Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Sababu ya kutemwa TT. Na ni sababu ya msingi mno ukizingatia kwamba hii ni biashara. Mtu hawezi kuwekeza £4.25bn halafu atulie wakati haoni mbele.
Yuko freeJibu haliendani na ulichoulizwa
chairman Todd Boehly on disconnect with ex-manager Thomas Tuchel:
"Our vision for the club was finding a manager who really wanted to collaborate with us... to bring a team together with the academy, first team and incremental clubs we want to acquire."
Hii ni interview yaleo wakat akihojiwa na katika mkutano wa Salt 2022
Kwa wale watakao taka kumskia waanzie hapa 1:40:00
Link[emoji116][emoji116]
Njia ni moja tu uza. O mtoe kwenye first team,.Ina maana makocha wa BLUES wanashindwa kuiga style ya Pep kumpiga bechi mchezaji ambaye hamtaki/kirusi au kumuuza/kumuondoa kikosini fasta
Ila hao jamaa wapo vizuri sana kuna dogo hapo ainaitwa "Edwards" anavaa jezi no 10 amewasambua sana defenders wa spurs anapiga mpira kweli kweli sijui kwanini si Chelsea tunashindwa kuona wachezaji wenye talent kubwa kama hawaSpurs wamekuwa exposed na Sporting dk ya 90 na 92 wanafungwa kijinga poor defending
Sporting 2 Spurs 0
Huyu boss nimeamini mpira anajua
Nafikiri Graham anayo akili sio ya kuambiwa, huyu anatakiwa tu apewe sms kuwa hayupo kwenye plans za Graham na asepe january, Juve wanamtaka kule kwa wazeeJorginho on Thomas Tuchel's 'weak mentality' comments:
"It was his feeling in that moment, he said that to us as well. We tried what we could to try and do our best. Unfortunately, it wasn't working anymore. The challenge now is to rebuild that confidence."
Hii comment ya Jorginho,,Sio tuchel ashawah lalamika tu bali makocha wengi wanalalamikaga juu hili,Lampard aliwah gusia hili swala. Tusipolitatua litawagharim makocha wengi
Mashabiki waanze kumzomea hadi bosi amteme mbali huyo kirusiJorginho on Thomas Tuchel's 'weak mentality' comments:
"It was his feeling in that moment, he said that to us as well. We tried what we could to try and do our best. Unfortunately, it wasn't working anymore. The challenge now is to rebuild that confidence."
Hii comment ya Jorginho,,Sio tuchel ashawah lalamika tu bali makocha wengi wanalalamikaga juu hili,Lampard aliwah gusia hili swala. Tusipolitatua litawagharim makocha wengi
Joginho ni kirusi huyu , takataka kama hizi ni za kuuzwa na Mimi naamini huyu ,Lukaku na Alonso ndio wailkiuwa genge moja la kuanzisha migomo kimya kimya dhidi ya TuchelMashabiki waanze kumzomea hadi bosi amteme mbali huyo kirusi
Huyu boya naye atulie Kwanza ,ametuchomesha Sana huyu kengeMendy majeruhi kwa siku 10 sasa, kesho hatakuwepo kwenye mtanange na RB Salzburg
View attachment 2355768
Ligi ya ureno inawachezaj wazuri sana ni vile watu hawatak kuangalia huko.Ila hao jamaa wapo vizuri sana kuna dogo hapo ainaitwa "Edwards" anavaa jezi no 10 amewasambua sana defenders wa spurs anapiga mpira kweli kweli sijui kwanini si Chelsea tunashindwa kuona wachezaji wenye talent kubwa kama hawa
Kwahy nani anaweza kuziba nafasi yake pale darajani.?Huyu boya naye atulie Kwanza ,ametuchomesha Sana huyu kenge
Kepa sasa hivi anaweza peana changamoto na Mendy, kocha anakosea Kepa kukaa benchi hadi tunamsahauKwahy nani anaweza kuziba nafasi yake pale darajani.?
Na kumpata pia kiungo mbunifu wa kutoa assists hadi 20 kama enzi ya FabregasNatamani sana THE BLUES kwa sasa tupate tena mshambuliaji star wa kuogopwa kama ilivyokuwa kwa Drogba, Hazard na wengineo.
Mchezaji ambaye wapinzani wetu, wanatenga muda wa kukaa na kumuandalia mbinu za kumkabiliana naye kwenye mechi.
Kwa maono ya huyu mmiliki sidhani kama iko pale kuleta vikombe au trophies ila kupata maslahi ya haraka haraka hapo kutumia wachezaji wa academy tutabaki kua middle table timu, epl inahitaji wa chezaji wenye uzoefu sio hao wa academyJapo imeshasemwa huko nyuma nimeamua kuweka toleo la kiswahili la alishokisema Boehly kuhusu Tuchel kuondoka. Nimebold kilichonisukuma kuileta hii hapa kwa kiswahili.
--------------------------------------------------
Mmiliki wa Chelsea Todd Boehly amefunguka kuhusu kumuachisha kazi Thomas Tuchel na kudai kuwa kukosekana kwa maono ya pamoja ndio chanzo cha Tuchel kuondoka Chelsea wiki iliyopita na wala matokeo ya Dinamo hayana uhusiano na maamuzi ya kuachana.
Akiongea kwenye kongamano la SALT New York siku ya Jumanne, Boehly alisema:
“Ukichukua biashara yeyote, ni lazima uhakikishe kuwa uko pamoja na watu wanaoendesha hiyo biashara
“Tuchel kwa uhakika ni kocha mwenye kipaji sana na mtu aliyeiletea mafanikio makubwa Chelsea
“Maono yetu kwenye klabu ni kumtafuta kocha ambaye kwa ukweli yuko tayari kushirikiana nasi. Kuna kuta nyingi sana za kuvunja hapo Chelsea kabla, Timu kuu na academy hazikutoa taarifa za wapi wachezaji wazuri wanapotoka.
“Lengo letu kiukweli kuileta timu pamoja, Academy na timu kuu, na vilabu ambavyo tunataka kuvimiliki na kuviendeleza. Vyote hivyo vitahitaji kuwa mashine iliyolainishwa vizuri sana.
Ukweli wa maamuzi yetu ni kwamba hatukuwa tuna uhakika kwamba Tuchela anaona kama sisi tunavyoona. Hakuna ambaye yuko sahihi au kakosea kwenye hili sakata la Tuchel kuondoka. Ni kwamba tu hatukuwa na maono ya pamoja ya mbeleni kuhusu Chelsea.
“Haikuwa kwa sababu ya Dinamo, ilikuwa ni maono ya pamoja ya tulichotaka Chelsea iweje kule mbeleni. Haikuwa uamuzi uliofanywa kwa kuzingatia ushindi au kufungwa kwa mechi moja. Ni uamuzi uliofanywa kwa kuzingatia maono sahihi kwa klabu”