Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe Ni mamluki tu kitambo tunakujua ..huna jema wewe ..suala la changamoto kila timu inapitia Sasa kusema TT hakupata changamoto nakushangaa kwa sababu kila kitu kilikuwa wazi jinsi TT alivyostrago katika changamoto ambazo zilitokea msimu uliopita. Sasa wewe mbuzi mamluki unakuja kuleta mbambamba apa eti TT hakupitia changamoto ..em pita hivi Rudi ulipotoka. Pumbavu!!
Alizungumzia Changamoto wakati Tt anakabidhiwa timu na siyo msimu uliopita....
 
Labda sijakuelewa lakini naona unalinganisha machungwa na maembe.
Wewe umesema kante auzwe kwasababu ya injuries anazopata me nimekujibu japo kante anacheza mechi chache lakoni kwenye hizo mechi anafanya vizuri kuliko baadhi ya wachezaji ambao haumii na hawana mchango wowote nimemtumia kai kama kuwasilisha hoja yangu
 
Alizungumzia Changamoto wakati Tt anakabidhiwa timu na siyo msimu uliopita....
Tuchel alipewa lengo la uibakiza timu top 4 yeye akatupa UCL, UEFA Supper Cup na Club Worl Cup - (Changamoto aliyokuta hakuna)
Nashukuru kwa kunielewa kiongozi. Ujumbe wangu ulikuwa clear (nimebold kwa kusisitiza) ila yeye kwa vile ni mkurupukaji akadandia mada kama kawaida yake.
 
Watu wengi walikuwa wanalalamika wenyewe kuchezeshwa nje ya nafas zao,

Japo wachache tulikuwa tushakubal ni failed business
Yan hawa wachezaji wana vipaji ila hawajitumi tu wenyewe

Pulisic legelege
Ziyech akili yake bado inahisi anacheza Ajax
Havertz kuna muda anajizima data na confidence inashuka
Chalobah naona ile hype ya kuanza vizuri ilimchanganya akawa over confidence

Hawa wachezaji wakitulia wanaweza kutoa vitu vizuri sana ila kama mimi ndio ningekua Boehly ningeanza kuuza Ziyech na Pulisic
 
Tusubiri tuone huyu kocha atawafikisha wapi binafsi naona Pulisic na Ziyech wanna vipaji vikubwa Sana
 
Yan hawa wachezaji wana vipaji ila hawajitumi tu wenyewe

Pulisic legelege
Ziyech akili yake bado inahisi anacheza Ajax
Havertz kuna muda anajizima data na confidence inashuka
Chalobah naona ile hype ya kuanza vizuri ilimchanganya akawa over confidence

Hawa wachezaji wakitulia wanaweza kutoa vitu vizuri sana ila kama mimi ndio ningekua Boehly ningeanza kuuza Ziyech na Pulisic
Havertz bado mimi namuamini kwa asilimia 99.9
Ziyech na Pulisic wanamuhitaji special coach atakayewajulia, wanayo vipaji na uwezo
 
AINA YA MASHABIKI NA USHABIKI WAO

Tuambie wewe uko kundi lipi

SHABIKI MPENZI:
Huyu ni aina ya shabiki ambae anashabikia na anapenda kweli timu yake kutoka moyoni. Huyu shabiki hata timu yake ikifungwa huwa yeye anaiunga mkono. Huyu shabiki hachagui nyakati yeye anaunga mkono hatua zote za timu yake. Huwa yuko tayari hata kutoa muda na mali kuisaidia timu yake inapobidi.

SHABIKI MKUMBO:
Huyu ni shabiki ambae hajui anaipendea nini timu yake , anashangilia kwakuwa anaona mtu fulani wa karibu yake anashabikia. Akiambiwa timu nzuri sawa, timu mbovu sawa, mara nyingi mashabiki hawa hushabikia matokeo ya timu hiyo tu hasa yakiwa postive. Shabiki huyu huendeshwa na hisia za wengi hafuati moyo wake, ukimuuliza kuhusu jambo analosema mara nyingi hujibu "Huoni fulani kapost? Hujaona fulani ameongea?" Hata kama aliyeongea hayupo ndani ya uongozi au wahusika wa timu yake.

SHABIKI MIHEMKO:
Huyu ni shabiki ambaye yeye huwa anawaza ushindi pekee, huyu shabiki huwa hapendi michezo anapenda timu, na hapendi kwa dhati timu anapenda matokeo chanya ya timu.
Ni wepesi sana kuhukumu. Shabiki huyu hulaumu sana wahusika wa timu yake haswa inapotokea jambo tofauti na jinsi wengi wanavyofikiri.

SHABIKI MWANAMICHEZO:
Huyu huwa anasema ukweli wowote uwe mzuri au mbaya, unauma au hauumi, huyu huwa anapenda timu yake lakini haoni dhambi kukosoa kwa hoja chanya. Huyu huwa ana uwezo hadi wa kutoa mapendekezo nini kifanyike kwa maoni ili timu yake iwe imara zaidi.

SHABIKI MNAFIKI:
Huyu ni shabiki anayeipenda timu yake lakini yuko tayari kuisaliti kwasababu ya maslahi, au kuridhisha kundi fulani. Shabiki huyu huwa anaweza kubeza uwezo wa wahusika wa timu yake kama wachezaji, viongozi, na benchi la ufundi mbele ya mashabiki wa timu nyingine ili aonekane yeye ni mkweli. Na haongelei mapenzi. Shabiki huyu yuko radhi kuwatukana wapinzani wake.

SHABIKI ILIMRADI:
Huyu ni shabiki anayeamini kila kinachoandikwa kuhusu timu yake na hata timu zingine, hajali taarifa hiyo au habari hiyo ineandikwa na nani? Kwanini? Na huyo mtu ni nani?
Sisi mashabiki Maandazi tunacomment wapi? 😉
 
Mendy majeruhi kwa siku 10 sasa, kesho hatakuwepo kwenye mtanange na RB Salzburg

1663084403625.png
 
chairman Todd Boehly on disconnect with ex-manager Thomas Tuchel:

"Our vision for the club was finding a manager who really wanted to collaborate with us... to bring a team together with the academy, first team and incremental clubs we want to acquire."

Hii ni interview yaleo wakat akihojiwa na katika mkutano wa Salt 2022
Kwa wale watakao taka kumskia waanzie hapa 1:40:00
Link
 
Machache kutoka kwenye interview ya Boehly katika jukwaa la Salt New York 2022
Boehly ameeleza sababu za kwanini waliachana na Tuchel

Boehly anasema sababu haikuwa matokeo wala kufungwa dhid ya Zagreb, Ila sababu kuu ni kutofautiana kimaona ya sasq na ya baadae,Anasema Tuchel hakuwa na mawazo ya kwao wanavyotaka tim iweje hapo baadae, hence wakaona kunauhitaj wakuwa na manager watakaeweza kushirikiana nae,
Vile vile akasema hakuna aliyekosea au kuwa sahihi ila tuchel na wao hawakuwa na mawazo sawa ya baadae.

Kama ilivyo kwenye kampun yeyote ni lazima uwe na watu mtakaokuwa na same vision,

Vile vile akazungumzia issue ya academy, anasema wakat wanaingia hakukuwa na sharing of data kutoka academy, Chelsea ina academu bora duniani, ila wanahitaji kupata nafas nzuri ya kukua.

Vile vile,Boehly akazungumzia issue nzima ya vipaj anasema hawategemei wao ndio watafute vipaji bali wataweka watu maalum kwa ajili ya hilo.
 
Vision, vision hii ndio typical approach ya wamarekani, hili suala la vision niliongelea kwa sehemu kwenye sababu ya kupart company na inafanana na sababu ya hao waliomtangulia TT, yaani Marina Cech na Bruce Buck. TT alikuwa tofauti kabisa na approach ya akina Boehly hasa kwenye kuwadevelop na kuwaingiza kwenye first team young players. Sorry TT. Tuombe Mungu Graham awe ndie chaguo sahihi. Na ninahis Graham aliandaliwa muda mrefu hata maskini TT hakujua
 
Wewe umesema kante auzwe kwasababu ya injuries anazopata me nimekujibu japo kante anacheza mechi chache lakoni kwenye hizo mechi anafanya vizuri kuliko baadhi ya wachezaji ambao haumii na hawana mchango wowote nimemtumia kai kama kuwasilisha hoja yangu
. Point yangu kubwa ilikuwa kwamba auzwe kwasababu haitaki yeye offer. Kibiashara itakuwa ni gharama kwa tajiri kumpa mkataba wa muda mrefu mtu ambaye ameshakuwa moribund.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom