Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dailly mail wanadai Boehly alizuia kwa nguvu zote option ya kumnunua CHO hata kama TT hakuwa na plan ya kumtumia kwenye kikosi chake
 
Bado Chelsea wana mpango wa kumsajili Arsen Zakharyan

Chelsea remain interested in Arsen Zakharyan as potential target for present and future, there’s a plan to follow the Russian talent in the next months. There was no full agreement on fee with Dinamo Moscow in August but personal terms were 100% agreed.

Source/: Fabrizio Romano
 
1662892126101.png
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe

TT ameipatia Chelsea mafanikio makubwa sana tena ya suprise hasa kombe la UCL
Lakini pia inaonekana TT anataka kufuata nyayo za MOU kuwa kocha wa msimu mmoja hasa kwenye big teams ambazo wao hawana hasara wakimuajiri kocha leo na kumfukuza kesho yake
Ila pia TT alikuwa ni victim wa timu kuuzwa na wakaja owners wenye moto wa kubadilisha kila kitu kwenye management
 
Huyo jamaa ni mchezaji mzuri sana alafu ni mpambanaji lile pengo letu la kukosa kiungo mbunifu anaweza kulitibu tunapenda kuwa na aina hii ya mchezaji
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe

TT ameipatia Chelsea mafanikio makubwa sana tena ya suprise hasa kombe la UCL
Lakini pia inaonekana TT anataka kufuata nyayo za MOU kuwa kocha wa msimu mmoja hasa kwenye big teams ambazo wao hawana hasara wakimuajiri kocha leo na kumfukuza kesho yake
Ila pia TT alikuwa ni victim wa timu kuuzwa na wakaja owners wenye moto wa kubadilisha kila kitu kwenye management
Hakuna mtu ambaye ajui ubora wa TT na appreciate alichofanya darajani kutokana na situation tuliofikia na vision ya Wamiliki mtu aina TT alikuwa hafiti Tena kuendelea
 
Graham Potter, wachezaji wote wako chini yako, hakuna in jury isipokuwa Ngolo Kante
 
Namshauri Potter atumie 3-5-2 ili aweze kuwatumia mabeki wote na wingbacks pia awatumie foward waili asiwepo striker ambaye ni isolated. Madhara ya huu mfumo unaua matumizi ya winga wote wawili

---------- Auba -------------- Sterling ---------------

Cucurella ---- Kovacic ---- Mount ----Kante ---- James

----Koulibaly -----------Silva ------------- Fofana----

----------------------Mendy ----------------------

Wachezaji hawa wafanyiwe rotation wa muda wa kutosha

  1. Chilwell (akiingia ana uwezo wa kubadili hali ya hewa)
  2. Zakaria (Afanyiwe majaribio kwanza kwa muda mchache)
  3. Havertz - bado ni promising attacker
  4. Pulisic - akiamka vizuri au kocha akimjulia ni mshambuliaji mzuri
  5. Ziyech - Mguu ule wa dhahabu wa kushoto kocha akimjulia ataleta magoli mengi sana
  6. Conor Galagher - kila mtu anajua uzuri wa Galagher hasa akipress high
  7. Cheek - anarudi kwenye ile form yake na Sarri kabla hajapata majeruhi
  8. Broja - akikomaa ni striker mzuri mridhi wa Auba

Hawa waingizwe kwenye first team kwa kupewa muda kulingana na performance yao
  1. Chikwuemela
  2. Cesare Casdewi
  3. Chalobah
  4. Hutchinson
Hawa wachezaji baada ya mkopo wao kuisha warudishwe kikosini
  1. Levi Colwill
  2. Hudson Odoi
 
Graham anaweza ku-manage egos za wachezaji wanaojiona ni mastaa? Chelsea is shooting its own foot kwa kuwajaza wachezaji wenye majina makubwa then ending up unhappy.
Wachezaji wanaotokana na club wanakuwa hawana egos za kijingajinga za kususasusa kama wanaonunuliwa kwa mapesa kibao halafu wanakuja kusambaza sumu za mgomo baridi kwa wengine. Plan ya Boehly ikikubali kuwa feeder clubs itakuwa na maana kubwa sana kwa wachezaji wataokuwa wanakuzwa humo na kupanda ngazi hatua kwa hatua. Ni rahisi kuzidhibiti tabia za watoto wanaokulia kwenye club kuliko kuleta mijitu mikubwa inayokuja na tabia zao ambayo hata haijui utamaduni wa club.
 
Namshauri Potter atumie 3-5-2 ili aweze kuwatumia mabeki wote na wingbacks pia awatumie foward waili asiwepo striker ambaye ni isolated. Madhara ya huu mfumo unaua matumizi ya winga wote wawili

---------- Auba -------------- Sterling ---------------

Cucurella ---- Kovacic ---- Mount ----Kante ---- James

----Koulibaly -----------Silva ------------- Fofana----

----------------------Mendy ----------------------

Wachezaji hawa wafanyiwe rotation wa muda wa kutosha

  1. Chilwell (akiingia ana uwezo wa kubadili hali ya hewa)
  2. Zakaria (Afanyiwe majaribio kwanza kwa muda mchache)
  3. Havertz - bado ni promising attacker
  4. Pulisic - akiamka vizuri au kocha akimjulia ni mshambuliaji mzuri
  5. Ziyech - Mguu ule wa dhahabu wa kushoto kocha akimjulia ataleta magoli mengi sana
  6. Conor Galagher - kila mtu anajua uzuri wa Galagher hasa akipress high
  7. Cheek - anarudi kwenye ile form yake na Sarri kabla hajapata majeruhi
  8. Broja - akikomaa ni striker mzuri mridhi wa Auba

Hawa waingizwe kwenye first team kwa kupewa muda kulingana na performance yao
  1. Chikwuemela
  2. Cesare Casdewi
  3. Chalobah
  4. Hutchinson
Hawa wachezaji baada ya mkopo wao kuisha warudishwe kikosini
  1. Levi Colwill
  2. Hudson Odoi
Sikuungi mkono Cucurella kuanza badala ya Benchilwell narudi Tena quality aliyonayo ben hakuna beki yoyote kwenye nafasi yake anayeweza kumuweka benchi pale epl
 
Usijali kocha atamtumia mwenye kuleta tija kwenye timu, Kama ni Chilwell sawa kama ni Cucurella sawa
 
Nimetoka kuangalia tu mechi kati ya Real Madrid na Mallorca
Real Madrid sasa wanavuna uvumilivu waliokuwa nao kwa hawa young talents
Vin. Jr MOTM
Rodrygo kashakuwa regular starter. Wana uwezo wa kuisumbua timu yeyote

Rudiger kafunga goli lake la kwanza dk ya 93 - hongera zake

Advantage ya kuwapa nafasi young players ni: wakishapeak ni ngumu kuwaweka benchi. Ni woga wa kocha tu ndio unaowafanya wasiwaamini sasa hivi kwa sababu hawana consistency
Ila mimi naamini tukiwapa nafasi hao wote tuliowasajili ndani ya miaka miwili au mitatu tutawapenda bure
 
Lembu, sijaiona hiyo mechi lakini nimeangalia rating ya wachezaji and it looks like Hazard performed below par. Alichezaje kwa mtazamo wako?
 
Hazard kacheza kawaida, sijui hata kama alikuwa uwanjani, japo nilimwona mara chache akigombea mpira. waliokuwa wanaonekana ni akina Vin. jr, , Rodrygo, Valverdealiyefunga goli nzuri sana la solo, Alaba, Mendy hakucheza vizuri sana naye,
Waliocheza vizuri sana ningekuwa ni mimi na toa maksi ni Valverde angekuwa MOTM anajituma sana na huko nyuma hakuwa hata kwenye first team. Valverde anacheza style ya Gordon wa Everton yule tulie mkosa kosa kmnunua. Kroos naye kacheza vizuri na wengineo.

Labda kwa vile Hazard kacheza nafasi ya Benzema leo ni ngumu kumnotice kama yuko uwanjani

Alivyotoka Hazard na Anceloti kubadili formation ndipo timu ikabadilika na kuanza kufululiza mashambulizi yaliozaa magoli na hasa walipoingia kian Carvajal na Camavinga
 
Nimetoka kuangalia tu mechi kati ya Real Madrid na Mallorca
Real Madrid sasa wanavuna uvumilivu waliokuwa nao kwa hawa young talents
Vin. Jr MOTM
Rodrygo kashakuwa regular starter. Wana uwezo wa kuisumbua timu yeyote

Rudiger kafunga goli lake la kwanza dk ya 93 - hongera zake

Advantage ya kuwapa nafasi young players ni: wakishapeak ni ngumu kuwaweka benchi. Ni woga wa kocha tu ndio unaowafanya wasiwaamini sasa hivi kwa sababu hawana consistency
Ila mimi naamini tukiwapa nafasi hao wote tuliowasajili ndani ya miaka miwili au mitatu tutawapenda bure
Umeona goli la valverde. This is what we demand from team especially midfielder. Very commanding midfielder RM wanaweza kufunga kwa angle tofauti tofauti sisi mpaka tumchenge kipa tupasie nyavu sasa kuna game wanaume hawatoki golini kwao unahitaji plan B,C etc kitu ambacho RM wanawachezaji wasiosubiri michoro ya kocha ni mwendo wa kujiongeza
 
Thomas Tuchel via Twitter:

"This is one of the most difficult statements I have ever had to write - and it is one which I hoped I would not need to do for many years. I am devastated that my time at Chelsea has come to an end."

"This is a club where I felt at home, both professionally and personally. Thank you so much to all the staff, the players and the supporters for making me feel very welcome from the start."

"The pride and joy I felt at helping the team to win the Champions League and the Club World Cup will stay with me forever. I am honoured to have been a part of this club’s history and the memories of the last 19 months will always have a special place in my heart."
IMG-20220911-WA0015.jpg
 
Umeona goli la valverde. This is what we demand from team especially midfielder. Very commanding midfielder RM wanaweza kufunga kwa angle tofauti tofauti sisi mpaka tumchenge kipa tupasie nyavu sasa kuna game wanaume hawatoki golini kwao unahitaji plan B,C etc kitu ambacho RM wanawachezaji wasiosubiri michoro ya kocha ni mwendo wa kujiongeza
Valverde alicheza kama winga wa kulia pia anacheza kiungo. anajituma sana, kwenye first half wakati mbinu za Real Madrid kusawazisha zimeisha kabisa yeye akaukokota mpira kutoka golini kwake kutoka kwa beki akaambaa nao kiutaniutani hadi akabisha hodi kwenye danger zone na kufunga
 
Thomas Tuchel via Twitter:

"This is one of the most difficult statements I have ever had to write - and it is one which I hoped I would not need to do for many years. I am devastated that my time at Chelsea has come to an end."

"This is a club where I felt at home, both professionally and personally. Thank you so much to all the staff, the players and the supporters for making me feel very welcome from the start."

"The pride and joy I felt at helping the team to win the Champions League and the Club World Cup will stay with me forever. I am honoured to have been a part of this club’s history and the memories of the last 19 months will always have a special place in my heart."View attachment 2353954
Dah! Kaongea kwa uchungu Sana mpaka nimeingiwa na huruma jamaa anaipenda Sana chelseafc kutoka moyoni sema angepunguza ukoloni kiasi fulani asingefukuzwa
 
Valverde alicheza kama winga wa kulia pia anacheza kiungo. anajituma sana, kwenye first half wakati mbinu za Real Madrid kusawazisha zimeisha kabisa yeye akaukokota mpira kutoka golini kwake kutoka kwa beki akaambaa nao kiutaniutani hadi akabisha hodi kwenye danger zone na kufunga
Yule Valverde kiuhalisia ni kiungo lakini mara kadhaa amekua akichezeshwa kama winga hasa ya kulia lakini jana Carlo kamrudisha kwenye position yake halisi ya kiungo aliyekua anacheza winga ya kulia ni Rodrygo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom