Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa maono ya huyu mmiliki sidhani kama iko pale kuleta vikombe au trophies ila kupata maslahi ya haraka haraka hapo kutumia wachezaji wa academy tutabaki kua middle table timu, epl inahitaji wa chezaji wenye uzoefu sio hao wa academy

Ukweli ni kwamba huyu mmiliki alipenda ampate Ronaldo ili auze jezi na atangaze biashara zake kule US, kitu ambacho TT ali mgomea ndo hizo hasira za kumtimua.....
Sidhan kama lengo ni kutumia wachezaj wa academy tu,
Kumbuka unaweza kuuza wachezaj wa academy ukawatumia kama njia ya kupata fedha huku wale best n talented ukabak nao,
 
Graham Potter has told the Chelsea squad he will hold face-to-face meetings with every player before the international break, allowing them to have their say and allowing him to understand what drives them. Many have already had meetings.

[via Nizaar Kinsella]

@Chelsea_fc_worldwide
 
Kwa maono ya huyu mmiliki sidhani kama iko pale kuleta vikombe au trophies ila kupata maslahi ya haraka haraka hapo kutumia wachezaji wa academy tutabaki kua middle table timu, epl inahitaji wa chezaji wenye uzoefu sio hao wa academy

Ukweli ni kwamba huyu mmiliki alipenda ampate Ronaldo ili auze jezi na atangaze biashara zake kule US, kitu ambacho TT ali mgomea ndo hizo hasira za kumtimua.....
Wewe bado ujawaelewa wanavyosema kujenga academy hawamaanishi wawatumie academy players wote kwenye kikosi Cha kwanza wanachotaka kuwe na baadhi ya wachezaji wenye uwezo ndani ya academy kupewa nafasi ndani ya kikosi Cha kwanza Cha wakubwa kama ilivyo Mount, James, chalobah n.k kuwe na mchsnganyiko wa seniors na juniors kwenye kikosi ili kuepuka makosa yaliyofanyika ya kuwauza de bruyne, salah, Tomori n.k lakini kupitia hiyo project itaweza kujenga team ndani ya team kwa muda mrefu.Itasaidia pia kuwa na wachezaji wenye uchungu ndani ya team kama tutaweza kuwapa nafasi wachezaji wenye potential kutoka academy
 
Sidhan kama lengo ni kutumia wachezaj wa academy tu,
Kumbuka unaweza kuuza wachezaj wa academy ukawatumia kama njia ya kupata fedha huku wale best n talented ukabak nao,
Ni sawa ila hiyo ni longterm project ya miaka 5+ team inahitaji mataji ili ipate TV rights za juu sponsor wa jezi wajuu ticket ziongezeke, chances ya wachezeji wa cademy kushine kufikia kiwango cha sala Neima au Asfuati ni 10% mpaka okopeshwe kwenye team mbalimbali, kumbuka utamaduni wa the blues ni trophies bila trophie kwa miaka 5 lazima utafukuzwa
 
Wewe bado ujawaelewa wanavyosema kujenga academy hawamaanishi wawatumie academy players wote kwenye kikosi Cha kwanza wanachotaka kuwe na baadhi ya wachezaji wenye uwezo ndani ya academy kupewa nafasi ndani ya kikosi Cha kwanza Cha wakubwa kama ilivyo Mount, James, chalobah n.k kuwe na mchsnganyiko wa seniors na juniors kwenye kikosi ili kuepuka makosa yaliyofanyika ya kuwauza de bruyne, salah, Tomori n.k lakini kupitia hiyo project itaweza kujenga team ndani ya team kwa muda mrefu.Itasaidia pia kuwa na wachezaji wenye uchungu ndani ya team kama tutaweza kuwapa nafasi wachezaji wenye potential kutoka academy
Sasa mkuu hilo TT alikua halifanyi? Kwanini sasa amefukuzwa kama lengo ndo hilo.......Morinho hakua wahi kutumia wachezaji wa academy, ilaTT na Lampard wa lijitahidi sanaa
 
Kwa maono ya huyu mmiliki sidhani kama iko pale kuleta vikombe au trophies ila kupata maslahi ya haraka haraka hapo kutumia wachezaji wa academy tutabaki kua middle table timu, epl inahitaji wa chezaji wenye uzoefu sio hao wa academy

Ukweli ni kwamba huyu mmiliki alipenda ampate Ronaldo ili auze jezi na atangaze biashara zake kule US, kitu ambacho TT ali mgomea ndo hizo hasira za kumtimua.....
Jina la Boehly tafsiri yake kwa kiswahili ni Bahili, huyu jamaa falsafa zake zinahitaji kocha mwenye kaliba ya Arsen Wenger.
Huyu tajiri anaipeleka Chelsea kule ilipokua Arsenal miaka 10 iliyopita.
 
Kweli mkui utafukuzaje kocha kwa sabb zisio kua za matokeo ya mpira ila eti maono yako wakati kacha kazi yake ni kushida mechi sio kingine ili cv yake ipande tu......

Hao wa miliki wa kutoka Marikani ni shida wa shabiki wa the blues tujiandae kupata frustrations mda wowote tena kibaya zaidi kocha wetu sasa ni muingereze na kihistoria hamna kocha muingereza alisha wahi kubeba Epl may be potter avuje hiyo record, ila sio rahisi
 
Kwa maono ya huyu mmiliki sidhani kama iko pale kuleta vikombe au trophies ila kupata maslahi ya haraka haraka hapo kutumia wachezaji wa academy tutabaki kua middle table timu, epl inahitaji wa chezaji wenye uzoefu sio hao wa academy

Ukweli ni kwamba huyu mmiliki alipenda ampate Ronaldo ili auze jezi na atangaze biashara zake kule US, kitu ambacho TT ali mgomea ndo hizo hasira za kumtimua.....
Uzoefu unapatikanaje?
 
Sasa mkuu hilo TT alikua halifanyi? Kwanini sasa amefukuzwa kama lengo ndo hilo.......Morinho hakua wahi kutumia wachezaji wa academy, ilaTT na Lampard wa lijitahidi sanaa
TT hamuamini vijana na ndio maana hakuna hata mchezaji mmoja wa academic aliyemtoa yeye kama yeye mount, james hawa waliibuliwa na Lampard. TT alifeli kwenye uchezaji wa mpira, maelewano hafifu na baadhi ya wachezaji hayo ndio yamechangia yeye kutumbuliwa
 
Kweli mkui utafukuzaje kocha kwa sabb zisio kua za matokeo ya mpira ila eti maono yako wakati kacha kazi yake ni kushida mechi sio kingine ili cv yake ipande tu......

Hao wa miliki wa kutoka Marikani ni shida wa shabiki wa the blues tujiandae kupata frustrations mda wowote tena kibaya zaidi kocha wetu sasa ni muingereze na kihistoria hamna kocha muingereza alisha wahi kubeba Epl may be potter avuje hiyo record, ila sio rahisi
Mkuu unakariri Sana wangekuwa ni wabahili wasingetumia more than 270 pounds millions za usajili kwa dirisha Moja tu la usajili,kitu ambacho wamiliki wanakitaka ni kuona chelseafc inajijenga imara kea kuwa na muendelezo mzuri wa mafanikio ndio maana Wana sajili vijana wadogo na wazoefu kwaajili ya matumizi ya sasa na ujao
 
Sasa mkuu hilo TT alikua halifanyi? Kwanini sasa amefukuzwa kama lengo ndo hilo.......Morinho hakua wahi kutumia wachezaji wa academy, ilaTT na Lampard wa lijitahidi sanaa
TT alijaribu kumtumia Chalobah tu, hao wengine wawili mechi moja akawatema
 
Mkuu unakariri Sana wangekuwa ni wabahili wasingetumia more than 270 pounds millions za usajili kwa dirisha Moja tu la usajili,kitu ambacho wamiliki wanakitaka ni kuona chelseafc inajijenga imara kea kuwa na muendelezo mzuri wa mafanikio ndio maana Wana sajili vijana wadogo na wazoefu kwaajili ya matumizi ya sasa na ujao
Saa nyingine nashangaa mashabiki wanvyokoment na wanachokoment haviendani kabisa na actions
 
Our XI vs RB Salzburg
Kepa
James Azp Silva Cucurella
Jorginho Kova
Sterlinh havertz Mount
Aubameyang

Formation inaweza kuwa 352 au 4231 au 343 kama aliyokuwa anatumia wakat yuko brighton Trossard/Mount wakiwa na role sawa
 
Giroud huku kwetu alikuwa anadharauliwa hata penalti hapewi anapewa Jorginho. Sasa kule Milan ndie first no. 9 na ndie penalty taker no. 1 na anapiga penalti vizuri sana
Niliwahi kusema Chelsea inajiona iko juu mno lakini kiuhalisia ni team ya kawaida. Kila anayeshindwa kwetu, kwingineko anakuwa kinara. Au ndio ile maandiko yanasema jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni?
 
Naona Kocha anataka kuniogopesha huyuu. Ujasiri wa kwenda kuangalia Game umepungua Ghafla
20220914_211607.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom