awe amechukua kombe ndio atakua mzuri.
Mkumbuke babu mifegi na Sarriball yake alikua hajawahi kuchukua kombe lolote lakini alipokuja kwetu alibeba.
Boehly anataka kuitransform Chelsea kama Walivyointransform LA Dodgers, wakat wanainunuaRoman Abramovich alivyoinunua THE BLUES, transformation alizozifanya mbali na management ni:-
Kuleta makocha wakubwa
Kusajili wachezaji wenye viwango vikubwa
Hii ilitoa picha/ujumbe kwa mashabiki kwamba malengo yake yalikuwa kuifanya THE BLUES iwe club kubwa kimakombe.
Utawala wa Roman Miaka 19, Makombe 21.
Toddy Boehly ameinunua THE BLUES tunaona transformation anazofanya:-
Amefukuza management yote (Sawa jambo jema anaweka watu ambao ni Loyal kwake)
Ameajiri mkuu wa masoko mwenye CV kubwa
Amevunja rekodi ya kumwaga pesa nyingi kwenye dirisha moja la usajili
Kamleta kocha mpya mwenye Cv ndogo kuliko kocha aliyeondoka.
Toddy Boehly amekuwa akizunguka kwenye platform mbalimbali za kiuchumi na biashara kueleza jinsi anavyoona fursa kubwa za kibiashara kwenye soka EPL.
Je maono ya TODDY BOEHLY ni yapi?
Kwa mtazamo wangu TODDY BOEHLY malengo yake THE BLUES yapo kibiashara zaidi kuliko makombe.
Hiyo paundi milioni 300 aliyotoa kusajili wachezaji msimu huu ni kutupumbaza mashabiki, Picha tumeipata baada ya kumleta kocha wa kawaida + mkataba wa miaka 5.
Miaka 5 ijayo THE BLUES ndio itakuwa club inayoongoza kwa kukuza vipaji na kuviuza kwa bei kubwa, itakuwa club yenye dili nyingi za kibiashara na club inayojiendesha kwa faida kubwa.
Covax tatzo upo kwenye matazamo Negtve sana kuhusu potterTodd boehly ameanza kupishana maneno na kocha wake potter kuhusu Ngole Kante alivyo taka kufanyia swap na mchezaji wa miaka 20 wa Brighton kwabb, kamwambia utaniaribia timu huwezi kupata mchezaji kama Kante.
"He can never replace N'golo Kante" Todd Boehly rebuked Graham Potter's decision to swap him with 20 year old Brighton star #footballchallenge #Chelsea
Its all about consistence mkuu, Tim yetu inahitaj Rebuilding, na si 1 summer utegemee ukacompete toe to toe na city, Rather than utry kuclose gap lilopo na wale mnaotafuta top 4Kwa hili uko sahihi kabisa Boehl iko obsessed na faida kuliko vikumbe, timu ya kutumia $250m kwa msimu sio ya kusubiria vikombe ni ya kuchukua vikombe, ila kocha wakuifanye ichukue hivyo vikombe.
Nakubaliana na wanao sema kwamba hana uzoefu na mpira wa ulaya utampa je kocha mkataba miaka mitano wakati unajua unaenda kumtimua ndani ya miaka miwili! Kutokana na pressure za washibiki atamtimua hata bila kutaka
U have to win ili upate hiyo faida, tofauti na hivyo tegemea loss hutoiuza kwa price ile ile kama team ishapoteza mvuto.Toddy baada ya miaka 10 atauza THE BLUES kwa faida kubwa pesa mara 2 ya aliyonunulia.
Kwa sasa mipango yake ni kutengeneza hiyo biashara.