allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,324
- 10,895
Leo saa 5:00 usikuDirisha la usajili linafungwa lini ndugu zangu?
Leo saa 5:00 usikuDirisha la usajili linafungwa lini ndugu zangu?
Asante mkuuLeo saa 5:00 usiku
Tunazunguka sana, Shida ya Chelsea hipo kwa kocha TT, huyo Haaland hata kama angekuja Chelsea angekuwa kama Lukaku tu
Ila mbona wakati anakuja ule msimu tunachukua champions League mbona tulikuwa tunacheza Mpira tofauti na Huu ? , tulikuwa tunahold Mpira at the same time tunapiga Pasi fupi fupi na kushambulia Kwa Kasi ? , Ile ndio ulikuwa Chelsea sasa ,pamoja na matakataka yaliyokuwepo Ila mbona timu ilikuwa unacheza soka la kuvutia na ushindi unapatikana ? ,Why sasa ?
Tuchel ameingiwa na shetani gani sijui .
EPL, Ligue1, Laliga dirisha linafungwa siku moja saa mojaDirisha la usajili linafungwa lini ndugu zangu?
Asante mkuu nilijua limefungwa jana kea wewe unavyoona tutawasajili wachezaji gani?EPL, Ligue1, Laliga dirisha linafungwa siku moja saa moja
Kule Uingereza ni saa nane na nusu September 2
Huku East Africa ni Saa tano na nusu usiku wa tarehe 1 Sept 2022
Tulicheza hivi hivi, tofauti tulikuwa na beki imara na Kante na Kovacic walikuwa kwenye form nzuriIla mbona wakati anakuja ule msimu tunachukua champions League mbona tulikuwa tunacheza Mpira tofauti na Huu ? , tulikuwa tunahold Mpira at the same time tunapiga Pasi fupi fupi na kushambulia Kwa Kasi ? , Ile ndio ulikuwa Chelsea sasa ,pamoja na matakataka yaliyokuwepo Ila mbona timu ilikuwa unacheza soka la kuvutia na ushindi unapatikana ? ,Why sasa ?
Tuchel ameingiwa na shetani gani sijui .
Mara nyingi sajili la muda huu huwa ni suprise kama ikitokea kwa sababu muda wa tetesi haukoAsante mkuu nilijua limefungwa jana kea wewe unavyoona tutawasajili wachezaji gani?
Zaha ni hatari! Akija darajani atasaidia sana kwenye striking force..!Chelseafc wapuuzi Sana nitawashangaa wakimuacha Auba wakamsajili Zaha
Mkuu hembu uangalie masaa yako hayoEPL, Ligue1, Laliga dirisha linafungwa siku moja saa moja
Kule Uingereza ni saa nane na nusu September 2
Huku East Africa ni Saa tano na nusu usiku wa tarehe 1 Sept 2022




Sisi hao tunahama boti..Haaa haaa, tuko wote kwente boti lililotoboka na unatucheka kweli, likizama tunazama wote.



Eti lililovunjwa na vibakaHata tukimpata atahitaji wiki 3 kutibu taya lake lilillojeruhiwa/lililovunjwa na vibaka
kwa hiyo atarudi uwanjani tarehe 1 October mechi na Palace
Atamiss mechi dhidi ya
- Westham
- Dinamo - UEFA
- Fulam
- Salzburg - UEFA
- Liverpool


Kuna mtu ana taarifa za 42774277 mahali popote? Kuna tetesi alikuwa na rafiki yake OllaChuga Oc jana katika maeneo hatarishi.
Lakini kikubwa ni linafungwa leoMkuu hembu uangalie masaa yako hayo
Saa 8 na nusu ya uk sept 2, ndio saa 5 na nush sept 1 east afrika
Dirisha linafungwa leo 1/9/2022,saa 5 usiku kwa saa za Uk, ambazo ni sawa na saa 7 usiku september 2 kwa saa za afrika mashariki