juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Habar za The sun, huwa 90% uwongoLabda kageuka au waandishi walidukua vibaya.
Habar za The sun, huwa 90% uwongoLabda kageuka au waandishi walidukua vibaya.
Usiamin habar za The sun, hata Gerard Romero ambae ndie reporter mkubwa wa habar za Barce hajariport kitu kama hicho,Kuna tetesi zinasema hivyo chelsea wanataka kumpa mwaka 1 ila yeye anadai 2 kipengele kipo hapo kumbuka ana 33 anasajiliwa kwa plan ya mda mfupi ataongezewa mkataba kutokana na form yake
Kabla ya Ziyech ajatua Chelsea alikuaje?Huyu nime mtaja chillwell pia huyu ni mzuri sio hao wakina plusic adoi mount ziech kai batswayi nk, wote wewe team B. Second eleven
Naungana na wewe Ziyech yupo vizuri SanaKwangu mimi ziyech ni mchezaji mzuri sana,sijui kwanni anakaa benchp
Mzuri lakini yupo legelege. Hakupambana kama alivyokuwa anafanya AjaxKwangu mimi ziyech ni mchezaji mzuri sana,sijui kwanni anakaa benchp
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli life is not fair naangalia game ya Wolverhampton na Newcastle yaani Neves yupo timu inayopambania isichuke daraja na Jorginho yupo timu inayowaza kuchukua ubingwa
Zieyech ni mzuri ila kwa mfumo wa ulizi shilikishi wa TT anapwaya sana sio mpambanaji tu kipoteza mpira anatembea, iko legelege sana, Epl imekua ngumu kwake.Naungana na wewe Ziyech yupo vizuri Sana
Mbona bruno akabi lakini mchezaji mzuri kwenye kutengeneza nafasi za goalZieyech ni mzuri ila kwa mfumo wa ulizi shilikishi wa TT anapwaya sana sio mpambanaji tu kipoteza mpira anatembea, iko legelege sana, Epl imekua ngumu kwake.
Mkuu aquad ya Mancity ina ubora angalau kila idara kuliko ya kwetu, tunategemeana wote kwa kusaidiana, ulinzi na ushambuliaji, zienchy ya kurudi nyuma kutoa msaada ndo maana TT anaona kwasasa anzie bench mpaka pale tutakapo pata wachezaji wazuriMbona bruno akabi lakini mchezaji mzuri kwenye kutengeneza nafasi za goal
Kwani wewe mkuu Fabrizio Yuko correct 100% kwako.Usiamin habar za The sun, hata Gerard Romero ambae ndie reporter mkubwa wa habar za Barce hajariport kitu kama hicho,
Issue kubwa imebaki ni agreement btn Chelsea n Barcelona
Hizi ripoti zimekanushwa. Ni uvumi wa uongo tuGordon = Gallagher+Broja+ paundi 25mView attachment 2337717
Chelseafc wapuuzi Sana nitawashangaa wakimuacha Auba wakamsajili ZahaKuna ripoti kuwa Chelsea wanatuma maombi kumsajili Zaha dakika za mwisho
Labda baada ya Dili la Auba kuonekana ni gumu!
De Jong na Aubameyang wako kwenye timu ya Leo
Hii Ina maana deal limekufa?
Kuna ripoti kuwa Chelsea wanatuma maombi kumsajili Zaha dakika za mwisho
Labda baada ya Dili la Auba kuonekana ni gumu!
Kuna kila dalili kuwa dili la Auba linafeli na Chelsea hawakuwa na alternative nzuri likifeli, tujiandae kisaikolojia kuishi kwa matumaini, hata top 4 itakuwa ngumu sana safari hiiChelseafc wapuuzi Sana nitawashangaa wakimuacha Auba wakamsajili Zaha