Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Akili yako iko wapi matakoni, unapocoment mada za wengine usitukane wewe mkurupukjaji mkubwa. majeruhi sio changamoto kubwa, kila timu ina changamoto hiyo. na Changamoto tunayozungumzia ni ya mwanzo wa msimu alipokuwa anapewa timu na kusaini mkataba. Lampard kasaini mkataba wakati timu imeondokewa na Hazard na ikiwa kwenye ban ya kutosajili, TT kapata changamoto ipi wakati anakabidhiwa timu, usajili wa wachezaji kakuta kila kitu supa (Acha basi ukenge unapokoment hoja za wengine) kapata changamoto ya timu kuuzwa mwishoni mwa msimu haikuleta any great impact kwenye msimu. Wewe kama ni msukule wa TT mfuate huko alikokwenda tuachie Chelsea yetu au hamia huko kwa Arsernali ndiosize yako. Halafu hoja ya Lampard na TT nimekoment positively wewe kwa ukenge wako unataka kuijulisha uma kuwa nimemkandia TT wakati mimi nimesema tena katupa advantage kubwa ya vikombe UEFA, nk.... so nani stupid between me and you
Akili take ipo wapi?
 
Ngolo Kante amekataa kusaini mkataba wa miaka miwili, anahitaji miaka zaidi
Ngolo Kante kwa sasa ana miaka 31
 
NG
20220912_140541.jpg
 
N'Golo Kante wamuachie tu aende free. Miaka 2+1 halafu anakataa wakati sasa hivi hachezi mechi 3 mfululizo bila kuumia? Asajiliwe tu kwingineko nao wamfaidi. Atakuja kuwanyima nafasi vijana bure tu.
Screenshot_20220912-163412_OneFootball.jpg
 
Aondoke tu hajuna namna kashakuwa mzeee anataka mkataba mkubwa sana
Asingekuwa mtu wa majeruhi angeweza tu kupewa kama walivyopewa akina Auba na Koulibaly. Msimu uliopita alikaa mechi 16. Na msimu kuanzia mechi na Tottenham atakaa nje hadi October. Akiumia tena ni hadi January 2023
 
THE BLUES muda mwingine sera zetu ni za ovyo sana.

Replacement ya KANTE ilitakiwa ianze kufanyika misimu 2 nyuma.

Leo tuna KANTE ambaye majeruhi kila siku.

Leo Tuna KOVACIC ambaye hawezi kucheza mechi 10 mfululizo kwa tatizo la misuli kuwaka moto, kukaa nje wiki 2 mpaka 4 imekuwa ratiba yake.

Leo tuna JAMES ambaye hana msaidizi wa kueleweka na kupelea kuanza kusumbuliwa na injury za mara kwa mara.
Boehly amesikia hiyo
 
N'Golo Kante wamuachie tu aende free. Miaka 2+1 halafu anakataa wakati sasa hivi hachezi mechi 3 mfululizo bila kuumia? Asajiliwe tu kwingineko nao wamfaidi. Atakuja kuwanyima nafasi vijana bure tu.View attachment 2354563
Kai hana injuries na anacheza msimu mzima Nini ambacho anacho offer kwa kipindi chote hicho? Je ni zaidi ya mechi chache anazocheza Kante?
 
Swala la Kai lipo kama pesa nane (linachanganya).

Sijawahi kumponda Kai hapa kwasababu jamaa ananichanganya. Akicheza timu ya Taifa lake anakiwasha balaa akirudi BLUES haeleweki.

Muda mwingine huwa najiuliza au THE BLUES anachezeshwa mfumo, style, position ambayo ni changamoto kwake?

Au hakuna wachezaji sahihi wa kumzunguka/kupair na Kai, kama ilivyo kwenye timu ya Taifa lake?

Kwangu namuona Kai kama kijana mwenye kipaji cha hali ya juu sana, labda tumuangalie chini ya Potter atachezaje.
Mkuu ujajibu concept ya comment ni ipi? Soma vizuri utanielewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom