Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo lilikuja hivi hao ambao aliwan'gan'gania kwenye kikosi walishindwa kuonesha matunda ndio maana watu wakahoji kwa senior hao kushindwa kwanini asingetumia vijana mfano jorginho amekuwa underperform kwanini akashindwa kumtumia Gilmour? Kai hakuna chochote alichoonesha lakini kamn'gan'gania wakati una mtu kama broja, alikuwa anamtumiq james kwenye back 3 Mara nyingi wakati una kijana chalobah anayeweza kucheza Kwenye hiyo nafasi.
Ile nafasi ya Jorginho Gilmour angeicheza vizuri kama kocha angekuwa anamtumia consistently hata kwa dakika chache. Mtu unamfukuza promising young player kama huyo kwenye preseaon huku akisema eti anahitaji quality training kwa hao walioshindwa kucheza vizuri si bora angechanganya.

Barcelona walimtrust Gavi na Ansufati sasa wanavuna hiyo trust
Real Madrid walimtrust akina rodrygo, kamavinga, vin. jr na sasa wanavuna hiyo trust
 
1662838342913.png
 
Makocha wana formula ya kuwaingiaza kwenye first team, sio wote wala sio dakika zote. TT hata kama alikuwa na mazuri yake lakini hakuwa na mpango wowote wa kuwainua academy. Aliwataka wafight kama hawa experienced players kitu ambacho sio fair. Halafu ya dhahiri kabisa ni kuwaflastrate waziwazi, hasira aliyokuwa nayo Billy Gilmour ni mojawapo ya hili ninaloliongelea. Billy Gilmour angekuja kuwa kama Gavi na alionyesha hizo dalili lakini no one cared about him hadi kiwango chake kikashake

Kitu nilichopenda kwa hawa wamiliki wapya msisitizo wao mkubwa ni kuendeleza academy na kuwafanya young players kama mzizi mkuu wa uendelevu wa Chelsea imara na bora/ Hii haina maaana kuwajaza wote uwanjani lakini at least kila msimu kuwepo na young player mmoja au wawili wanaopenetrate kwenye first team.

Boehly woga aliokuwa nao kwa TT ni hao akina Chukwuemeka na wenzake wataflastrate halafu after one season wataomba kuhama kama TT angeendelea kuwa kocha.

Inatakiwa kila mchezaji mzee awe na successor wake kutoka aidha academy au young player walionunuliwa

Ili kila msimu tuwe na timu iliyokamilika idara zote.
Mpango mkubwa wa Boehly huu kuhusu kuinua vipaji ni huu hapa chini
Screenshot_20220911-093043_OneFootball.jpg
 
Potter akiweza kupata kilicho bora kutoka kwa washambuliaji wetu (Ziyech, Pulisic, Kai, Auba, Broja), sioni kama kuna haja ya kumsajili Ronaldo.

Na kama Potter atavurunda kuwatumia washambuliaji wetu hawa kupata magoli, hata akisajiliwa Ronaldo, Lewandoski, Halland, Kane ni kazi bure tuu yale yale ya Lukaku na Werner kujirudia.
Shida sio Potter, tatizo ni tajiri wenu anamng'ang'ania Ronaldo kwa sababu za kibiashara zaidi.
Dirisha likifunguliwa tegemeeni kupata flop wengi wenye majina makubwa ili timu ifanye biashara vizuri.
Mkumbuke kua Toddy Boehly ni Mmarekani hapo anachoangalia ni maslahi yake binafsi hata kama timu itashuka daraja.
 
Shida sio Potter, tatizo ni tajiri wenu anamng'ang'ania Ronaldo kwa sababu za kibiashara zaidi.
Dirisha likifunguliwa tegemeeni kupata flop wengi wenye majina makubwa ili timu ifanye biashara vizuri.
Mkumbuke kua Toddy Boehly ni Mmarekani hapo anachoangalia ni maslahi yake binafsi hata kama timu itashuka daraja.
Unaongea upumbavu, unajua timu itapungukiwa mapato kiasi gani iwapo itashuka daraja? Timu inapo perform vizuri uwanjani, income yake pia inabustiwa zaidi kwasababu kuna hela wanapata kila wanapofanya vizuri kwenye michuano na fan base inaongezeka
 
Chelsea are interested in hiring Luis Campos, who currently works as a football advisor for PSG, as their sporting director. Todd Boehly has already spoken with Campos.

Chelsea’s new ownership are understood to be unhappy about performances and structure of the squad and intend to invest aggressively again in the January window.

[via Duncan Castles / Times Sport]

@Chelsea_fc_worldwide
 
Graham Potter sees Jorginho as a Perfect player for his plans and also considering making him the Team's New Captain #CFC #Blues.

Ni washabiki wachache wanao muamini na kumkubali jorginho kama special player, wengi wana concentrate kwenye makosa yake anapo poteza mpira katika sehemu hatari na tuna fungwa

Ila mimi binafsi na Kocha wetu mpya tuna mkubali Jorginho ni match leader and reader huwezi kumlinganisha na hao wengine kama pulisic ziechy Mount, pia na Kei ni mzuri sana ni wachache wanao mkubali na kuona uwezo wake katika timu tukiwa kwenye hali ngumu.
 
Kwa sasa tunataka tuone timu ikifunga magoli mengi, angalau msimu huu mashindano yote tupate:-

Ziyech - 8 goals, 10 Assists
Auba - 10 goals, 10 assists
Mount - 10 goals, 10 assists
Pulisic - 10 goals, 5 Assists
Broja - 10 goals
Harvetz - 10 goals
Auba sio typical assist player, amewahi kuasist goli 6 tu akiwa BVB na Arsenal goli 5
Yeye ni typical goal scorer. Tutegemee msimu mzima kama Graham atapatia dawa mfumo wa kupeleka mipira mizuri mbele anaweza funga 15-20 goals angalau kwa huu msimu wa kwanza
Ziyech furaha yake ikirudi anaweza assists hadi 15 na kufunga 10+ goals
Havertz naye ana uwezo wa kufunga hata 20+ goals kama kocha atamjulia. Leverkusen aliwahi fikisha 17 goals peak yake ya career bado, tusimuunderrate, kuna hazina kwa Havertz
 
AINA YA MASHABIKI NA USHABIKI WAO

Tuambie wewe uko kundi lipi

SHABIKI MPENZI:
Huyu ni aina ya shabiki ambae anashabikia na anapenda kweli timu yake kutoka moyoni. Huyu shabiki hata timu yake ikifungwa huwa yeye anaiunga mkono. Huyu shabiki hachagui nyakati yeye anaunga mkono hatua zote za timu yake. Huwa yuko tayari hata kutoa muda na mali kuisaidia timu yake inapobidi.

SHABIKI MKUMBO:
Huyu ni shabiki ambae hajui anaipendea nini timu yake , anashangilia kwakuwa anaona mtu fulani wa karibu yake anashabikia. Akiambiwa timu nzuri sawa, timu mbovu sawa, mara nyingi mashabiki hawa hushabikia matokeo ya timu hiyo tu hasa yakiwa postive. Shabiki huyu huendeshwa na hisia za wengi hafuati moyo wake, ukimuuliza kuhusu jambo analosema mara nyingi hujibu "Huoni fulani kapost? Hujaona fulani ameongea?" Hata kama aliyeongea hayupo ndani ya uongozi au wahusika wa timu yake.

SHABIKI MIHEMKO:
Huyu ni shabiki ambaye yeye huwa anawaza ushindi pekee, huyu shabiki huwa hapendi michezo anapenda timu, na hapendi kwa dhati timu anapenda matokeo chanya ya timu.
Ni wepesi sana kuhukumu. Shabiki huyu hulaumu sana wahusika wa timu yake haswa inapotokea jambo tofauti na jinsi wengi wanavyofikiri.

SHABIKI MWANAMICHEZO:
Huyu huwa anasema ukweli wowote uwe mzuri au mbaya, unauma au hauumi, huyu huwa anapenda timu yake lakini haoni dhambi kukosoa kwa hoja chanya. Huyu huwa ana uwezo hadi wa kutoa mapendekezo nini kifanyike kwa maoni ili timu yake iwe imara zaidi.

SHABIKI MNAFIKI:
Huyu ni shabiki anayeipenda timu yake lakini yuko tayari kuisaliti kwasababu ya maslahi, au kuridhisha kundi fulani. Shabiki huyu huwa anaweza kubeza uwezo wa wahusika wa timu yake kama wachezaji, viongozi, na benchi la ufundi mbele ya mashabiki wa timu nyingine ili aonekane yeye ni mkweli. Na haongelei mapenzi. Shabiki huyu yuko radhi kuwatukana wapinzani wake.

SHABIKI ILIMRADI:
Huyu ni shabiki anayeamini kila kinachoandikwa kuhusu timu yake na hata timu zingine, hajali taarifa hiyo au habari hiyo ineandikwa na nani? Kwanini? Na huyo mtu ni nani?
 
Unaongea upumbavu, unajua timu itapungukiwa mapato kiasi gani iwapo itashuka daraja? Timu inapo perform vizuri uwanjani, income yake pia inabustiwa zaidi kwasababu kuna hela wanapata kila wanapofanya vizuri kwenye michuano na fan base inaongezeka
Mgawanyo wa mapato ya premium leagure hii hapa kwa msimu wa 2021-22

1. Manchester City
Actual league position: 1st
Equal share: £79m
Facility fees: £26.3m
Merit payment: £53.1m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £164m

2020-21 payment: £153.9m
Difference: +£10.1m

2. Liverpool
Actual league position: 2nd
Equal share: £79m
Facility fees: £27.3m
Merit payment: £50.4m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £162.3m

2020-21 payment: £148.3m
Difference: +£14m

3. Chelsea
Actual league position: 3rd
Equal share: £79m
Facility fees: £22.6m
Merit payment: £47.8m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £155m

2020-21 payment: £150.9m
Difference: +£4.1m

4. Tottenham
Actual league position: 4th
Equal share: £79m
Facility fees: £25.4m
Merit payment: £45.1m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £155.1m

2020-21 payment: £139.4m
Difference: +£15.7m

5. Arsenal
Actual league position: 5th
Equal share: £79m
Facility fees: £27.3m
Merit payment: £42.4m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £154.3m

2020-21 payment: £135m
Difference: +£19.3m

6. Man Utd
Actual league position: 6th
Equal share: £79m
Facility fees: £25.4m
Merit payment: £39.8m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £149.8m

2020-21 payment: £153.5m
Difference: -£3.7m

7. West Ham
Actual league position: 7th
Equal share: £79m
Facility fees: £21.6m
Merit payment: £37.1m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £143.3m

2020-21 payment: £143.5m
Difference: -£0.2m

8. Leicester City
Actual league position: 8th
Equal share: £79m
Facility fees: £15m
Merit payment: £34.5m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £134.1m

2020-21 payment: £141.3m
Difference: -£7.2m

9. Newcastle
Actual league position: 11th
Equal share: £79m
Facility fees: £19.8m
Merit payment: £26.5m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £130.9m

2020-21 payment: £116.9m
Difference: +£14m

10. Brighton
Actual league position: 9th
Equal share: £79m
Facility fees: £14.1m
Merit payment: £31.8m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £130.5m

2020-21 payment: £107.5m
Difference: +£23m

11. Wolves
Actual league position: 10th
Equal share: £79m
Facility fees: £15m
Merit payment: £29.2m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £128.8m

2020-21 payment: £119.9m
Difference: +£8.9m

12. Crystal Palace
Actual league position: 12th
Equal share: £79m
Facility fees: £15m
Merit payment: £23.9m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £123.5m

2020-21 payment: £116.3m
Difference: +£7.2m

13. Aston Villa
Actual league position: 14th
Equal share: £79m
Facility fees: £18.8m
Merit payment: £18.6m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £122m

2020-21 payment: £122.2m
Difference: -£0.2m

14. Brentford
Actual league position: 13th
Equal share: £79m
Facility fees: £14.1m
Merit payment: £21.2m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £119.9m

15. Everton
Actual league position: 16th
Equal share: £79m
Facility fees: £20.7m
Merit payment: £13.3m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £118.6m

2020-21 payment: £134.4m
Difference: -£15.8m

16. Leeds
Actual league position: 17th
Equal share: £79m
Facility fees: £18.8m
Merit payment: £10.6m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £114m

2020-21 payment: £138.6m
Difference: -£24.6m

17. Southampton
Actual league position: 15th
Equal share: £79m
Facility fees: £11.3m
Merit payment: £15.9m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £111.8m

2020-21 payment: £111.7m
Difference: +£0.1m

18. Burnley
Actual league position: 18th
Equal share: £79m
Facility fees: £11.3m
Merit payment: £8m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £103.9m

2020-21 payment: £101.7m
Difference: +£2.2m

19. Watford

Actual league position: 19th
Equal share: £79m
Facility fees: £11.3m
Merit payment: £5.3m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £101.2m

20. Norwich
Actual league position: 20th
Equal share: £79m
Facility fees: £11.3m
Merit payment: £2.7m
Commercial revenue: £5.6m
Total: £98.6m
 
Graham Potter sees Jorginho as a Perfect player for his plans and also considering making him the Team's New Captain #CFC #Blues.

Ni washabiki wachache wanao muamini na kumkubali jorginho kama special player, wengi wana concentrate kwenye makosa yake anapo poteza mpira katika sehemu hatari na tuna fungwa

Ila mimi binafsi na Kocha wetu mpya tuna mkubali Jorginho ni match leader and reader huwezi kumlinganisha na hao wengine kama pulisic ziechy Mount, pia na Kei ni mzuri sana ni wachache wanao mkubali na kuona uwezo wake katika timu tukiwa kwenye hali ngumu.
Kama kocha anampango huo anajua pia namna ya kumprotech kwenye mfumo asiendelee kurudia makosa yake

Tatizo kubwa la Jorginho ni pale tunapopoteza mechi kwa ajili yake tena zaidi tunapoteza point 3 kwa sababu kule mbele wamelala. Tungekuwa na wafungaji wazuri makosa ya Jorginho yasingeonekana

Jorginho anafaa kucheza kwenye mechi ambazo mpinzani hatapress high, pressing ndio inamlazimishaga Jorginho afanye hayo makosa ya kijinga na hajirekebishi. Tatizo lake anabaki na mpira na kwa asili Jorginho hawezi na hajui kuproteck mpira. Dawa ya managementi ni kumsajili kiungo mbadala wa Jorginho tu, sio fare kupoteza point kwa sababu ya mtu mmoja kila mara, bora hata ingekuwa ni kwa bahati mbaya mara moja kwa msimu. James anafanya makosa lakini sio kwa kujirudiarudia

Na ukitaka kujua kuwa Chelsea tuna upungufu wa viungo angalia anafanya makosa na bado anapangwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom