Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1. AZPLICUETA - amechoka sio wa kuanza 1st eleven

2. ZIYECH - ni mchezaji wa timu ndogo

3. STERLING - Makorokoro mengi sana

4. KIUNGO - Ili timu yetu iwe bora, kocha anatakiwa atumie akili, maarifa na nguvu zote kutengeneza eneo la kiungo kwanza. Kiungo chetu kinatuangusha sana.
Ilikuwa ni kosa kubwa kumkumbatia Azp wakat anataka kuondoka

Ziyech sioni akiimprove hana maajabu yoyote.

Tuchel alikuwa yuko sahihi kuna wachezaj hapaswi kuwepo hapa
 
Ni kwamba tu mashabiki wa chelses tushazoea kulalamikia makocha, lakini safari hii tatizo ni kwamba tuna wachezaji wasio na calibre ya kucheza chelsea.

Embu angali goli tulilofungwa, azpilicueta anaona kabisa forward yuko mbele yake baada ya thiago kufanya makosa ila akabaki anamuangalia tu mpaka alipopewa pasi ndo akajifanya anaenda kumkaba. Goli lilikua linazuilika kabisa yani lile.

Tuje kwa ziyech, kusema kweli huyu jamaa tusiwe na matumaini kwamba atakuja kuperfom ndani ya uzi wa chelsea. Amekua kila akicheza hasahas msimu huu ndiye anaongoza kwa kupoteza mipira na kukosa nafasi, hovyo kabisa.

Pulisic ndo zero kabisa, akiingia kama vile hatupo uwanjani.

Naonaga wengi mnamsema Jorginho, lakini ukweli ni kwamba Jorginho ni mchezaji bora kushinda wengi mno ndani ya kikosi cha chelsea.

Bila usajili wa maana tutakua kama Man U, kulalamikia makocha kila siku kumbe tuna wachezaji wapumbavu.
 
Ukweli mchungu, siku tukija kukubal kuwa baadhi ya wachezaj tulionao hawastahil kuwepo hapa ndio tutakapomove,

Kuchukua UCL ilikuwa ni kosa kubwa, coz ilituaminisha hawa wachezaj ni bora ila sikweli,

Tuna Front 3 ya hovyo kuwahi kutokea bar Sterling/Auba/Broja, yani hata team pinzan zinaenjoy kucheza na hawa wakina havertz,pulisic,ziyech,

Tukija kushtuka tutasema Tuchel alikuwa sahihi,
20220915_002452.jpg
 
Timu Jana imecheza vizuri sana na kuna vitu kocha ameonesha
1.Wachezaji wamepangwa kwenye nafasi zao halisi

2. Uharaka wa kufanya mashambulizi, tuna attack haraka kabla mpinzani ajajipanga

3.Press 🔥

4.Jorginho for the first time naona msimu Huu Jana kacheza vizuri

Weekness

1.Finishing, ni tatizo limeendelea kututesa Sana wachezaji wanakosa magoals Sana huwezi kulaumu hapa kocha ikiwa tunatengeneza nafasi nyingi lakini tunashindwa kutumia nafasi

2.Nafikiri kwenye pale sub asingemtoa Auba tungecheza na double striker Auba na Broja kwa zile nafasi za wazi alizokosa Ziyech angekuwa ni Auba zinge kuwa goal

NB: kocha anahitaji muda kwa aina la soka lake naona atafanikiwa pale chelseafc tumpe muda
 
3.Press

Una chalobah,fofana n koulibaly bado unamuanzisha Azplicueta . Hii ndio mechi ya mwanzo na mwisho azp kuanza kama wengine wako fit

Now tuko katika hali mbaya UCL, game zetu mbil zijazo ni dhidi ya AC milan ni must win game.

Shida ni ile utengenezaj wa chance yani tukifika kwenye final 3rd hatujui kipi cha kufanya tukifika hapo, na zile chance tunazotengeneza tunashindwa kuzitumia
 
Ile style ya uchezaji wa TT (Pass fupifupi, Kukaba Lundo na Kushambulia Lundo kwa mwendo wa taratibu), madhaifu mengi sana ya wachezaji yalifunikwa/yalibebwa na hiyo style.

Potter namuona kama kocha anayetaka timu icheze kwa haraka/kasi, wachezaji wajitume sana uwanjani na matumizi ya nguvu.

Style ya uchezaji wa Potter itawaumbua sana wale wachezaji wavivu na wasiopenda kujituma. Benchi litawahusu huko mbeleni.
Tutakuja kukubaliana hapa wachezaj wengi tulionao hawafai kuwepo hawana quality
 
Ni kwamba tu mashabiki wa chelses tushazoea kulalamikia makocha, lakini safari hii tatizo ni kwamba tuna wachezaji wasio na calibre ya kucheza chelsea.

Embu angali goli tulilofungwa, azpilicueta anaona kabisa forward yuko mbele yake baada ya thiago kufanya makosa ila akabaki anamuangalia tu mpaka alipopewa pasi ndo akajifanya anaenda kumkaba. Goli lilikua linazuilika kabisa yani lile.

Tuje kwa ziyech, kusema kweli huyu jamaa tusiwe na matumaini kwamba atakuja kuperfom ndani ya uzi wa chelsea. Amekua kila akicheza hasahas msimu huu ndiye anaongoza kwa kupoteza mipira na kukosa nafasi, hovyo kabisa.

Pulisic ndo zero kabisa, akiingia kama vile hatupo uwanjani.

Naonaga wengi mnamsema Jorginho, lakini ukweli ni kwamba Jorginho ni mchezaji bora kushinda wengi mno ndani ya kikosi cha chelsea.

Bila usajili wa maana tutakua kama Man U, kulalamikia makocha kila siku kumbe tuna wachezaji wapumbavu.
Naunga mkono hojaaaaa
 
Ukweli tukubali hatuwezi kushindania kikombe chochote kwa hii timu sioni tukivuka hatua ya 16 labda iwe bahati na hata tukivuka itakuwa ni aibu uko mbeleni

Tumuache Potter aitengeneze timu ya ushindani ila leo lineup ndo imeamua matokeo haya kuna wachezaji hawapaswi kuanza kabisa haya ni makosa aliyofanya TT mpaka akatimuliwa

Inabidi angalie wachezaji wanaoweza kumpa matokeo sio majina makubwa inasikitisha sana
Huu msimu ni wa kujenga timu,
  1. mmiliki mpya,
  2. uongozi mpya,
  3. kocha mpya,
  4. wachezaji wengi wapya
Kocha ajitahidi tu tubaki top 4, makombe tusahau kidogo otherwise tunakuwa too much ambitious
 
Una chalobah,fofana n koulibaly bado unamuanzisha Azplicueta . Hii ndio mechi ya mwanzo na mwisho azp kuanza kama wengine wako fit

Now tuko katika hali mbaya UCL, game zetu mbil zijazo ni dhidi ya AC milan ni must win game.

Shida ni ile utengenezaj wa chance yani tukifika kwenye final 3rd hatujui kipi cha kufanya tukifika hapo, na zile chance tunazotengeneza tunashindwa kuzitumia
Hapo kwa Azplicueta mm ndo nilichoka sijui alifikilia nn kumuanzisha nikaona kabisa hamna matokeo
Halafu kingine sub alizofanya azikuwa sahihi kabisa
 
Goli la kusawazisha ni la Thiago Silva kabisa ,acheni kumpa lawama kocha beki gani wa mwisho unafanya tackling ya kifala huwin mpira ?...!
Kwa mara ya kwanza naona point inatoka kwako
Silva hakutakiwa kufanya tackling kwenye situation kama ile, na uzoefu wake tulitegemea better than that
 
1. AZPLICUETA - amechoka sio wa kuanza 1st eleven

2. ZIYECH - ni mchezaji wa timu ndogo

3. STERLING - Makorokoro mengi sana

4. KIUNGO - Ili timu yetu iwe bora, kocha anatakiwa atumie akili, maarifa na nguvu zote kutengeneza eneo la kiungo kwanza. Kiungo chetu kinatuangusha sana.
Ziyech huyu kalogwa aisee, kocha mpya anacheza vile vile kwa kiburi na kudharau opponent, nimechukia jana, Sikio la kufa huyo aruhusiwe kusepa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom