Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mategemeo yangu kwa Potter ni kulinda timu yetu kutoshuka daraja angalau na kumalizia nafasi ya 4, au ya Uropa hayo ili tuvuke kipindi hiki wakati tunasubilia kocha wetu sahihi na Boeh tajiri anapata uzoefu wa biashara ya mpira wa wingereza.

Hayo ndo mategemeo yangu makuu kwa kocha wetu sitaki kujipa stress na hasira za bure wakati kocha wetu ni mzuri ila hawezi kufanya juu ya uwezo wake, hana record hiyo ni lazima limchukulie mda angalau 2-5yrs kubeba epl ila nani wakumvumilia huo mda wote bila [emoji471].
Nadhani tajiri yupo tayari kuvumilia kwasababu yeye ndiye aliyemuajiri na kumpa mkataba wa muda mrefu kiasi hicho. Anajua wazi kabisa akivunja mkataba prematurely, yeye ndiye wa kuumia na siyo kocha. Kama mwajiri yupo tayari kusubiri muda wote huo sisi huku bongo ni nani hadi tuvimbe kongosho?
Vitu ambavyo hatuna control navyo tuviache tu viende kama vilivyopangwa na wenye control [emoji851]. Kama hawatacheza mpira mzuri unaovutia basi, mtu unakunywa maji yako meeengi, unatulia.
 
Toddy baada ya miaka 10 atauza THE BLUES kwa faida kubwa pesa mara 2 ya aliyonunulia.

Kwa sasa mipango yake ni kutengeneza hiyo biashara.
Maana yake timu itakuwa na wachezaji wazuri na timu itakuwa shindani, inacheza na kuchukua makombe kama EPL na Domestic cups plus UCL. Vinginevyo hawezi kuuza kwa bei unayosema hapo. Mipango ya Boehly naona itamshangaza hata yeye mwenyewe kwasababu kwa uwekezaji anaoufanya anaweza kupata mafanikio makubwa mapema kuliko ule muda ambao alikuwa anatarajia breakeven.
 
Nadhani tajiri yupo tayari kuvumilia kwasababu yeye ndiye aliyemuajiri na kumpa mkataba wa muda mrefu kiasi hicho. Anajua wazi kabisa akivunja mkataba prematurely, yeye ndiye wa kuumia na siyo kocha. Kama mwajiri yupo tayari kusubiri muda wote huo sisi huku bongo ni nani hadi tuvimbe kongosho?
Vitu ambavyo hatuna control navyo tuviache tu viende kama vilivyopangwa na wenye control [emoji851]. Kama hawatacheza mpira mzuri unaovutia basi, mtu unakunywa maji yako meeengi, unatulia.
Tajiri anaweza kuvumilia ila washabiki wa blues dunia nzima wakampinga achana na sie wabongo tusie kua na impact kwenye timu,

Ila ulaya na America, timu yoyote mtaji wake ni washabiki, ni lazima uwasikilize, kwahiyo boehly pamoja na kumliki timu na wenzie kuna kikundi cha tatu chenye nguvu lazima matakua yao ya tekelezwe, ili timu ipate faida, na mshabiki yoyote anataka ushindi na viķombe sio faida elio patikana
 
Mategemeo yangu kwa Potter ni kulinda timu yetu kutoshuka daraja angalau na kumalizia nafasi ya 4, au ya Uropa hayo ili tuvuke kipindi hiki wakati tunasubilia kocha wetu sahihi na Boeh tajiri anapata uzoefu wa biashara ya mpira wa wingereza.

Hayo ndo mategemeo yangu makuu kwa kocha wetu sitaki kujipa stress na hasira za bure wakati kocha wetu ni mzuri ila hawezi kufanya juu ya uwezo wake, hana record hiyo ni lazima limchukulie mda angalau 2-5yrs kubeba epl ila nani wakumvumilia huo mda wote bila [emoji471].
Mkuu Chelsea hata ije ifundishwe na Juma Mgunda sahau kuhusu kushuka daraja. Nasikitika hiyo sentensi yako ya kwanza
 
Kwa kutumia sayansi hiyo hiyo anauwezo wa kufanya kama alivyofanya Brighton na tunaamini atafanikiwa kwa sababu huku atakutana na quality zaidi ya alipokua BHA
Mkuu akiwa Brighton alichukua kombe gani? Ili alichukue pia akiwa Chelsea
 
Toddy baada ya miaka 10 atauza THE BLUES kwa faida kubwa pesa mara 2 ya aliyonunulia.

Kwa sasa mipango yake ni kutengeneza hiyo biashara.
On the way lazima abebe makombe, asipofanya hivyo timu haitapanda bei. Wote mtarudi kuwa biashara inaendana na makombe. Wale wa Arsenal wamejaribu kufanya bishara bila makombe wakawa wanapata faida kidichu wakaridhika kumbe huku nyuma dhamani ya timu inazidi kushuka, sasa kupitia Arteta ndio wameanza kuwanunua wachezaji wa kushindania makombe
 
Mkuu ili auze timu mara mbili au zaidi ni lazima timu iwe competitive kwenye soka kwa kubeba makombe. Makombe yanaongeza thamani ya timu mkuu
Hata hii dhamni ya Bil 4 isingefikiwa kama Chelsea ingekaa kukuza vipaji tu bila kubeba makombe. Hii iko wazi na sijui kwa nini mashabiki hawalioni. Huitaji digree au hata diploma ioli kuliona hili. Timu isiyo shindani na isiyobeba makombe tena makubwa haiwezi panda dhamani. Weka hapa akina AC Milan ilivyokuwa timu bora duniani miaka ya 2000 imeacha tu kubeba makombe imekuwa timu ya kawaida, Timu zote zenye dhamni kubwa ukifuatilia historia yake inabeba makombe makubwa kila mara ya Ligi na UEFA, Lakini timi ikikaa miaka 10+ haibebi makombe inaondolewa kwenye equation mara moja
 
Mkuu, Sawa tunao wachezaji wenye Quality zaidi ya BHA lakini wachezaji wetu hawana quality ya kubeba kombe la EPL mbele ya CITY.

Achilia mbali quality ndogo ya Potter dhidi ya Pep na Klop.

Labda potter apambane kumaliza TOP 4 kwa miaka 5 ya mkataba wake
Kwa ligi ya Uingereza, kushiriki tu UCL inatosha kuweka timu pazuri, huko tunakokwenda hakuna timu itaweka hati miliki ya EPL, sasa hivi PEP anafanya hivyo kwa sababu huko nyuma tulidharau, plan zinazowekwa sasa zikianza kuleta matunda msimu wa pili au watatu sio tena mbio za timu moja au mbili bali utaona timu zote za top 4 aui top 5 zikigombea makombe kwa usawa haid mwisho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ni consolation statement mkuu ......kwasbb bado tuna safari ndefu kuweka timu yetu pazuli, Conte kabadili timu ya totnahm match ya leo 6.2 Leicity wakati akuingia sokoni ipasavyo, sisi tumetumia $250m tuna leta kocha asie kua na uwezo wa timu kubwa loh!!!!
 
Sijakuelewa kabisa, uchungu wa kutumia pesa nyingi, mafanikio huoni au kocha wa kiwango cha chini?
 
Ndiyo dalili, za ku struggle msimu hu na ziona tayari, kocha wetu mzuri ila hana uzoefu wa timu kubwa kama Chelsea
 
Inter wanatoa £7million. kumnunua Lukaku
Bora wapewe bure
 
Mkuu akiwa Brighton alichukua kombe gani? Ili alichukue pia akiwa Chelsea
Oooh SMH! Mzee kwa hiyo unataka kocha ambaye tayari keshachukua kombe? Yes hana CV lakini sio kweli kwamba lazima awe amechukua kombe ndio atakua mzuri.

Mkumbuke babu mifegi na Sarriball yake alikua hajawahi kuchukua kombe lolote lakini alipokuja kwetu alibeba.
 
Mkuu, Sawa tunao wachezaji wenye Quality zaidi ya BHA lakini wachezaji wetu hawana quality ya kubeba kombe la EPL mbele ya CITY.

Achilia mbali quality ndogo ya Potter dhidi ya Pep na Klop.

Labda potter apambane kumaliza TOP 4 kwa miaka 5 ya mkataba wake
Mkuu sawa nadhani kilichobaki tuuache muda uongee. Kila mtu hapa anatoa maoni yake kulingana na vile anavyohisi so tutabishana hapa lakini muda utasema
 
Mzee hapa hatubishani tuna badilishana mawazo kwa mtizamo yetu, ni vizri tuendelee ku kosoa na kupongeza kama mashabiki uhuru wa the blues wala usihofu we leta hoja zako kutetea msimamo wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom